Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,498
- 51,090
Huu ndio wimbo wenu miaka yote,ndio maana hutasikia mkristo analalamika pindi marais waislamu wanapoongoza, kwasababu hatuamini kama wanaoteuliwa wanateuliwa kwa udini bali kwa uwezo wao zamu ikifika yeyote anaweza pata nafasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe upo nchi hii?
Wakati wa Kikwete hata vinafasi vichache alivyowapa waislamu navyo mlikuwa mkiona nongwa hata kama mlikiwa bado wengi kuzidi waislamu serikalini!
Kiufupi kuna mfumo Kristo umesimikwa nchi hii Tangu Nyerere na kuudismantle ni ngumu sana, akiingia rais muislamu akajaribu kufanya hilo Kanisa linaweza kumletea tabu sana hata. kuangusha serikali yake, maana kuanzia kwenye mzizi wa serikali nyinyi huko kwa watendaji, maofisa utumishi, makamishna, makatibu wakuu, wakurugenzi, etc nyote mko nyinyi, na ikitokea akataka kubadirisha na kuweka uwiano wa kijamii mtapiga kelele za udini!, udini!, udini! mpaka basi
Kamuulize Makonda kajisemea Ukweli kuwa nchi hii iko chini ya Kanisa, Yuko sahihi!