Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,331
- 14,259
Sawa tu Mkuu.Njoo PM unipe namba yako ya simu.Nipo Mochwari naiandaa Maiti ya Mtu unayefanana nae Kitabia ( hasa Kiherehere na Kiuchokozi ) karibu sana Mr. Mpumbavu Kabisa.
Sawa tu Mkuu.Njoo PM unipe namba yako ya simu.Nipo Mochwari naiandaa Maiti ya Mtu unayefanana nae Kitabia ( hasa Kiherehere na Kiuchokozi ) karibu sana Mr. Mpumbavu Kabisa.
Ni hivi hivi Pia kwenye U Rais anaona hakuna mwingine zaidi yake mwenye uwezo wa Kuongoza nchi hii
Ili nikukojolee vizuri au?Sawa tu Mkuu.Njoo PM unipe namba yako ya simu.
Jamaa kasema ukweli mtupu.Kwani we nani ukubaliane au usikubaliane na kauli,hii haimpi shida....mbona nyie wengine mnajipa hadhi kubwa wakati hata jina lako halisi umeshindwa kuliweka....umeweka A.K.A hapo All rounder kujificha.
ndege JOHN ni kibaraka wa jiwe, full kujipendekeza. Kwa kuwa bosi wake ni dikteta, anaamini kuwa ana uwezo wa kukupangia. Kilangila.Na Wewe unanipangia Mimi cha Kutomuandikia ukiwa kama nani Kwangu / Kwake? Swine.
Mpe sifa yake pia, kwamba ni wakipekee kwa namna yake yaani ana vitu bayo hakuna rais hata mmoja aliwahi kuwa navyo.Yeye Magufuli mwenyewe anazidiwa kila kitu na Nyerere na Mkapa, na anazidiwa mambo mengi sana na Mwinyi na Kikwete
Kipi ambacho hakuna Rais amewahi kuwa nacho? kipi? labda ujinga na ushamba.Mpe sifa yake pia, kwamba ni wakipekee kwa namna yake yaani ana vitu bayo hakuna rais hata mmoja aliwahi kuwa navyo.
Naam kila binadamu ana jambo la ziada kuliko mwingine.
Kwani wewe nani hadi umpinge mleta mada?Kwani we nani ukubaliane au usikubaliane na kauli,hii haimpi shida....mbona nyie wengine mnajipa hadhi kubwa wakati hata jina lako halisi umeshindwa kuliweka....umeweka A.K.A hapo All rounder kujificha.
Post yangu hapo juu ya tarehe 20 February 2021, nimeisoma tenaHuyu Meko ana kiburi Kama cha Farao, ngoja kwanza apigwe mapigo 9 yaliyobaki ndiyo atatii amri. Pigo la kwanza ndiyo Hilo ameondoka Kijazi msiri wake kwenye mapigo ya rushwa za miradi mikubwa. Kama hukubali jiulize kwa nini alikuwa anamuongeza muda wa kufanya kazi zaidi ya mara 1 hata baada ya kufikisha umri wa kustaafu.
Tuwe na akiba ya maneno ndugu zangu.Mpe sifa yake pia, kwamba ni wakipekee kwa namna yake yaani ana vitu bayo hakuna rais hata mmoja aliwahi kuwa navyo.
Naam kila binadamu ana jambo la ziada kuliko mwingine.
Mkuu artch2311Mpe sifa yake pia, kwamba ni wakipekee kwa namna yake yaani ana vitu bayo hakuna rais hata mmoja aliwahi kuwa navyo.
Naam kila binadamu ana jambo la ziada kuliko mwingine.