Rais ajaye baada ya Magufuli atalipa madeni mengi sana

Rais ajaye baada ya Magufuli atalipa madeni mengi sana

Kama ambavyo na yeye anatakiwa alipe madeni ya yule mkulima anaeidai serikali tangu 80s. Chuki ni kitu kibaya sana. Mwinyi kalipa madeni,Mkapa kalipa madeni hadi yakafutwa,Jk kalipa madeni,JPM analipa madeni. Sasa kibaya au cha ajabu nini Rais ajaye akilipa madeni?
Huyu hapendi kulipa madeni ndiyo maana Mkulima wa Joburg akakamata ndege. Nadhani unajuwa kuwa ATCL hairuki tena kutua OR Tambo Int. Airport kwa kuwa yule mkulima hajalipwa bado.

Pili ninamuonea huruma atakayekuja kwa kuwa timing ya madeni itaanza naye, atashindwa kubuni miradi mipya kwa vike sehemu kubwa ya fedha zitakuwa zina service deni.
 
Si


Si mbaya kama kazi yake itakuwa hiyo maana miundombinu itakuwa tayari kila kona, tatizo alipe madeni wakati huo bado anajenga miundo mbinu hiyohiyo iliyokopewaa.
Shida inakuja je miundimbunu aliyoileta itachochea kukuza uchumi? Kwa mfano je SGR ya kuishia Kahama/ Rusumo italipa gharama za ujenzi kwa kipindi tarajiwa? Au Je hiyo Stiglers gorge itakuwa imekamilika kwa wakati? Pili je itaweza kweli kuzalisha hizo Megawatti 2000 kwa kiasi cha maji ya bonde la Mto Ruvu?
 
Raisi ajae atatoka wapi?labda baadae sana subilini 2022 tunabadili katiba ili tuondoe ukomo wa mgombeaji wa uraisi ,mtasubili sana.
 
Si


Si mbaya kama kazi yake itakuwa hiyo maana miundombinu itakuwa tayari kila kona, tatizo alipe madeni wakati huo bado anajenga miundo mbinu hiyohiyo iliyokopewaa.
Miaka 58 Nchi yenye rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani bado tunaimba imba miundo Mbinu utazani ni pesa binafsi toka mfukoni mwa mtukufu malaika toka chato.
 
Raisi ajae atatoka wapi?labda baadae sana subilini 2022 tunabadili katiba ili tuondoe ukomo wa mgombeaji wa uraisi ,mtasubili sana.
Atatoka tu!! Hata akiamua kubadili katiba tutamtoa kama Omar Bashir wa Sudan
 
Hizo pesa za magendo na utakatishaji zilikuwa kinyume cha sheria

Nitajie Nchi yeyote ile ambayo inamaduka holela ya kubadilisha pesa kama ilivyokuwa Tanzania

Tatizo hujui
Hawa watu wanaropoka tu wao kila kitu kupinga

Ilifika hatua pale posta kila uchochoro kuna duka la kubadilisha fedha
 
baada ya Magufuli ,Rais ajaye hakika atafanya kazi rahisi sana. atafanikiwa kulipa madeni yote katika deni LA taifa kupitia miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali ya awamu ya tano.

hao unaosema watatoka, watatokaje kama ni sheria ya uhujumu uchumi ndio imewatia hapo mahabusu? usijidanganye juu hilo jambo hata kidogo na watatoka kama sheria itasema vinginevyo juu yao.

chuki ipi kwa wafanyabiashara unayoizungumzia? Leo serikali kukusanya inachostahili kwa wafanyabiashara limekuwa kosa? wengi sana wamefurahi kuona serikali iko makini kukusanya kodi hasa kwa hao wafanyabiashara
Mbona Babuseya alitoka
 
Nilikuwa nacheki kama kuna bwege mmoja atacomment ningeshangaa sana asingecomment naona jiwe kamlegeza sana
Hayo majitu yapo kwenye thread zote. Yanalipwa kwa kuandika dhidi ya wakosoaji.
 
Back
Top Bottom