sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,257
- 649
Hampendi Baba wa Taifa hayati Julius Nyerere -- mnakumbuka ile ishu ya chuo cha jeshi cha Monduli? Mmewahi kumsikia hata siku moja JK akimtaja Nyerere kama 'Baba wa Taifa'?
JK na FF lao moja...
Hampendi Baba wa Taifa hayati Julius Nyerere -- mnakumbuka ile ishu ya chuo cha jeshi cha Monduli? Mmewahi kumsikia hata siku moja JK akimtaja Nyerere kama 'Baba wa Taifa'?
Hayuko serious na ofisi yake.kila siku rais anadanganywa. hajasoma kwani huyu?ndo tatizo la kuchagua marais kisa mahandsome
Hana uwezo huo, yasije yakawa kama ya Jairo.Nimesikitishwa na kauli ya PM kusikitika, alitakiwa aagize aliyedanganya apatikane, ashughulikiwe na kutengua uamuzi wa makao makuu ya wilaya ya Butiama kuwa Nyamisisi.
Kadanganywa? Haku soma kabla ya kusign?
Nashauri tume iundwewalio husika wapekwe mahakamani mara moja
Hata hivyo, alisema pamoja na tangazo hilo kuchomekwa neno Nyamisisi, bado mtu aliyefanya hivyo hajafanikiwa, kwani tangazo hilo sio uamuzi wa mwisho wa kuhusu suala hilo.
chifu Mangungo na Karl Peters.Yale yale ya akina machifu wetu na bogus treaty! Unasaini usichokijua.
hili jambo hata mimi huwa najiuliza sana, huu udaktari wa kupeana basi wawe angalau wanatazama na mtu wanaempa ni kweli awe anastahili, maana duh siku hizi ukilala ukiamka wewe tayari dokta, haileti maana.Shahada yake ya udakitari ni ya chuo gani ?