Rais Kikwete amfunika 50 cent (Picha)

http://c0013970.cdn1.cloudfiles.rackspacecloud.com/x2_86970ba

Mwenye kuweza ku load picha nitashukuru.
 
labda kamwomba aje kuwasaidia wasanii wa bongo.
mtoa mada anatumia maji kufikiri kamfunika kwa lipi?
 
Wanajamvi nimesikia kwenye news presenter mmoja akisema ametumiwa picha na of coz nasikia zimesambaa leo Mh. Rais akiwa na mzee wa mistari (ila ana matusi huyu jamaa) wakiwa katika pozi, aliyenayo aturushie nasi tutafakari hilo pozi.
 
Mwenye hotuba ya JK aliyoitoa kwenye baraza la umoja wa mataifa aweke basi!
 


Hizi ndizo raha anazofata huyu jamaa huko USA...anatuacha tunapauka kwa jua na umaskini yeye anaenda kula good time na hawa wahuni....teh the teh teh...Napata hasira nashindwa cha kufanya,natamani niingie kwenye bongo za watanzania waone dharau hii kwa watanzania,ila yapo mabogus yanaendelea ku-support CCM na uchafu wake...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…