Ole
JF-Expert Member
- Dec 16, 2006
- 2,157
- 980
Kajinyonge basi.Jiwe kaua watu wengi sana, pia ameharibu hii nchi kwa kiwango kikubwa mno
Kajinyonge basi.Jiwe kaua watu wengi sana, pia ameharibu hii nchi kwa kiwango kikubwa mno
Jiwe ni mpango wa shetani kuharibu nchi yetu.
Madeni na madai atakayoyaacha yatafilisi nchi.
Watu wanatunza kumbukumbu zote rais ajayo atalipa madeni mpaka akomeKuna watu walidhulumiwa Awamu ya 1 wakati wa zoezi la wahujumu uchumi lililo endeshwa na Edward Sokoine mwaka 1982 kama yule Karasinga wa Bukoba kwa jina Kugis.
Walifungua kesi wakaja kushinda na kufidiwa wakati wa AH Mwinyi. Sasa hivi watoto wa Mzee Kugis ndiyo ma transporter wakubwa wa mkoa wa Lagers kwa jina la Kugis Transport.
Tunza document, haki haipotei bali hucheleweshwa tu
Ufisadi bado upo ingawa sasa unapigwa kijanja zaidiShetani ni wewe uliyefikiri tanzania ni ya mafisadi kama wewe.
Wote hao kuanzia mwaka 2026 watapata haki zaoKuna mtu kule Mpanda alishinda kesi ya ardhi dhidi ya wananchi waliovamia shamba lake lakini amri ilitolewa na JPM kuwa wananchi waachwe. Naamini anatunza nyaraka zake na wale wananchi wajiandaye kisaikolojia. Huyu naye atalipwa fedha kibao hapo mbeleni
Hujamwelewa! Soma tena!baada ya Magufuli ,Rais ajaye hakika atafanya kazi rahisi sana. atafanikiwa kulipa madeni yote katika deni LA taifa kupitia miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali ya awamu ya tano.
hao unaosema watatoka, watatokaje kama ni sheria ya uhujumu uchumi ndio imewatia hapo mahabusu? usijidanganye juu hilo jambo hata kidogo na watatoka kama sheria itasema vinginevyo juu yao.
chuki ipi kwa wafanyabiashara unayoizungumzia? Leo serikali kukusanya inachostahili kwa wafanyabiashara limekuwa kosa? wengi sana wamefurahi kuona serikali iko makini kukusanya kodi hasa kwa hao wafanyabiashara
Ndio ufala wenyewe huo. Elimu inayofundishwa Tanzania ndio iliyokufikisha hapo wapumbavu kama wewe ndio mnalialia kama kuku kwa sababu kuku hata ukimpa gunia la chakula ataendelea kudonoa donoa kama vile hakuna chakula. Ungekuwa na elimu ya kutosha kama unavyosema ingekuwezesha kula hata mlo moja wa uhakika, usingekuwa unabwata kama kima. JPM kakata yale magendo yenu yote na sasa mmebaki mmepigwa bumbuwazi, mlifikiri Tanzania ni mali yenu. it will never happen hakuna tena pesa za kuwalalia walipa kodi wa nchi hii. Whether you like it or not. Nchi hii sasa tumepata chuma pale Magogoni mtakiona cha ntema kuni. Hii ni preamble tu subiri picha kamili.
Huyu alikuja kwa mpango wa shetani. Mungu asingeweza kutuletea jinamizi kama hili!
Hata mia mwisho atatoka,Mungu atupi watu wake milele,atakuja mwingine Maisha yataendelea,nyerere alibana Mwinyi akaachiaJPM bado tunae kwa miaka mingi sana usihofu mkuu,tunamuomba Mungu ampe uzima tu. Akikaa miaka kama 20 hivi tutamuomba atuachie chuma kingine kama yeye.
Swala la plea bargain lipo kisheria tena lilitolewa kwa ufananuzi na msemaji wa Serikali hapa chini ........ vile vile swala la madeni etc. Watanzania tuache majungu yasiyo na tija. Hivi vihujumu uchumi vilivyokuwa vinaitafuna nchi yetu mbinu zake zimepitwa na wakati.
