Rais Anapokubali Awakilishwe na Wahuni na Watekaji Havunji Maadili ya Taasisi ya Urais?

Huna lolote wewe! Mwache Mh. Sabaya aendelee kuwanyoosha. Huyo Lema alishanyooshwa na RC Ngambo sasa naona anahamia kwa DC Sabaya. Mpelekee ujumbe huyo Lema wako kuwa DC Sabaya siyo size yake asije akalia kama mtoto mdogo!
DC sabaya ni mtindaga fulani mpenda sifa za kishamba sana, walikuwepo akina Maliyamungu yule msaidizi katili mwenye roho mbaya kama ya Daud Bashite enzi za Iddy Amin Dada wapo wapi sasa? Hakuna mabaya yasiyo na mwisho na mwisho wa ubaya ni Aibu.
 
Huu ujinga wa wateuliwa wa CCM ndiyo unadumaza maendeleo Nchini badala ya kuleta maendeleo wapo busy kuwabambikia kesi kuwapiga risasi na ujinga ujinga mwingi
 
Jet lee mtoto wa mama_ The contract killer.

Nimekumbuka hii movie ilikia nzuri.
 
Daaa mkuu unajitahidi kumuelimisha huyo jamaa, lakini Daaa naona akili hana kabisa, inasikitisha sana.

Enyi wapumbavu mtapenda ujinga hadi lini...???
Mbona tunasema "usicheze na wakurya" tukiwa Tarime? Ukienda Singida unaambiwa usifanye mchezo na watoto wa kinyalu wewe!
Kule kwa Majaliwa Ruangwa niliwahi kuambiwa "ogopa community ya wamwera! Utapigwa mauno urudi Dar unachechemea"
Jee huo ulikuwa ubaguzi?
 
Kama umeshindwa kumtoa Mbowe madarakani. Utaweza rais?
Wewe unachojua ni kukata viuno wanaume wakijadili mambo wewe tuliza kishundu.
1572191509422.jpeg
 
Back
Top Bottom