Rais anisukuma nipigane vita

Rais anisukuma nipigane vita

Unayoyasema ni kweli maana ata juzi walikuja watu nyumbani kwangu usiku na kugongo mlango wakidai wao ni askari na nilipo wauliza kama ninyi ni Askari kwanini mruke ukuta na kuja kunigongea mlangoni wakanijibu kuwa hayo hayaniusu kinachotakiwa ni mimi nifungue mlango. Walipona nawasiliana na polisi wakatimua zao.

Unataka kutuambia Mwigulu anajua alichokifanya kimemdhuru mtoto wako??
 
Huenda nikapigwa warning hata kufungiwa kwa kisingizio cha kusema uzushi au uongo (maana ndizo sababu za watawala) na Moderator ila ukweli unauma na njia njema ni kuja kwa uwazi na kusema ukweli maana JF tunaiheshim sana; inabidi JF wajieleze kwa ummaa unaowategemea ili kuaminika. Nimeweka post nyingi zinazomhusu savimbi bila mafanikio dk 2 huzioni tena. OK back to to the point now

Na waje tu kuelezea haya sivyo jukwaa ndio litazidi kupoteza maana kwa sbb kanuni za uendeshaji na usimamiaji zinakiukwa .
 
I hate Sana politics za kuuana,tanzania ni nchi ya amani hatujafikia chuki I hate you mwigulu ñchemba

wewe mwekundu ni wewe huyu lep umekuwa mweupe wa kumtukana bosi wako mwigulu, angalie mkuu leo tusije kunyima bk 7 halafu tutakufuta kazi
 
CHADOMO ni ngumu sana kuaminika kila sku mnajigeuza nakutunga hadithi za uongo.....mara tuna CD!!, ......siasa hizi mwisho wenu ni baada ya uchaguzi 2015 ambapo chama kingine cha upinzani kitakapibuka bungeni.......manake ilianza NCCR, CUF, CDM nahisi sasa kijiti kitarudi NCCR.

Wewe acha kuharishia mdomoni.
 
kweli we tofyo na hata akili zako zimekaa kitofyo tofyo!

chadema mmebaki kudandi treni bila kujua zinapokwenda.
kama mnataka TUJADILI mwambieni MBOWE & SLAA watuwekee ile move hata hapa jukwaani ili tuichambue kama nikweli cctv au ni shooting kama shooting zingine.
sasa hii nayo ni treni kama ya kapuya ambayo wenye muamko hatuwezi hata kujadili.
kwa mfano huyo MINIKABANG yeye akiishiwa neno la kujitetea kwa watu wake anaanza kuandika ujinga kama huu.
 
ni kweli mkuu,hii sehemu inayoitwa Lizabon ipo Songea mjini njia ya kwenda Mbinga.Ni moja kati ya KATA za manispaa ya Songea inayoongozwa na Diwani wa CDM.Huyu mtu anaetumia jina hili (LIZABONI)kama sio Nchimbi basi ni wale watanzania wenzetu walikosa UZALENDO na kuuza utu wao kwa buku 7.

Yes!!!!!!!!!!!!! hii ni moja kati ya kata tuliyoshinda mwaka jana kwenye chaguzi mdogo wa kujaza kata zilizoachwa wazi na nadhani ni jina la nchimbi au manungenyembe ya magamba
 
Unataka kutuambia Mwigulu anajua alichokifanya kimemdhuru mtoto wako??

Mkuu maji yaliyotulia ni ngumu kujua kina chake. Timbwili nililolianzisha Elerai ccm wote wanalijua, na kunidhuru wanaogopa maana Mbunge wangu nilishampa hii taarifa na polisi nilisharipoti. Sasa kwakuwa Nchimbi kapigwa chini hakuna aja tena ya mimi kuremba na ndio maana head title nimeandika "RAISI ANISUKUMA NIPIGANE VITA"
Sipigi tena vita baridi sasa nimeamua kujitupa on Batle ground.
 
chadema mmebaki kudandi treni bila kujua zinapokwenda.
kama mnataka TUJADILI mwambieni MBOWE & SLAA watuwekee ile move hata hapa jukwaani ili tuichambue kama nikweli cctv au ni shooting kama shooting zingine.
sasa hii nayo ni treni kama ya kapuya ambayo wenye muamko hatuwezi hata kujadili.
kwa mfano huyo MINIKABANG yeye akiishiwa neno la kujitetea kwa watu wake anaanza kuandika ujinga kama huu.