Wewe ni mlemavu wa akili kama walemavu wengine, hatuna dawa yake. Endeleeni kutetea utawala dhalumu kwa vile mnalipwa kwa kila mnachopost humu.Kuna watu mnajifanya miamba sana ila ukiguswa kidogo tu kwa ajili ya post kama hii unaanza kulialia na kutafuta huruma eti umeonewa, au huna uhuru wa kutoa maoni. Hiki ulichocomment unaweza kukiita maoni au matusi? Tumia brain wewe.
Wazo mujarabu kabisa, babangu alibomolewa nyumba ya ghorofa kimara akiwa na zuio la mahakama mkononi,
awamu ya 5 imejaa dhuluma.
Kuna maamuzi mengi yanayofanywa kwa ubabe na Serikali ya Awamu ya 5 ambayo yanakiuka sheria sana. Yana athari kubwa sana kwa wananchi wanao tendewa. Rais ajaye baada ya JPM ajiandae kutumia makusanyo ya TRA kulipia madeni yafuatayo;
1. Deni la la Taifa linapanda kila kukicha kwa kuwa miradi mingi kama SGR na STIGLERS. Miradi hii itakuwa itakamilika kati ya 2023 na 2025, hivyo repayment period itakuwa ndiyo inaanza. Kwa hiyo Asilimia kubwa ya makusanyo ya TRA itaelekezwa kulipa deni
2. Fidia kwa waliobomolewa Ubungo-Kibamba huku wakiwa na zuio la Mahakama. Kwa wakati huu Mahakama ziko mfukoni mwa JPM ndiyo maana Serikali haijatoa fidia na imekaidi zuio la Mahakama. Itakapo kuja Serikali inayo jali haki za binadamu, wale wote wenye nyaraka zao sahihi za Kimahakama au hati za umiliki watafidiwa tu. Hata kama watakuwa wamefariki, warithi wao watapata haki zao.
3. Mafisadi wa kutakatisha fedha feki. Watu wengi amewatupa rumande kwa kudai kuwa ni mafisadi na wametakatisha fedha lakini miaka 3 kesi haziendelei kwa kuwa bado uchunguzi unaendelea. Ukiacha hawa walioingia plea bargain na wakatoka, wale waliobaki watadai fidia tu na watapata.
4. Wafanya biashara ambao wananyang'anywa mali zao kwa sababu ya chuki binafsi tu.
Ushauri wangu kwa Wa Tanzania ni kwamba watunze rekodi tu, hii hali ya dhuluma haiwezi kuwa ya kudumu. Ipo siku utakuja utawala unaojali utawala wa sheria utawafidia
Angekuwa chuma kweli asingekuwa anatumia betri ya kumuingezea mapigo ya moyo (pacemaker).Chuma kiko Ikulu hadi kieleweke nyie endeleeni kuwewesekaweweseka kama kunguru. Hapa Kazi tu!
Siyo kila mtu ana uwezo wa kuchambua masuala ya kitaalamu yahusuyo uchumi, biashara na uwekezaji. Subiri zitakapo buma ndiyo utaikumbuka thread hiiTutalipa tu hivyo vijisenti usijali kamanda!
We fikiria miradi yote hii itakapoanza kutema tutakuwa na sh ngapi?
Migodi, umeme usafiri wa uhakika(Reli,ndege, barabara)
Labda tukichagua wapiga dili tena ndo tutashindwa kulipa.
Sisi tunatumia ubongo, nyinyi mnatumia makalio. Hatuwezi kuelewana
Ungekuwa hulii lii kama kasuku.Angekuwa chuma kweli asingekuwa anatumia betri ya kumuingezea mapigo ya moyo (pacemaker).
Ungejua kuwa ame anguka mara ngapi toka awe Rais usingemwita chuma. Labda chuma chakavu au spana mkononi