wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,131
We jamaa unamsema rais wa nchi kama unaongea na msela kijiweni.
Kwani Rais ni Mungu mpaka nimuogope?We jamaa unamsema rais wa nchi kama unaongea na msela kijiweni.
Mzee ati mzee mpe jina lingine zuri kuliko hilo.Alikuwa anajaribu kuelezea umuhimu na mchango wa marehemu kwa taifa...Mzee Chemistry ilikuwa inaendana na kijazi,mbaya mbovu halafu Kijazi hakuwa anamuogopa Mzee alikuwa anamshauri vzr SAA zingine Mori zikiamka kwenye tumbua tumbua.....sijaona shida sema kuna watu mnamchukia Mzee hata afanye Zuri gani hamtaongea.
Mkuu punguza chukiYeye Magufuri mwenyewe anazidiwa kila kitu na Nyerere na Mkapa, na anazidiwa mambo mengi sana na Mwinyi na Kikwete
Ni hivi hivi Pia kwenye U Rais anaona hakuna mwingine zaidi yake mwenye uwezo wa Kuongoza nchi hii
Hapangiwi bali anashauriwa.Unampangiaje raisi Cha kusema..wewe Nani?
Na waambie pia huu Uzi wangu tayari hata Mhusika mwenyewe Mkuu pamoja na Wasaidizi wake baadhi umeshawafikia na wameusoma.Unajiskiaje kuona uzi upo mpaka sasa!??? Watoto wa lumumba mpo kama mandondocha wajinga nyie "eti futa uzi" jamiiforum ya shemeji yako hii?
Wabongo bwana sijui kwanini hatupendi kabisa kusikia ukweli,
Yaani kwamba kuna mtu anakuzidi na ukakubali haiwezi tokea,
Ila tukiwa na hulka ya kuappreciate talents tutafika mbali sana.
Nani Ni bora kuliko marehemu Maalim seifu kule Zanzibar ambaye kwa sasa anaweza kuvaa viatu vyake na tukamsahau Maalim?
Nani bora kuliko Mbowe pale chadema ambaye anaweza kuchukua nafasi yake na tukamsahau Mbowe?
Kukusaidia tu logic has to do with reasoning (not sure if you know the applicability) whereas speech has to do with use of language to send a message (structure).Ni aibu mno Kuandika maelezo marefu hivi halafu ni Takataka tupu. Tuliosoma vyema Critical Thinking ( Logical Reasoning ) kwa huu Upuuzi uliouandika hapa tumekudharau sana tu.