Rais anisukuma nipigane vita

Rais anisukuma nipigane vita

Ushauri

Kama unayosema ni kweli fungua kesi mahakamani; shirikiana na wajasiri wa chadema ikiwemo wanasheria maana hawan ushahidi tu wa kuthibitisha kama unao amekwisha huyo hii haihitaji hata wale majaji; unatakiwa ufungue kama mshiriki wa kikao pia ufungue kama mwathirika so hiyo kesi iinaisha asubuhi na kumweka korokoroni huyo savimbi; CCM mmeona ubaya wa hawa watu walivyo; niliona na kushuhudia baadhi ya matukio na niliweka hapa kuwa nchimbi na mwigulu ndio wauaji lakini haikuweza kukaa hata dk 2 ikatolewa na yule msaliti na kiongozi wa JF ambaye ameshakula mlungula mpaka amesahau phylosophy yake mwenyewe; we currently don't dare talk openly

To all; the best you can do is to be away from CCM
Huyo mwenye red ameniudhi sana hata mimi......
 
Mkuu tuamini nini tuache nini, mnatuchanganya mno!! Mbona M.Nchemba hana sura ya FRANKENSTEIN, sasa ukatiri mnao mtuhumu kajifunza wapi? kama nakumbuka vizuri niliwahi kuona picha aliyo kuwa amembemba mtoto wake mgongoni kwa mbereko, kisaikolojia hii inadhilisha nini? kwamba ana traits za u-split personality i.e ni mtu mwema kwa familia yake na close relatives lakini hajali Watanzania wenzake anao tofautiana nao kihitikadi - maanake hii ndio impression inayo tolewa na members wengi humu jamvini!! Binafsi siamni kama ana ukatili wa namna hiyo - he may be a forceful speaker lakini I don't think Nchemba is some monster - if my memories serves me right I don't recall M.Nchembe eating anyone dead or alive!! Kitu kingine kuna thread aliyo kuwa anajieleza kilicho jiri - watu wengi walimjibu lakini yeye alikaa kimya kwa nini hamjiulizi ni kwa nini? Mimi sio kwamba namtetea Nchemba au Nchimbi, kwanza hawanijui - ila wakati mwingine tujaribu kuchambanua matukio kwa kina - kwa watu wenye uelewa wa fani ya IT na Security hivi inaingia akilini kwamba Waziri nzima anaweza kutumia Webmail kuwasiliana na mwenzake masuala sensetive alafu ataje majina alisi, saa na sehemu ya kukutana na list ya watu wa kuwa-eliminate physically - hii inaingia akilini KWELI? Hivi Taifa letu limekwisha fikia hatua ya kuteua Viongozi ambao wako so SLOPPY, hawajui tofauti kati ya E-MAIL na Snail Mail wasijue mambo ya usalama wanapo pitisha E-mails zao kwenye CLOUD? hawajawahi kusikia cerficates, publickeys na privatekeys - JAMANI.

Kwani huyo wa Kwanza mbona akina mwigulu,mulamula salva rweyemamu nchimbi walipeana HI kwa matukio Fulani email ikavuja ikawekwa hapa JF ha MACCM ni limbukeni wa mitandao wanadhani wako safe au ni laana ya mwenyezi Mungu ndio maana wanaumbukaI
 
Mkuu kiukweli siitaji majibu yoyote ya Mwigulu kwa kukuwa vyovyote vile atafanya siasa. Ninachoitaji hapa ni Raisi kuunda tume huru ya kijaji au kumteuwa waziri wa mambo ya ndani ambaye nitakuwa na imani naye ili niweze kujitokeza hadharani.
Huy Rais ndo bosi wake Mwigulu, unadhani hajui kinachoendelea? Au kucheka cheka kwake kunakufanya umwone yeye mwema. Hao wote lao moja mkuu, usijidanganye
 
Natumai Sikuku ya
X-mas ilienda vizuri na leo hii tupo pamoja katika kusukuma gurudumu
hilii zito la maendeleo ya Taifa letu wakati tunahesabu siku chache
zipite tuuzike mwaka 2013 na Mungu akipenda tuuanze mwaka 2014.