Sidhani kama una-ufahamu wa kinachojadiliwa ,ningekushauri usome mada iliyo mezani hapa.
 
mtoa mada.naomba nikukumbushe mambo matatu kisha hii thread ifungwe. 1). milango ya polisi na mahakama iko wazi tunakuomba utangulie nchemba atakuja. 2).jf ina rule zake mimi siwezi kujadili jambo eti kwasababu katajwa nchemba.ni sawa na kujadili riport ya siri ya YERICO NYERERE na BEN SAA8. 3).hii part 1 mjadala wake ulishafungwa hatuwezi kuharibu kodi zetu na kuwasumbua majaji wakati mwenye video yupo na ameikalia. BAADA YA KUSEMA HAYO HAYA SASA HII THREAD IFUNGWE.
who are U?that U can close this thread?shame on U!
 
Mkuu maji yaliyotulia ni ngumu kujua kina chake. Timbwili nililolianzisha Elerai ccm wote wanalijua, na kunidhuru wanaogopa maana Mbunge wangu nilishampa hii taarifa na polisi nilisharipoti. Sasa kwakuwa Nchimbi kapigwa chini hakuna aja tena ya mimi kuremba na ndio maana head title nimeandika "RAISI ANISUKUMA NIPIGANE VITA"
Sipigi tena vita baridi sasa nimeamua kujitupa on Batle ground.

Tatizo la ccm na Serikali yao wanafikiri wanaweza kuficha kila uovu wanaoutenda dhidi ya raia wake ,wataachwa uchi muda co mrefu.Kamanda nilikuwa ktk mlipuko wa bomu Soweto ilikuwa ni huzuni sana ,wote waliofanya unyama huu wataulipia so sad.
 
hivi ccm unawajua kweli wewe ?
Na wewe CDM unawajua?

Two wrongs dont make a right, CDM wapeleke mkanda wa ushahidi polisi, wanaweza kutoa copy na wao wakabaki na yao kama woga ni wahusika ku-edit original copy kufuta ushahidi.

Watu ambao walikuwa wakwanza ku-publish Mwangosi alipopigwa bomu leo hawataki kutuonyesha ushahidi kamili wahusika waonekane zimebaki hadithi. Hivi CDM na siasa zao za kutafuta sympathy wangeacha kweli kuweka ushahidi wote kama wanao maana wao kwa kupenda kuonewa huruma si ndio design yao.

Jamaa anadai yeye alikuwa ni mwana-ccm damu mpaka hapo, bomu limerushwa mbele, katika umati ina maana watu waliokuwa mbele ndio waliofika mapema kwenye mkutano ule. Sasa tena kada wa CCM ana amka asubuhi na mapema yeye mwanawe kwenda kusikiliza chama cha upinzani, wewe ni CCM unamfundisha mwanao kuipenda CDM umeona wapi?

Halafu acheni hadithi amna mtu anaeweza kuhujumu CDM kwa sasa, kama kuna watu wanania hizo ni kwa sababu viongozi tu hawako stable au kuna baadhi ya viongozi wenye njaa zinawasumbua na kupokea rushwa. Hila chama chenye mikakati yake ambayo wanaifanya kama kawaida kinahujumiwa vipi umewahi kujiuliza hilo.

Kuhujuumiwa ina maana viongozi wako hawawezi fanya kampeni zao, wanafungwa, media zenye kutoa habari zenye sifa za chama zinafungiwa (tofautisha sio zinazo andika habari za udaku na kushindwa kupeleka ushahidi unapo ombwa), serikali ina freeze asset za chama, yeyote anaetoa support ya fedha kwenye chama lupango, viongozi wao hawaruhusiwi kutoka nje ya nchi kuongea na wafadhili wao kisiasa etc to do with hindering the party plans. CDM wanahujumiwa vipi hapo?

