Rais Kikwete amfunika 50 cent (Picha)

Kama huna data si bora uombe ueleweshwe??????????

Ni saa ngapi Mwalimu Nyerere alipomkaribisha Bob Marley ndipo akakatae kumpa mkono kwa madai kwamba hawezi kusalimiana na mvuta bhangi???????????

Nafikiri kuna sababu na inaweza ikawa ni juu ya kukiinua kikundi cha Tanzania House oF tanzania!!! Lakini mie sioni ajabu kwani hata mwl. Nyerere kwenye sherehe za uhuru wa Zimbabwe alimkaribisha Bob. Kuja hapa Bongo!!!
 
Wamarekani wameshamsoma na kumuelewa vizuri rais wetu and this time wamefanya kweli. Wamemchongea line safi ya kupata Tuzo hata kwa mambo ambayo hajawahi fanya chochote ili mradi tu wanakuza EGO yake maana ni bishoo asiyekuwa na ukomo. Kwa mfano afya ya mama na mtoto inafadhiliwa na UN kupitia shirika lake UNFPA na hata launching ya huu mpango ulichelewa for more than 6 months kwa sababu Rais alitaka awepo but guess what? siku aliyosema ifanyike hakutokeza! it was embarassing na kwenye kurido za mabosi wa UN hapa bongo hawakuamini. Na hata ile idea ya kuleta bajaj za kubeba wajawazito naomba niwataarifu kuwa ni wazo la UNFPA. Serikali hii inafikiria tu kuonekana majukwaani, hakuna la maana.

Pili, kuna vituzo vingine vinavyotambulika NASDAQ na wamerekani walimualika aende kugonga kengele ya kufunga shughuli za soko! Nilivyoona hii picha nilijiuliza hivi Mwl Nyerere angefanya mambo ya hovyo kama haya, ya kugonga kelele kwenye masoko ya wazungu wakati kwako hakuna la maana! Sijui huu umaarufu unaotafutwa marekani unafaida gani kwa watanzania?

Kila anasa anayotaka na kila sifa anayotaka Kikwete Marekani watampa kwa sasa kwa sababu wanataka uranium yetu kwa udi na uvumba. Kumbukeni hata wacheza mpira wa vikapu huko marekani wamekuwa 'regular visitors' siku hizi huko Magogoni. Bado tutaendelea kuona vituzo vya ajabu ajabu toka UN na marekani ili mradi tu bwana mkubwa anapanda kwenye majukwaa. Kwa ujumla Tanzania iko chini ya mfumo wa CHIFU MANGUNGO. Very sad!
 
Nafikiri kuna sababu na inaweza ikawa ni juu ya kukiinua kikundi cha Tanzania House oF tanzania!!! Lakini mie sioni ajabu kwani hata mwl. Nyerere kwenye sherehe za uhuru wa Zimbabwe alimkaribisha Bob. Kuja hapa Bongo!!!

Labda Ruge alimtuma kwa 50 Cent,lakini swala la Nyerere yeye alizungumza na Bob baada ya ujumbe mzito aliotoa Bob,sasa huyu Jah kaya labda walikuwa wanaongea dili la drugs.
 
Katiba ya Tanzania haijamkataza Rais wa nchi kupiga picha na 50cent. Inasema Rais anaweza kuamua kupiga picha na mtu yeyote yule na hasa pale ambapo kuna maslahi ya kitaifa yanayotarajiwa. Taarifa rasmi kutoka chanzo cha kuaminika zinasema kuwa 50cent kupitia G-unit ana mpango wa kufungua studio ya kurekodia Dsm mwanzoni mwa mwaka ujao. Sasa hapo kuna kosa gani kwa Rais?
 
Kama hawakumtuma Nchimbi kwenda kuiba masanduku ya kura huko Songea basi angefaa kupiga picha na 50 cent. Hivi kila mwekezaji lazima aonane na rais? Kama jibu ni yes - kwa nini tuna hizi wizara nyingine?
 
Hapa kweli tuna presidenti?

Ushamba umekujaa. Wewe unafikiri kuwa President ni kuwa formal na kukutana na viongozi tu basi? Ulikuwa wapi usione kwamba hata Mzee Mandela alikuwa akifanya hivyo hivyo na hata Obama?
 
watu wa Pwani wanapenda sana ujiko

Toa ushamba wako wa kuchanganya ukabila hapa. Labda hata wewe mwenyewe asili yako ni pwani, kwani una uhakika gani kwamba huyu baba uliye naye ni wa ukwelikweli?
 
8fVPmpw+5dG6IAAAAASUVORK5CYII=

Huyu ndiye mzee wa totozi,,,badala ashughulikie meli alizotuahidi huku Bukoba anashika vigauni vya akina dada,,,emu naomba mmuone huo mkono wake wakulia ulikuwa unataka kufanya nini???
 
Kwa tabia ya huyu jamaa na mapozi haya ya kichokozi, nani ataamin kuwa waliishia tu kupiga picha??????????????????????Mwachen ajilie raha mana anauhakika muda c mrefu nchi anaikabidhi kwa wapinzani (CDM) kama mwenzake wa Zambia
 
Lakini huyu jamaa ninachompendea ni kutokuwa na historia ya kuiba wake za watu.
 
Katiba ya Tanzania haijamkataza Rais wa nchi kupiga picha na 50cent. Inasema Rais anaweza kuamua kupiga picha na mtu yeyote yule na hasa pale ambapo kuna maslahi ya kitaifa yanayotarajiwa. Taarifa rasmi kutoka chanzo cha kuaminika zinasema kuwa 50cent kupitia G-unit ana mpango wa kufungua studio ya kurekodia Dsm mwanzoni mwa mwaka ujao. Sasa hapo kuna kosa gani kwa Rais?

Hivi wewe unadhani shida ya Watanzania au priority ya Watanzania kwa sasa ni kuwa na STUDIO????
 
mkuu wetu anapenda wasanii/wanamichezo alishawahi kupiga picha na hasheem thabit yule mcheza kikapu wa tanzania
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom