Rais Dkt. Magufuli kwa Kauli hii sikubaliani nayo na sikuungi mkono pia kwani ina Viashiria vyote vya Dharau na Jeuri pia

Mkuu uwe unapima matamshi ya Rais na kulinganisha mazingira tuliyopo na sababu ya kifo.
Inaweza kuwa ni remorse.
Eng Kijazi need NOT have to die katika mazingira ya ku deny ukweli wa ungonjwa wa corona kwamba upo.
Nina uhakika watu wangevaa barakoa maisha ya watu wengi tu wangeokolewa.
 
Pengo hili halitazibika! Hii pia alitunga mhe.JPM?! Hii ni kauli ya kawaida kabisa, ila inawezekana una chuki binafsi na Mhe. JPM, uko kama volcano unatafuta tu pa kutokea!

Soma vizuri theories mbalimbali, kwa taarifa yako kila mtu ni wa pekee, kwa hiyo ni sahihi kutokana na mitazamo mbalimbali.
 
Ni hivi hivi Pia kwenye U Rais anaona hakuna mwingine zaidi yake mwenye uwezo wa Kuongoza nchi hii
Kwani hukumbuki alishasema "hakuna mwingine atakae weza kufanya anayofanya yeye"?

Hiyo ni kukupa taarifa kwamba hadi safari ya Israel itakapofika ndipo patakuwepo na mwingine kwenye nafasi hiyo.
 
Messi na Ronaldo wametawala tuzo za Fifa ballon D'or kwa miaka takribani 10, kwakuwa ktk miaka hiyo hakukuwa na wakuwazidi kiwango.

Sir Alex Ferguson kawa meneja Man U kwa miaka 26, na alishawahi kutaka kustaafu Man u ila wakuu wake wakamuomba aendelee kufundisha kwakuwa bado hawajaona mbadala wake na hata alipostaafu bado Man U haijarudi ktk kiwango chake na viongozi wanakiri timu bado haijapata Kocha bora kama Fergie

Sasa mleta unakuwa kama taahira au zwazwa kwa kushangaa kauli ya Mh Raisi ilhali ni jambo la kawaida kabisa
 
Un
" Marehemu alipofikia muda wake wa Kustaafu nilimuomba aendelee kwani sikuona wa Kumrithi. Na mpaka hivi leo ametutoka duniani ama hakika atanipa Kazi ya ziada kumpata Mbadala wake ", alisema Rais Dkt. Magufuli.

Tusidanganyane hapa duniani hakuna Mtu ambaye hawezi kuwa bora kwa Mwenzie hata kama ikitokea amefariki au amestaafu au amefukuzwa Kazi.

Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli sasa kwa Kauli yako kama hii ikitokea utakayemteua akiwa bora kuliko Marehemu utatuambia nini tena? Je, utaenda Kufukua Kaburi la Marehemu na kumchapa Vibao kwa kumwambia kuwa kumbe alikuwa hana lolote na alikuwa anakuchelewesha tu?

Mbona hata Wewe ( Mheshimiwa Rais. Dkt. Magufuli ) muda wako wa Kustaafu ukifika au ukiwahi Kuungana na Israeli kwenda Mbinguni ( namaanisha Kufa ) bado nina uhakika Tanzania tutapata Rais mzuri tu kuliko Wewe na huenda pia akatufanya hata tukusahau tu upesi?

Umeshauriwa sana uwe unazipima Kauli zako uwapo katika Hadhira lakini kwa bahati mbaya mno umekuwa Sikio la Kufa ( siyo Msikivu ) na hushahuriki pia Kiasi kwamba unatupa Maswali mengi zaidi juu yako.

Najua utaninunia ila badilika sasa JPM.
Unahangaika na vitu vya kijinga saana, kila binadamu ana hisia zake na kitu anachokitegemea, wakati mwingine unaweza kudhani ndicho sahihi kabiasa lakini kikitoka basi huweza kufanikiwa zaidi ya pale au kuanguka zaidi ya pale ulipofikia
Kwa hiyo hilo ni wazo lake na huwezi kumlazimisha.
Anaweza kuteua mwingine kwa mujibu wa sheria lakini asikidhi hitaji lake au akazidi pale yule mzee alipokuwa amefikia na siku ingine nae akamsifu zaidi.

