JAMES SIMBA
Senior Member
- Dec 21, 2012
- 111
- 23
siamini kama siasa za mpenzi Tanzania zimefikia hapa:flame:
Kuna athari gani ikiwa uzi huu utaendelea kuwa hewani? Hakuna kitu kipya kilichoelezwa humoTatizo uzi kama huu hauwezi kudumu hapa.
Mods msifunge huu uzi kama mtuhimiwa amekerwa aende mahakamani.
Mwigulu mwenyewe ni mtu wa kutoa tuhuma hadharani hivyo mwacheni nae aumbuke.
Ni mtazamo wangu unaotokana na kuwepo hapa jukwaani kwa muda sasa.
Watu hawajasusa tatizo amekosea kwenye "heading".Angekuwa wazi zaidi.Yaani uzi mnaanzisha wenyewe halafu mnajijibu wenyewe. Bora watu wamesusa kuchangia uz huu
Sina sababu ya kutetea chochote. Ila nabainisha ukweli ambao hamuipendiNaona umekuja kufanya utuetezi hapa..
Yaani Nchemba aache kulitumikia taifa, akimbilie kujibu umbeya humu?Mwigulu Nchemba tunaitaji majibu yako hapa...Damu za watoto zinakulilia.
Mkuu, tatizo kubwa la hawa jamaa ni kuwa wakisema tu wanasahau walichokisema. Hivi unafikiri huyu jamaa anakumbuka kweli kama alisema kuwa leo anaenda mahakamani?Ndg mleta mada km ckosei Last wk ulisema leo tar 27 ungefungua KESI mahakamani khs issue hiyo vp umekuja hapa Jukwaani au ckukuelewa vzr! Pia ujue unavyoandika nusunusu hapa hao jamaa ulokuwa nao kwenye huo mpango! Wanakusoma kwahiyo amua 1 km kuFUNGUKA funguka bila kuacha kitu na km hujiamnia potezea!
Walizuiliwa kwa vile wanajua wakihudhuria maafa waliyopanga yatawapata na wao:thumbdown:
Yaani Nchemba aache kulitumikia taifa, akimbilie kujibu umbeya humu?
Mkuu, roho mbaya anayo Mbowe na Slaa ambao wametelekeza familia zao kwa tamaa zao za kimwili
Yaani uzi mnaanzisha wenyewe halafu mnajijibu wenyewe. Bora watu wamesusa kuchangia uz huu
Siasa za bongo ni upu.uzi mtupu na kuuana kijinga.jinga!
Itakuaje nchi ya kidemokrasia watu wazuiliwe kuhudhuria mikutano ya wengine?
Hizi ni ngonjera za kipuuzi sana. Kwa nini mnahangaika na mariwaya wakati mwenyekiti wenu anasema kuwa anayo CD inayoonesha waripuaji wa bomu pale Soweto?
Sina sababu ya kutetea chochote. Ila nabainisha ukweli ambao hamuipendi
Mkuu, roho mbaya anayo Mbowe na Slaa ambao wametelekeza familia zao kwa tamaa zao za kimwili