Merci ! C'est le plus grand mangeur de nos impôts. Payons-nous lui de se déplacer dans la rue!
Duh! Nimemwona Raisi wangu akigawia watoto hela, akawaambia ni ya sikukuu! Sawa, lakini amenunua Samaki wa 120,000/= sikumsikia akiulizia changamoto wapatazo wavuvi au wachuuzi. Ila nimekujua anafahamu Samaki watamu!
Kwahiyo kuelewa kiingereza ndio kuelimika?
Duh! Nimemwona Raisi wangu akigawia watoto hela, akawaambia ni ya sikukuu! Sawa, lakini amenunua Samaki wa 120,000/= sikumsikia akiulizia changamoto wapatazo wavuvi au wachuuzi. Ila nimekujua anafahamu Samaki watamu!
Cheki video hiyo utaelewaNauliza tu mpiga picha alikuwa ndani ya genge? kama ndio inamaansha hii pcha ilipangwa au?
Absolument, c' est ce qu' il peut faire pour son pays!
jana rais uhuru kenyatta aliwapa kazi ya ziada walinzi baada ya kuamua kuendesha bodaboda mtaani.
Anamwangalia Obama halafu na yeye anatoka clip yake
Mon inquiétude est que, la qualité de nos dirigeants est désormais très faible. Un président qui ne peut pas faire les priorités!
Ouais c'est là que nous devons envisager la prochaine fois de ne pas faire mêmes erreurs que c'est nous qui choisissent en puissance dirigeants incompétents.
Mais frère ne nous sommes d'accord pour utiliser l'anglais comme il convient les forums, vous vous souvenez?
Same goes! Where? Nert! Unaulizwa swali unaandika mengine bila jibu hata moja.
Musihangaike kutoa compensation pasipostahili. Kama mtu hana la kumushangilia, basi!
Nakuuliza kama yule mpuuzi mwingine kwamba, Hukuona Nyerere akipanda baiskeli mitaani?, Thomas Sankara akitembea mitaani, Karume akicheza bao mitaani? Baada ya hayo yote, yalisaidia nini ktk nchi?
Tusipende kuchekelea kila kitu kinachofanywa na Rais. Au unadhani Rasi ni infallible? He is a normal organism, subjected to any stupid action like you can undergo. Eager to be upraised like you wish it happens to you, uncultured like you can be, etc. That means Your brain is important that anyones. Tatizo lako unadhani Rais ana akili kuliko wewe. Possibly, lakini siyo mimi Maana nina historia yake.
Wanaume ndio most daring huko nilikolelewa sasa kama wewe jike ni daring haya weka uzi!!!!Hiyo red font imenionyesha uwezo wako mdogo wa kufikiri. How old are you in JF?
Nani kakwambia mimi ni mwanaume? very insesitive stupid poor-word selector!
Kuna mahala nimeongelea kavunja sheria?
Tout ce que vous avez dit est vrai en ce qui concerne notre système politique, je me demande parfois à quand leurs compatriotes tanzanien sera en mesure de voir la lumière depuis le politicien sans espoir sont mis dans la puissance même par les intellectuels parmi nous. Ce que je veux dire, c'est que si vous voulez sauter les bons fruits Soyez prudent avec les graines que vous plantez.Nous avons besoin d'être excessivement grave avec le processus de vote. De toute façon, qui a également été observée par Aristote. La politique attire gens inutiles. Le plus gros problème, c'est que nos politiciens sont devenus trop puissants. Imaginez une personne raisonnable qui devient puissant.
Essentiellement JF besoins en Kiswahili. N'importe quel thread lancé en anglais obtient moins d'attention. Si vous le faites en français qui devient pire.
Kuna mahala nimeandika nimeshangaa?Sasa kama hakuna sheria inayoongoza nini cha kubeba mfukoni mshangao wako uliegemea wapi???!!!