Mwisho nikuulize
Pale mnaposema kuwa pengo lake halitazibika huwa mnamaanisha nini kwa wale waliofiwa na wale waliostaafu au kuacha kazi?
Mi nadhani hiyo ni dhana tu na inaweza kuwa kweli au si kweli kwa hiyo tusipoteze muda kwa maneno ambayo husemwa kila mara na kisayansi hayajawahi kupata jibu sahihi.
 
" Marehemu alipofikia muda wake wa Kustaafu nilimuomba aendelee kwani sikuona wa Kumrithi. Na mpaka hivi leo ametutoka duniani ama hakika atanipa Kazi ya ziada kumpata Mbadala wake ", alisema Rais Dkt. Magufuli.

Tusidanganyane hapa duniani hakuna Mtu ambaye hawezi kuwa bora kwa Mwenzie hata kama ikitokea amefariki au amestaafu au amefukuzwa Kazi.

Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli sasa kwa Kauli yako kama hii ikitokea utakayemteua akiwa bora kuliko Marehemu utatuambia nini tena? Je, utaenda Kufukua Kaburi la Marehemu na kumchapa Vibao kwa kumwambia kuwa kumbe alikuwa hana lolote na alikuwa anakuchelewesha tu?

Mbona hata Wewe ( Mheshimiwa Rais. Dkt. Magufuli ) muda wako wa Kustaafu ukifika au ukiwahi Kuungana na Israeli kwenda Mbinguni ( namaanisha Kufa ) bado nina uhakika Tanzania tutapata Rais mzuri tu kuliko Wewe na huenda pia akatufanya hata tukusahau tu upesi?

Umeshauriwa sana uwe unazipima Kauli zako uwapo katika Hadhira lakini kwa bahati mbaya mno umekuwa Sikio la Kufa ( siyo Msikivu ) na hushahuriki pia Kiasi kwamba unatupa Maswali mengi zaidi juu yako.

Najua utaninunia ila badilika sasa JPM.
Huyu atakuwa dictator na sithani kama atastaafu.Mpaka Sasa Hivi cabinet wake wamefariki na mkuu wa Makatibu mkuu pia .Mwandishi wake binafsi wa habari HOI .Huyu Magufuli mkimchekelea mtajikuta pabaya Haya
 
" Marehemu alipofikia muda wake wa Kustaafu nilimuomba aendelee kwani sikuona wa Kumrithi. Na mpaka hivi leo ametutoka duniani ama hakika atanipa Kazi ya ziada kumpata Mbadala wake ", alisema Rais Dkt. Magufuli.

Tusidanganyane hapa duniani hakuna Mtu ambaye hawezi kuwa bora kwa Mwenzie hata kama ikitokea amefariki au amestaafu au amefukuzwa Kazi.

Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli sasa kwa Kauli yako kama hii ikitokea utakayemteua akiwa bora kuliko Marehemu utatuambia nini tena? Je, utaenda Kufukua Kaburi la Marehemu na kumchapa Vibao kwa kumwambia kuwa kumbe alikuwa hana lolote na alikuwa anakuchelewesha tu?

Mbona hata Wewe ( Mheshimiwa Rais. Dkt. Magufuli ) muda wako wa Kustaafu ukifika au ukiwahi Kuungana na Israeli kwenda Mbinguni ( namaanisha Kufa ) bado nina uhakika Tanzania tutapata Rais mzuri tu kuliko Wewe na huenda pia akatufanya hata tukusahau tu upesi?

Umeshauriwa sana uwe unazipima Kauli zako uwapo katika Hadhira lakini kwa bahati mbaya mno umekuwa Sikio la Kufa ( siyo Msikivu ) na hushahuriki pia Kiasi kwamba unatupa Maswali mengi zaidi juu yako.

Najua utaninunia ila badilika sasa JPM.
Huyu Meko ana kiburi Kama cha Farao, ngoja kwanza apigwe mapigo 9 yaliyobaki ndiyo atatii amri. Pigo la kwanza ndiyo Hilo ameondoka Kijazi msiri wake kwenye mapigo ya rushwa za miradi mikubwa. Kama hukubali jiulize kwa nini alikuwa anamuongeza muda wa kufanya kazi zaidi ya mara 1 hata baada ya kufikisha umri wa kustaafu.
 
