Rais bora atatoka CCM - Mwalimu Nyerere

Hii ni kutokana na misingi bora na imara ya kiuongozi na maadili ambayo imejengwa ndani ya ccm kuanzia ngazi za chini hadi juu.utaratibu wa kushughulikia matatizo na kuwajibishana kwa haki bila kuonea. Pia kupitia tanuru la kuoka viongozi yaani uvccm ni ukweli kuwa chama hiki ndio kimebeba tumaini la kweli la mtanzania masikini na mnyonge
 
....wapuuzi...mmesahau EPA,ESCROW,HAYA TUNAAMBIWA ELIMU BURE FIKSI TU,WATZ WAMEENDELEA KUBAKI MASKINI....,UPINZANI CHUKUENI NCHI HII...MBONA TUPO TAYARI
 
kweli rais mshamba wandege lazima atatoka ccm tu, sababu huko ndo walikojana mambumbu ambayo hayajitambui ila yamekana kujifanya kujua.
 
Hii ni kutokana na misingi bora na imara ya kiuongozi na maadili ambayo imejengwa ndani ya ccm kuanzia ngazi za chini hadi juu.utaratibu wa kushughulikia matatizo na kuwajibishana kwa haki bila kuonea. Pia kupitia tanuru la kuoka viongozi yaani uvccm ni ukweli kuwa chama hiki ndio kimebeba tumaini la kweli la mtanzania masikini na mnyonge
Kwani Kikwete ametokea ktk chama gani?Should Dr Slaa be elected to run the government he would have done much better than the wimp we have right now.
 
Raisi wa manzese ndo atatoka ccm lakini raisi wa Tanzania atatoka UKAWA ccm wana hali mbaya sana uwezekano wa kushinda hamna tena.
 
Hii ni kutokana na misingi bora na imara ya kiuongozi na maadili ambayo imejengwa ndani ya ccm kuanzia ngazi za chini hadi juu.utaratibu wa kushughulikia matatizo na kuwajibishana kwa haki bila kuonea. Pia kupitia tanuru la kuoka viongozi yaani uvccm ni ukweli kuwa chama hiki ndio kimebeba tumaini la kweli la mtanzania masikini na mnyonge

Ccm ni tumaini la matajiri na mafisadi,huwezi kutudanganya watu tulio na akili zetu,ni mambumbu tu kama wewe ndiyo wanaoikubali ccm.Angalia jinsi raslimali za nchi zinavyowanufaisha viongozi wa nchi hii(ccm),huku wananchi walio maskini kabisa hawana uhakika wa maisha. Shame on you.
 
Hii ni kutokana na misingi bora na imara ya kiuongozi na maadili ambayo imejengwa ndani ya ccm kuanzia ngazi za chini hadi juu.utaratibu wa kushughulikia matatizo na kuwajibishana kwa haki bila kuonea. Pia kupitia tanuru la kuoka viongozi yaani uvccm ni ukweli kuwa chama hiki ndio kimebeba tumaini la kweli la mtanzania masikini na mnyonge

Haya umepewa hongo kuhadaa wananchi kuna uongozi gani bora Ccm.Je majizi hawa huwaoni,epa nani amewajibishwa? Vipi dowans na Richmond na sasa escrow mnadanganya wananchi ninyi mtu akishaachishwa bac. Mfano vyesi vya mramba na Yona bdo kuamuliwa uendeshwaji wake tu ni ufisadi mara mbili tumewachoka
 
Ccm mnapumulia mashine mshafikia mwisho wenu! Hamna mpya ccm wezi majambazi wakubwa
Mnashinda kwa kuiba kura tu.
CCM haiwezi Kuwa na kiongozi bora hata siku moja
 
Nikimnukuu Baba wa taifa alisema rais anaweza kutoka chama chochote lakini rais bora atatoka CCM.

Kwa mwenye uwezo wa kufikiri vizuri hii nasaha aliyoitoa baba wa taifa ni sahihi kabisa.

Ukiwaangalia UKAWA hata mikutano yao hawana utaratibu uliopangiliwa kwa utaratibu wapo homehomela ni kama viongozi wa kwenye vilabu vya pombe.

Leo hii Tanzania nzima UKAWA utawa NCCR mzigo wote watanzania tunawajadiri waliochukua fom wa CCM nani anafaa kuwa Rais.

Sijaona sijasikia akijadiliwa mtu kutoka upinzani .

KWA HIYO KIONGOZI BORA ANATOKA CCM
 
kwa tofauti ya ccm ile aliyoicha na hii, hata atokee malaika kwa ccm ilivyo bado tutazidi kuogelea kwenye ujinga, umasikini na maradhi.
 
nikimnukuu baba wa taifa alisema rais anaweza kutoka chama chochote lakini rais bora atatoka ccm
kwa mwenye uwezo wa kufikiri vizuri hii nasaah alioitoa baba wa taifa ni sahihi kabisa.
ukiwaangalia ukawa hata mikutano yao hawana utaratibu uliopangiliwa kwa utaratibu wapo homehomela ni kama viongozo wa kwenye vilabu vya pombe.

leo hii tanzania nzima ukawa utawa nccr mzigo wote watanzania tunawajadiri waliochukua fom wa ccm nani anafaa kuwa rais.
sijaona sijasikia akijadiliwa mtu kutoka upinzani .

KWA HIYO KIONGOZI BORA ANATOKA CCM

Post za alfajiri nyingi huwa ni za kukurupuka na kuandika upuuzi sijui kwanini?
 
Mwalimu alimaanisha CCM ile ya wafanyakazi na iliyokuwa inakemea maovu kwa dhati....sio hii CCM hii ya Leo iliyogeuzwa kuwa pango la wanyanganyi na wabaka uchumi......
Soma alama Za nyakati.....
 
lowasa hana kipaji cha uongozi ila anakipaji cha uongo.
Uwezo wake ni kuongoza ng'ombe sio watu.
Lowasa ni jipu, ukitumbua vibaya utachafuka wewe, linahitaji timing sana
 
Sijui labda awe mmoja wa hawa:-

1) Augustine Ramadhani

2) Asha Rose Migiro

3) Prof. Mark Mwandosya

4) Anne Makinda

5) Amina Salum
 
Back
Top Bottom