sasa 39% azitoe wapi waibe kura wampatie yeye/? acheni ujinga mtu hakbaliki atoe wapi kura zote hizoMlipoharibu ni pale mlipompa Lisu 13% walau mngempa 39% inge make sense.

Ahahahaaaa . Daahh, ila wewe !!.Salaam JF,
Baada ya Rais Biden kuapa Jana Ikulu ya Marekani imetangaza kuwa mawasiliano ya kwanza ya simu yatakayofanywa na Rais Biden ni kati yake na Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau, bila Shaka kigezo na hoja kuu ni kwa jinsi utawala wa Canada unazingatia sheria, Demokrasia na uwajibikaji kwa Wananchi wake na taasisi zake.
Kwasababu kinachofanyika Canada na Tanzania ni sawa, Aidha misimamo ya Sasa ya JPM na uwajibikaji wake kiuchumi na kifursa kwa Wananchi wake.
Pia uwezo wa Rais mpya wa Zanzibar Dkt. Mwinyi anayeonesha alama ya uwajibikaki na Mapinduzi mapya katika ustawi wa amani uchumi, nashauri na kuomba iwe sababu muhimu ya Ubalozi wa Marekani Tanzania kuyatambulisha yote haya kwa Biden ili mazungumzo yanayofata yawe kati ya Rais Biden na viongozi wetu hawa Wazalendo.
Kwa Afrika Tanzania ni kituo kikuu cha Amani na uwajibikaji, tunayo Demokrasia na mihimili inayojitegemea ukilinganisha na nchi nyingine za Afrika.
Aidha historia ipo wazi kati yetu na Marekani, Kwa Mantiki hiyo Tanzania ipewe kipaumbele zaidi katika mawasiliano ya awali na Rais Biden kwa manufaa ya nchi na Africa kwa ujumla kiuchumi, Kisiasa na kijamii nina imani ili litatimia hivi karibuni.
Huwezi endelea bila wao
Miaka 60 ya Uhuru hata kuwapa watu wetu basic needs tumeshindwa mtu anakufa kwa kukosa Panadol ya mia 5 huo Uhuru umetusaidia nn.Sio kweli,sisi ni dona kantri
Salaam JF,
Baada ya Rais Biden kuapa Jana Ikulu ya Marekani imetangaza kuwa mawasiliano ya kwanza ya simu yatakayofanywa na Rais Biden ni kati yake na Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau, bila Shaka kigezo na hoja kuu ni kwa jinsi utawala wa Canada unazingatia sheria, Demokrasia na uwajibikaji kwa Wananchi wake na taasisi zake.
Kwasababu kinachofanyika Canada na Tanzania ni sawa, Aidha misimamo ya Sasa ya JPM na uwajibikaji wake kiuchumi na kifursa kwa Wananchi wake.
Pia uwezo wa Rais mpya wa Zanzibar Dkt. Mwinyi anayeonesha alama ya uwajibikaki na Mapinduzi mapya katika ustawi wa amani uchumi, nashauri na kuomba iwe sababu muhimu ya Ubalozi wa Marekani Tanzania kuyatambulisha yote haya kwa Biden ili mazungumzo yanayofata yawe kati ya Rais Biden na viongozi wetu hawa Wazalendo.
Kwa Afrika Tanzania ni kituo kikuu cha Amani na uwajibikaji, tunayo Demokrasia na mihimili inayojitegemea ukilinganisha na nchi nyingine za Afrika.
Aidha historia ipo wazi kati yetu na Marekani, Kwa Mantiki hiyo Tanzania ipewe kipaumbele zaidi katika mawasiliano ya awali na Rais Biden kwa manufaa ya nchi na Africa kwa ujumla kiuchumi, Kisiasa na kijamii nina imani ili litatimia hivi karibuni.
nonsens3Salaam JF,

Lihaya hili linajikomba kutafuta kuteuliwa... unadhani halioni uchafu wa Jwe, basi tu njaa ya maviYaani Biden usicheke na kima, Tanzania tumeshuhudia vyombo vya ulinzi na usalama vilivyokuwa vikiua watu hadharani mtaani.
Tumejionea kwa macho udanganyifu mkubwa na wizi wa kura.
Deogratias Mutungi Tanzania nzima hamna Mhaya wa hovyo kama wewe.
Kinyume kabisa na msimamo wa kanisa lake katoliki.... anaunga mkono ndoa za jinsi moja na haki za LGBT.
Tunaomba mjani uheshimiwe.Wanavuta bangi
Ili apewe hata Ualimu mkuu wa Shule ya msingi.Umesahau kuandika namba yako ya simu mwishoni.
Kweli jina lako linasadifu uboya wakohuoni wivu tu hao waliouwawani lini wameuwawa unaushahidi wa kutosha kuelezea upuuzi uliouandika hapa?
Ebu rudia tena, usikute anajifanya nini? Uongeze na sauti tafadhali tukusikie vizuriusikute anajipiga vidole kwa hasira sasa hivi baada ya kusoma huu ujumbe.
Una maana watanzania 39 kati ya 100 walikubali kushogeshwa? Siamini kama hesabu hizo zina ukweli ndani yake.Mlipoharibu ni pale mlipompa Lisu 13% walau mngempa 39% inge make sense.
Lissu, Lema, MnyikaEndelea na upigaji ramli wako wa kishetani. Nitajie "gays" watatu na "lesbians" watatu walio nnje ya CCM nami nitakuonyesha wewe ni nani.
Sasa mbona alikamatwa anajipiga vidole kwa hasira?Lisu hahangaiki na wajinga Kama hawa, Ukitaka ujue uliza kwa wakubwa zenu.