Wana Jf siku mbili zilizopita Mh. Mwigulu Nchemba alileta post yake ya
utetezi humu ndani na mimi niliichachinga kwa kueleza maumivu yaliyo
ndani ya moyo wangu. Na baadhi ya wana Jf walinishauri nianzishe Thread
japo halikuwa wazo langu mwanzo.

Mnamo mwezi wa sita mwaka 2013 kulikuwa na uchaguzi mdogo wa madiwani
katika baadhi ya mikoa ya Tanzania, Arusha ilikuwa mojawapo ya mikoa
hiyo huku ikiwa na kata zipatazo 4 zikirudiwa uchaguzi. Nakumbuka vyama
vinne vilijitokeza katika kusimamisha wagombea ila chama cha CCM na
CHADEMA ndivyo vilikuwa vikishindana. Kipindi hicho nilikuwa mwanachama
wa Cmm na nikimfanyia kampeni kwa karibu mgombea udiwani kwa tiketi ya
ccm wa Kata ya Elerai Ndg. Emanuel Laizer.

Wakati kampeni zinaendelea na tunakaribia kufikia mwisho tulipata ujumbe
kuwa kuna Mjumbe toka makao makuu ya chama atakuja akiambatana na
mawaziri ili kuongeza nguvu na atakapofika tutatakiwa tufanye kikao cha
siri ambapo katika kikao hicho tutapewa mbinu na mipango mbalimbali ya
kukabiliana na Chadema. Na wajumbe watakao ruhusiwa kuuudhuria kikao
hicho ni wale viongozi wa mitaa na watu wanao aminika na chama tu.

Tarehe13/06/2013 siku ya alhamisi saa moja jioni tulikutana katika eneo
la chuo kimoja cha ufundi (Help to Selph Help Project )kilichopo Sakina
kuelekea Olmatejo, kulikuwa na ulinzi mkali ndani na nje ya chuo hicho
na magari yapatao sita hivi aina ya Toyota vx na V8 yakiwa yamepaki
chuoni hapo, huku taa za chuo hicho zikiwa zimezimwa zoto isipokuwa taa
za chumba cha mikutano tu. Tulipewa tangazo kuwa tunatakiwa tuzime simu
zetu na tuzikabizi kwa bwana mmoja ambae alikuwa mlangoni (nafikiri
waliogopa kurekodiwa au kupigwa picha) kabla ya kuingia ukumbini.

Tulipo kuwa ukumbini aliingia Mwigulu Nchemba na kuanza kutupa moyo na
maelekezo ya mbinu mbalimbali za kikampeni, na muda uliposogea majira ya
saa 10:00 usiku ndio akaanza kutoa kauli zilizotuacha na maswali mengi
kichwani., namnukuu "Kesho tarehe 14 tutafunga kampeni zetu zote na tuna
sababu ya kufanya hivyo, kwa sababu tunazo taarifa kuwa Chadema
watafunga kampeni zao tarehe 15 siku moja kabla ya uchaguzi ndio maana
tumeamua kufanya hivyo. Pili kila mmoja anatakiwa aimize jamiii yake na
rafiki zake kwamba siku ya tarehe 15 wasisubutu kwenda kwenye mkutano wa
Chadema na yeyote aliopo hapa asisubutu kwenda na atakae enda kitakacho
mkuta tusilaumiane" mwisho wa kunukuu.

Kiukweli sina ushaidi wa picha wala rekodi yoyote inayoonyesha mwigulu
akiyasema hayo ila nina wajumbe wanne waliokubali kutoa ushaidi pindi
kesi itakapoenda mahakamani.

Kwa kuwa Raisi amemfuta kazi aliyekuwa Waziri wa mambo ya Ndani Mh.
Nchimbi, ambae alikuwa mtu wa kaaribu sana na Mwigulu Nchemba ndio
sababu hasa iliyonifanya kupigana vita hii na wale waliosababisha na
namna yoyote kifo cha mwanangu.

NB:
Mh. Raisi nakuomba uunde tume huru ya kijaji ili mimi muhathirika mkuu
na wajumbe waliokuwa katika kikao hicho cha Mwigulu Nchemba tuweze kutoa
ushaidi utakaoweza kuisaidia tume hiyo kufanya kazi yake kwa uraisi.
Nakuomba sasa Mh. Raisi usikie kilio chetu.

