Mkuu tuamini nini tuache nini, mnatuchanganya mno!! Mbona M.Nchemba hana sura ya FRANKENSTEIN, sasa ukatiri mnao mtuhumu kajifunza wapi? kama nakumbuka vizuri niliwahi kuona picha aliyo kuwa amembemba mtoto wake mgongoni kwa mbereko, kisaikolojia hii inadhilisha nini? kwamba ana traits za u-split personality i.e ni mtu mwema kwa familia yake na close relatives lakini hajali Watanzania wenzake anao tofautiana nao kihitikadi - maanake hii ndio impression inayo tolewa na members wengi humu jamvini!! Binafsi siamni kama ana ukatili wa namna hiyo - he may be a forceful speaker lakini I don't think Nchemba is some monster - if my memories serves me right I don't recall M.Nchembe eating anyone dead or alive!! Kitu kingine kuna thread aliyo kuwa anajieleza kilicho jiri - watu wengi walimjibu lakini yeye alikaa kimya kwa nini hamjiulizi ni kwa nini? Mimi sio kwamba namtetea Nchemba au Nchimbi, kwanza hawanijui - ila wakati mwingine tujaribu kuchambanua matukio kwa kina - kwa watu wenye uelewa wa fani ya IT na Security hivi inaingia akilini kwamba Waziri nzima anaweza kutumia Webmail kuwasiliana na mwenzake masuala sensetive alafu ataje majina alisi, saa na sehemu ya kukutana na list ya watu wa kuwa-eliminate physically - hii inaingia akilini KWELI? Hivi Taifa letu limekwisha fikia hatua ya kuteua Viongozi ambao wako so SLOPPY, hawajui tofauti kati ya E-MAIL na Snail Mail wasijue mambo ya usalama wanapo pitisha E-mails zao kwenye CLOUD? hawajawahi kusikia cerficates, publickeys na privatekeys - JAMANI.