Mkubwa! Nakwambia nimeisoma THREAD hii mpaka nikasisimuka mwili.
Siku zote mficha uchi hazai! Na si mbaya hata kidogo methali hii ikawa sawa na mawazo niliyonayo ya kwamba "MVUNA JANGA HULA NA WA KWAO" huyu
Mwigulu Nchemba ni sumu mbaya sana kwa jamii nzima ya Watanzania. Sitokaa nikaisahau tukio la hapo Soweto katika uhai wangu. Nikikaaga na kufikiri hakika natokwaga na machozi ya hasira kwani hata leo nikiletewa mhusika wa lile tukio nawaambia nakatakata kama nyama ya buchani! Ninachokuomba
Mkuu ya Kaya ni hebu fungua kesi mara iwezekanavyo kwani hakika unaweza ukawa umewanusuru Watanzania wanaoumia vichwa kufikiria haya ya mauaji ya kikatili iliyofanywa na watu waovu na wapenda madaraka bila ya kupendwa na Watanzania!
Mungi Arushaone Crashwise hebu rudisheni mawazo nyuma tujikumbushe yale majanga ya hapo Soweto.