Anamaanisha pengo lake halitazibika jambo ambalo ni la kweli, maana mtu akishakufa ni nani wa kuliziba pengo lake?
 
" Marehemu alipofikia muda wake wa Kustaafu nilimuomba aendelee kwani sikuona wa Kumrithi. Na mpaka hivi leo ametutoka duniani ama hakika atanipa Kazi ya ziada kumpata Mbadala wake ", alisema Rais Dkt. Magufuli.

Tusidanganyane hapa duniani hakuna Mtu ambaye hawezi kuwa bora kwa Mwenzie hata kama ikitokea amefariki au amestaafu au amefukuzwa Kazi.

Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli sasa kwa Kauli yako kama hii ikitokea utakayemteua akiwa bora kuliko Marehemu utatuambia nini tena? Je, utaenda Kufukua Kaburi la Marehemu na kumchapa Vibao kwa kumwambia kuwa kumbe alikuwa hana lolote na alikuwa anakuchelewesha tu?

Mbona hata Wewe ( Mheshimiwa Rais. Dkt. Magufuli ) muda wako wa Kustaafu ukifika au ukiwahi Kuungana na Israeli kwenda Mbinguni ( namaanisha Kufa ) bado nina uhakika Tanzania tutapata Rais mzuri tu kuliko Wewe na huenda pia akatufanya hata tukusahau tu upesi?

Umeshauriwa sana uwe unazipima Kauli zako uwapo katika Hadhira lakini kwa bahati mbaya mno umekuwa Sikio la Kufa ( siyo Msikivu ) na hushahuriki pia Kiasi kwamba unatupa Maswali mengi zaidi juu yako.

Najua utaninunia ila badilika sasa JPM.
Yan shida yake Magufuli ndiyo hiyo, anadhani yeye na watu wake wa karibu ndo kila kitu wakati sisi wengine wote tunamwona Kilaza na mshamba flan tu
 
" Marehemu alipofikia muda wake wa Kustaafu nilimuomba aendelee kwani sikuona wa Kumrithi. Na mpaka hivi leo ametutoka duniani ama hakika atanipa Kazi ya ziada kumpata Mbadala wake ", alisema Rais Dkt. Magufuli.

Tusidanganyane hapa duniani hakuna Mtu ambaye hawezi kuwa bora kwa Mwenzie hata kama ikitokea amefariki au amestaafu au amefukuzwa Kazi.

Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli sasa kwa Kauli yako kama hii ikitokea utakayemteua akiwa bora kuliko Marehemu utatuambia nini tena? Je, utaenda Kufukua Kaburi la Marehemu na kumchapa Vibao kwa kumwambia kuwa kumbe alikuwa hana lolote na alikuwa anakuchelewesha tu?

Mbona hata Wewe ( Mheshimiwa Rais. Dkt. Magufuli ) muda wako wa Kustaafu ukifika au ukiwahi Kuungana na Israeli kwenda Mbinguni ( namaanisha Kufa ) bado nina uhakika Tanzania tutapata Rais mzuri tu kuliko Wewe na huenda pia akatufanya hata tukusahau tu upesi?

Umeshauriwa sana uwe unazipima Kauli zako uwapo katika Hadhira lakini kwa bahati mbaya mno umekuwa Sikio la Kufa ( siyo Msikivu ) na hushahuriki pia Kiasi kwamba unatupa Maswali mengi zaidi juu yako.

Najua utaninunia ila badilika sasa JPM.
Tabia ya mtu mmoja kujiona bora kuliko watu wote inataka kupandikizwa kwa kila mtu.
 
Kumbuka kauri 'haya yote tulio fanya tukiondoka nani atayaendeleza? Kuacha watu wafie ofisini kisa hakuna mbadala ni kujidanganya, na kuwadharau wengine.
Tena ni Kauli ya Kidharau kuliko vile ambavyo Wapumbavu baadhi hapa wanavyomtetea Kinafiki.
 
Back
Top Bottom