Mwigulu anaonyesha anafahamu mengi kuhusu kukihujumu Chadema kisiasa!
 

Mkuu, Ata moderator akifuta hii thread hapa jf aita saidia kitu maana ukweli utabaki kuwa ukweli tu. Na pili hii ni njia moja kati ya njia za mwanzo (sub way) nilizoamua kuzichukua kwa sasa katika kulaani kitendo cha kuzulumiwa maisha ya mwanangu. Ata hivyo itafuata nyia husika (targeted way) niliyopanga kuchukua na nitaifanikisha ata kama itakuwa ni ngumu na kutisha vip.

Pigana mkuu tuko pamoja nawe
 
wewe ni mjinga sana, kwa hiyo unafurahi sana unapoona mwigulu anafanikiwa kuua watanzania wasio na hatia? Kwanza acha kutumia hata hilo jina Lizabon, watu wa pale lizabon hawana roho ngumu kama yako, wengi maisha yao ni magumu sana, ccm haija wasaidia cho chote.

Hii sehemu Lizabon nadhan iko Songea Mjini kama sijakosea
 
Kwa ufupi tu ni kuwa huyu mtu anayejiita LIZABONI atakua ndo Nchimbi mwenyewe aliefukuzwa uwaziri hivi karibuni.
 
sipendi kusoma na wala kusikia habari za jambazi nchembee kwani mapigo ya moyo hunienda mbio mithiri ya mwendokasi wa duma mawindoni.
hasira nyingi mno dhidi yake sipendi hata kuliona hilo guruwe.......
 
Mkuu hata gazeti la MAWIO la tar 26/12/2013 liliweka mawasiliano ya huyu mmoja wa wamiliki wa mtandao wa jamiiforums jinsi alivyokuwa akiwasiliana na Zitto,kwa ambao walibahatika kulisoma gazeti la MAWIO mtakubaliana na mimi ila nimesikitika mpaka waandishi wa habari wanaotakiwa kutoa habari bila ya upendeleo wamekuwa sehemu ya 'wahalifu'.
Haswaaa, na hasa huyu mtu anaitwa Denis msaky anatajwa tajwa sana ktk haya mambo sijajua kama ni jasusi au mhariri mwenye msaada plz. Refer Mawio la 26 Dec. 2013,... siku nchi ikipata wenye uchungu tutajua ukweli na ushiriki wa hawa watu na huyu mwenye hili jukwaa tunalotumia
 
Huy Rais ndo bosi wake Mwigulu, unadhani hajui kinachoendelea? Au kucheka cheka kwake kunakufanya umwone yeye mwema. Hao wote lao moja mkuu, usijidanganye


Mkuu sikupingi na pia sikuungi mkono 100% kwa kuwa siku zote nasimamia kile ninachokiona kuliko ninachohisi na kuambiwa.
 
mtoa mada.

naomba nikukumbushe mambo matatu kisha hii thread ifungwe.

1). milango ya polisi na mahakama iko wazi tunakuomba utangulie nchemba atakuja.

2).jf ina rule zake mimi siwezi kujadili jambo eti kwasababu katajwa nchemba.ni sawa na kujadili riport ya siri ya YERICO NYERERE na BEN SAA8.

3).hii part 1 mjadala wake ulishafungwa hatuwezi kuharibu kodi zetu na kuwasumbua majaji wakati mwenye video yupo na ameikalia.

BAADA YA KUSEMA HAYO HAYA SASA HII THREAD IFUNGWE.

Unaongea kama uko kwako unatoa amri kwa mkeo?to hell you and Nchemba.
 
Hii sehemu Lizabon nadhan iko Songea Mjini kama sijakosea
ni kweli mkuu,hii sehemu inayoitwa Lizabon ipo Songea mjini njia ya kwenda Mbinga.Ni moja kati ya KATA za manispaa ya Songea inayoongozwa na Diwani wa CDM.Huyu mtu anaetumia jina hili (LIZABONI)kama sio Nchimbi basi ni wale watanzania wenzetu walikosa UZALENDO na kuuza utu wao kwa buku 7.
 
Back
Top Bottom