Jatropha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2009
- 1,151
- 199
URASA, kila mbaya ana mazuri yake. Kikwete ni bora na CCM ni bora zaidi. Hata wewe nikikuambia utaje mazuri na mabaya ya JK, mazuri yatakuwa mengi kuliko mabaya. Sir R, hata Dar haikujengwa ndani ya siku moja. Shule zimejengwa na zitaimarika tu. Je, unajua ktk matokeo ya form 4 mwaka huu, shule za kata zilifanya vema zaidi!!! Ni kweli zimejengwa na wananchi, ila uhamasishaji ni CCM ya JK. Mbona enzi za MKAPA na MWINYI hazikujengwa? Au wananchi hawakuwepo
TUPE TAFSIRI YA SHULE KWANZA? HIYO 70% KUPATA DIVISION 4 NDIO KUFANYA VIZURI? yOU MUST BE JOKING