Aliyeng'oa mboga za Mbowe alipandishwa na kuwa RC, huyo anayewateua ndivyo anavyowaagiza, ni aibu sanaNi tatizo kubwa hao wachache wanaharibu sifa ya mhimili. DC ni kiongozi mkubwa, ila huu ujinga,upuuzi na mzaha unaharibu sana sifa njema za ukuu na kumchafua mkuu.
Rais ana organs zote za kupata tabia za viongozi wote, ndio maana mpaka katika level ya wilaya tunao DSO's kwa ajili ya kuripoti yote yanayo endelea. Kwa hiyo eitha haambiwi kwa hiyo hao watu hawafai au anaambiwa anadharau kuwa Watanzania ni wajinga watafanya nini. Jee tumefikia kuwa na rais wa hivyo mwenye kutudharau?sasa hapo anahusika vipi hizo hulka za wakina Sabaya msimuhusishe Mh. Magufuli
alafu Lema mbunge wa Chuga Hai alikwenda kufanya nini
huyo katibu mwenezi ni mahaba yake tu
Mbona tunasema "usicheze na wakurya" tukiwa Tarime? Ukienda Singida unaambiwa usifanye mchezo na watoto wa kinyalu wewe!‘...community ya Wachagga...’
Mkiitwa Wakabila mnabisha
Rais ana organs zote za kupata tabia za viongozi wote, ndio maana mpaka katika level ya wilaya tunao DSO's kwa ajili ya kuripoti yote yanayo endelea. Kwa hiyo eitha haambiwi kwa hiyo hao watu hawafai au anaambiwa anadharau kuwa Watanzania ni wajinga watafanya nini. Jee tumefikia kuwa na rais wa hivyo mwenye kutudharau?
AlaaaaaahKama umeshindwa kumtoa Mbowe madarakani. Utaweza rais?
sasa hapo anahusika vipi hizo hulka za wakina Sabaya msimuhusishe Mh. Magufuli
alafu Lema mbunge wa Chuga Hai alikwenda kufanya nini
huyo katibu mwenezi ni mahaba yake tu
hata mimi ukinitusi nakutia ndani uwe na adabuOCD kakwaa kisiki Leo, na Mimi nasema hizo sifa zinamstahiki huo OCDView attachment 1263254