Ndio kuna watu hawana nia njema na CDM sikatai pengine kwa maslahi ya wachache, lakini kwa uhuru walionao CDM ukizingatia na vyama vya siasa nchi nyingine they are pretty much running their own show, tunayoyasoma largely ni uongozi mmbovu au watu wachache wenye maslahi binafsi, lakini CDM amna anaeweza kukihujumu kutokana na uhuru waliokuwa nao ndani ya nchi ni uongozi wa ovyo tu.
 
chadema mmebaki kudandi treni bila kujua zinapokwenda.
kama mnataka TUJADILI mwambieni MBOWE & SLAA watuwekee ile move hata hapa jukwaani ili tuichambue kama nikweli cctv au ni shooting kama shooting zingine.
sasa hii nayo ni treni kama ya kapuya ambayo wenye muamko hatuwezi hata kujadili.
kwa mfano huyo MINIKABANG yeye akiishiwa neno la kujitetea kwa watu wake anaanza kuandika ujinga kama huu.

Ni vizuri ukarudi katika ufahamu wako wa akili maana sitaki kuamini kama hapo ndio umefika mwisho.
 
Sidhani kama una-ufahamu wa kinachojadiliwa ,ningekushauri usome mada iliyo mezani hapa.

wewe ndio urudi kusoma. Mtu anaandika aliona gari aina toyota vx na v8 kwa nini asiweke hata namba ya gari.

ok mliozoea kuburuzwa endeleeni.
 
Sina uhakika kama unamuamini Mungu wewe mleta maada. Huna ushahidi wowote wa kuaminika na kumhusisha Mwigulu lakini hapa unaonekana umeshamhukumu.
 
Wewe nitakuita mzembe wa mwaka 2013
Mkuu nakushauri usome comments zangu in full, sio ku-pick pick vitu vidogo vidogo kwa madhumuni ku-derail mada, binafsi sihafiki na baadhi ya mambo yanavyo endeshwa ndani ya Taifa letu lakini hilo lisitufanye ku-blame/condemn wholesale baadhi ya watu bila ya kuwa na ushahidi wa KUTOSHA.
 
chadema mmebaki kudandi treni bila kujua zinapokwenda.
kama mnataka TUJADILI mwambieni MBOWE & SLAA watuwekee ile move hata hapa jukwaani ili tuichambue kama nikweli cctv au ni shooting kama shooting zingine.
sasa hii nayo ni treni kama ya kapuya ambayo wenye muamko hatuwezi hata kujadili.
kwa mfano huyo MINIKABANG yeye akiishiwa neno la kujitetea kwa watu wake anaanza kuandika ujinga kama huu.

Mbinguni ni sehemu takatifu mwambieni kwanza gaidi wenu Mwigulu aweke ushahidi wake wa kwenda kutoa mbinguni tuujadili kama unafaa kwenda kutolewa sehemu takatifu.
 
Sina uhakika kama unamuamini Mungu wewe mleta maada. Huna ushahidi wowote wa kuaminika na kumhusisha Mwigulu lakini hapa unaonekana umeshamhukumu.

Sina haja ya wewe kuniamini maana mimi ni binadamu kama wengine, ila ninaamini utakubaliana na ninacho kisema baada ya kumaliza kukitenda.
Nakuakikishia stay tune and u W'll undastant what i'm talking about
 
wewe ndio urudi kusoma. Mtu anaandika aliona gari aina toyota vx na v8 kwa nini asiweke hata namba ya gari.

ok mliozoea kuburuzwa endeleeni.

Mauaji yaliotekelezwa na askari wa jeshi la police dhidi ya mwandishi wa habari wa chanel ten ndugu Daudi Mwangosi picha zipo na zinaonyesha tukio zima vile lilitendeka mbele ya R.P.C Kamhanda ,niambie hatua zilizochukuliwa mpaka sasa(ni kichekesho).Mwanzo jeshi la police lilikana kuhusika na kifo cha Mwangosi baada ya picha kuwekwa ktk mitandao mbali mbali na magazeti ,jeshi la police lilikuja na taarifa nyingine na kuachana na ile ya mwanzo nnaomba nikushangae wewe kutaka namba za magari.
 
Back
Top Bottom