Monstgala
JF-Expert Member
- Aug 25, 2009
- 1,079
- 1,037
mtoa mada.
naomba nikukumbushe mambo matatu kisha hii thread ifungwe.
1). milango ya polisi na mahakama iko wazi tunakuomba utangulie nchemba atakuja.
2).jf ina rule zake mimi siwezi kujadili jambo eti kwasababu katajwa nchemba.ni sawa na kujadili riport ya siri ya YERICO NYERERE na BEN SAA8.
3).hii part 1 mjadala wake ulishafungwa hatuwezi kuharibu kodi zetu na kuwasumbua majaji wakati mwenye video yupo na ameikalia.
BAADA YA KUSEMA HAYO HAYA SASA HII THREAD IFUNGWE.
Umeandika utofyo-tofyo...yani taka taka na thread haijafungwa watu wanaendelea na hoja za msingi.