Rais Dkt. Magufuli kwa Kauli hii sikubaliani nayo na sikuungi mkono pia kwani ina Viashiria vyote vya Dharau na Jeuri pia

Yeye Magufuli mwenyewe anazidiwa kila kitu na Nyerere na Mkapa, na anazidiwa mambo mengi sana na Mwinyi na Kikwete
Mpe sifa yake pia, kwamba ni wakipekee kwa namna yake yaani ana vitu bayo hakuna rais hata mmoja aliwahi kuwa navyo.
Naam kila binadamu ana jambo la ziada kuliko mwingine.
 
Mpe sifa yake pia, kwamba ni wakipekee kwa namna yake yaani ana vitu bayo hakuna rais hata mmoja aliwahi kuwa navyo.
Naam kila binadamu ana jambo la ziada kuliko mwingine.
Kipi ambacho hakuna Rais amewahi kuwa nacho? kipi? labda ujinga na ushamba.
 
Kwani we nani ukubaliane au usikubaliane na kauli,hii haimpi shida....mbona nyie wengine mnajipa hadhi kubwa wakati hata jina lako halisi umeshindwa kuliweka....umeweka A.K.A hapo All rounder kujificha.
Kwani wewe nani hadi umpinge mleta mada?
 
Huyu Meko ana kiburi Kama cha Farao, ngoja kwanza apigwe mapigo 9 yaliyobaki ndiyo atatii amri. Pigo la kwanza ndiyo Hilo ameondoka Kijazi msiri wake kwenye mapigo ya rushwa za miradi mikubwa. Kama hukubali jiulize kwa nini alikuwa anamuongeza muda wa kufanya kazi zaidi ya mara 1 hata baada ya kufikisha umri wa kustaafu.
Post yangu hapo juu ya tarehe 20 February 2021, nimeisoma tena
 
Mpe sifa yake pia, kwamba ni wakipekee kwa namna yake yaani ana vitu bayo hakuna rais hata mmoja aliwahi kuwa navyo.
Naam kila binadamu ana jambo la ziada kuliko mwingine.
Tuwe na akiba ya maneno ndugu zangu.

Ayu 14:1 SUV​

1 Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu.

2 Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa;
Hukimbia kama kivuli, wala hakai kamwe.
 
Mpe sifa yake pia, kwamba ni wakipekee kwa namna yake yaani ana vitu bayo hakuna rais hata mmoja aliwahi kuwa navyo.
Naam kila binadamu ana jambo la ziada kuliko mwingine.
Mkuu artch2311
Ninakubaliana na wewe juu ya haya uliyoandika hapa kwenye huo mstari mmoja na nusu, hata kama "...sifa yake, kwamba ni ya kipekee kwa namna yake...) ninavyo vifikiria mimi ni tofauti sana na vyako.

Kama ikikupendeza mkuu, ili kunogesha mjadala huu; unaweza ukataja "sifa yake ya kipekee; vitu ambavyo hakuna rais hata mmoja aliwahi kuwa navyo"?

Itapendeza sana tukiupeleka huko mjadala huu.
 
41 Reactions
Reply
Back
Top Bottom