Watu wngi hapa nchini wamekuwa wakitumia nukuu mbalimbali za Mwl Nyerere pale wanapotaka kukosoa ama ku-support jambo fulani. Nilifuatilia kwa makini moja ya hotuba zake akiwa anahutubia mkutano mkuu wa CCM na alisema, na nukuu" KATIKA MFUMO HUU WA VYAMA VINGI, RAIS ANAWEZA KUTOKA KATIKA CHOCHOTE. LAKINI, RAIS BORA NI LAZIMA ATOKE CCM! Tatizo letu sisi Watanzania tumekuwa kama bendera, tunafuata upepo unapovuma. Kama kweli tunampenda na kumthamini na kuthamini mawazo na hekima za Mwl Nyerere, hatuna budi kumchagua JK na hapo ndipo tutakuwa tunamuenzi Baba wa Taifa ktk hii miaka 11 ya kifo chake.
Sure!

Are you an old-cat?
Are you living in the past?
Na tuiache historia iwe historia!
watu wngi hapa nchini wamekuwa wakitumia nukuu mbalimbali za mwl nyerere pale wanapotaka kukosoa ama ku-support jambo fulani. Nilifuatilia kwa makini moja ya hotuba zake akiwa anahutubia mkutano mkuu wa ccm na alisema, na nukuu" katika mfumo huu wa vyama vingi, rais anaweza kutoka katika chochote. Lakini, rais bora ni lazima atoke ccm! Tatizo letu sisi watanzania tumekuwa kama bendera, tunafuata upepo unapovuma. Kama kweli tunampenda na kumthamini na kuthamini mawazo na hekima za mwl nyerere, hatuna budi kumchagua jk na hapo ndipo tutakuwa tunamuenzi baba wa taifa ktk hii miaka 11 ya kifo chake.
Kumbe unaifahamu kuwa Dr.Slaa ni kiongozi bora eehhhh.......hongera kwa kukiri kwako ......
Nyerere alisema kiongozi bora atatoka CCM ukweli huu unathibitika kwa kuangalia safu za viongozi wa vyama vya Siasa
mfano
1.Profesa Lipumba ni kiongozi bora CUF katokea CCM
2.Seif Sharif hammad kiongozi bora CUF katokea CCM
3.DR.Slaa kiongozi bora Chadema katokea CCM
4.Sinde Warioba kiongozi WA tume ya Katiba ambaye UKAWA wanatamani hata kumwabudu kama mungu mdogo katokea CCM
Vyama vya upinzani pamoja na kuwa na umri wa mtu mzima bado havijaweza toa au tayarisha kiongozi mkubwa wa vyama vyao ambaye hatoki CCM hivyo kuendelea kutegemea wale wale waliotokea CCM .
Nyerere alikuwa sahihi aliposema kiongozi bora ni wa kutokea CCM.
Mkuu, sijui kama umewaza vya kutosha kabla ya kuandika huu uzi. Iko hivi; Mwaka 1992/95 ndio vyama vya Upinzani vimeanzishwa/kuanza kazi. Kabla ya hapo Watu wote walikuwa CCM (Kwa kutaka au kwa lazima ya mazingira) sasa ukisema kuwa vyama hivyo havijawahi kutengeneza viongozi wao wenyewe unamaanisha kuwa mtoto aliyezaliwa na mmoja wa viongozi wa vyama vya upinzani ktk miaka ya 95 na kuja huku 2000'k ndiye anayeweza kuwa kiongozi aliyetengenezwa na Upinzani.
Kama ndivyo unataka kusema kijana wa miaka 19 na kushuka chini anaweza kuwa kiongozi wa kulinganishwa na hao uliowataja?
Huyo Nyerere wako Huyo angekuwa hai leo angemchapa viboko huyo JK. Jaribu kutathimini nini amekifanya nchi miaka 5 ya utawala wake. Jambo la kutia matumaini ni kwamba huko maofsini sijasikia mtu anamfagiliaJK, kwenye daladala hakuna anayemfagilia, jana niliuliza wanafunzi kama wangekuwa wapiga kura mwaka huu wangemchagua nani, kwa kauli 1 bila chenga wanasema CCM hawafai hata kupewa ujumbe wa nyumba kumi kumi!
Sasa najuuliza mtu atakaye wapigia kura ni nani?
Nimeandika kiongozi bora kwao (CHADEMA) sijasema nchini au katika vyama.