Mtamile
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 2,838
- 1,267
Hii yote imesababishwa na watu kuacha kutumia majina yao ya asili na kuanza kutumia majina ya kiarabu na kizungu laiti kama watu wangekuwa wanatumia majina ya asili mfano (Makelemo Mchembe) huko kwenye ajira, work shop au warsha usingeuhisi hata huo udini maana kwa kiasi kikumbwa haya majina ya kizungu na kiarabu mnayanathibisha na dini