Rais Kikwete adanganywa tena

Rais Kikwete adanganywa tena

Siku wamchomekee'mwakani ndo mwisho wa kuwa raisi wa Tz' hasa kwenye miparagraph ya kati kati anaweza sign alafu mda ukifika akagoma kustep down
 
Yale yale ya akina machifu wetu na bogus treaty! Unasaini usichokijua.
<br />
<br />
shida sio kusaini asichokijua,huyu ****** hampendi hayati baba wa taifa.mzee si alikuwa anampinga ****** kutokana na tabia yake ya unafki tangu akiwa waziri wa mambo ya nje.
 
Yale yale ya akina machifu wetu na bogus treaty! Unasaini usichokijua.
Duuuh! Nilikuwa ninawaza hilo hilo. Afadhali ya wale machifu wetu walikuwa hawajui kusoma. Ni bora wao hawakuwa "Madokta". Tumwelewe vipi Vasco da Gama wetu?
 
yule jamaa anayeitwa Karl Peters angekuwa bado anaishi ingekuwa hatari zaidi hapa kwetu, angechukua kila kitu
 
he is not serious at all
iwejeraisi mzima aweke sign kwenye kitu ambacho hajakipitia
kila kitu ye kwake ni rahisi tu
ipo siku tutajikuta keshatuozesha bila ye mwenyewe kujijua
this is more than too much
sasa kitu gani yeye anakichukulia makini?
 
the stupid president ever lived, surrounded himself with aides who are more stupid than himself!
 
Haya ndiyo yanasababisha tunaona Ikulu yetu imekabidhiwa kwa magaidi tu wanweza hata kuuza watu kwa saini ya rais asiyependa kusoma. Hata hapa kuna watu post ikiwa ndefu basi wanalalamika, ohh post ndefu kaandike gazetini, mara oh soma mwenyewe haya ndio madhara ya kutokupenda kusoma. Tujenge utamaduni wa kupenda kusoma, ila rais wetu ndio kilaza hasomi kabisa nadhani huuliza umeandika vizuri basi anaangusha signature
 
Alisaini tangaza Airport wakati anajiandaa kwenda nchi za mbali.
 
Kwanini wasimchomekee uchaguzi mkuu ni mwaka kesho asaini?

Nafikiri wanamjengea mazingira ya kujitetea huko mbeleni kwamba hata mikataba mibovu ya madini alikuwa akisainishwa bila yeye kujua.
 
Rais Kikwete amedanganywa tena mara ya 13 tangu aingie ikulu.
My take:

Hivi JK huwa anasaini vitu asivyovisoma mwenyewe? Je, kama anakosa muda wa kusoma vitu vidogo kama tangazo anawezaje kutafakari na kuja suluhu ya matatizo ya nchi hii? Au yuko busy sana na safari za nje na zimemzidi sana

Source Tanzania daima.

Mkuu, Kuna mwanafalsafa mmoja alisema hivi" It is not so much how busy one is; but why that person is busy. The bee is praised but the mosquito is swalted" JK anaonekana yuko busy lakini so far hamna positive results/outcome. Sasa mtu wakawaida unashindwa kuelewa why is this guy busy?
 
Back
Top Bottom