Rais Anapokubali Awakilishwe na Wahuni na Watekaji Havunji Maadili ya Taasisi ya Urais?

Kuna principle ya Accounting inaitwa "Tone at the top", Maana yake "a term that originated in the field of accounting and is used to describe an organization's general ethical climate, as established by its board of directors, audit committee, and senior management. Having good tone at the top is believed by business ethics experts to help prevent fraud and other unethical practices"

Kwa hiyo kama utawala wa juu una maadili basi itakuwa rahisi kujenga maadili kwa wafanyakazi wa chini.

Kwa issue ya Ole Sabaya, Makonda, Mnyeti na Byakwana wa Mtwara wanaangalia vitendo vya boss wao nao wanaendeleza. Akipora Bureau DeChange au Mabilioni ya DPP nao wanaangalia kwenye eneo lao wanapora. Jiwe ndiyo anavyofanya na anapendezwa na vitendo vya walio chini yake.
Tulipita pagumu kama Taifa, nafuu Mungu alivyomtanguliza Magufuli
 
He was an idiot
Halafu kuna mijitu inasema Magufuli alikuwa SHUJAA wa Afrika??
 
Chakaza, post yako ni ya mwaka 2019. Ulionya vizuri sana
Ndugu yangu haya mambo yalikuwa wazi sana na hayakuhitaji unabii kuyajua yajayo. Na mfano Magufuli asingekufa katikati ya mchezo bali utawala mwingine ungeingia kwa kura au mapinduzi basi ndio nchi ingepatwa na mshtuko wa ambayo yangetolewa hadharani kimhusu yeye na vijana wake.
Hakika ingekuwa aibu kutumia jina lake hata kuiita stand ya bus.
 
Back
Top Bottom