Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,096
- 22,626
Dini/iman haikuwahi na haiwezi kuwa identity ya mtu hata kidogo. Kitendo cha kusimamia misingi ya imani /dini katika taifa ni sehemu ya madhaifu ya hao tuliowapa mamlaka.....
Aisee huwa nachukia sana kuona viongozi wetu wanendekeza huu utomvu wa nidhamu katika ofisi ya jumuiya.....
Kuna siku niliona aibu sana askari walikuwa wamekaa pamoja wanakemea ndani ya kituo cha polisi..... Ile kitu sikuipenda hata kidogo....
Pia kuna askari m'moja nadhani kwa sasa amefariki, MUNGU amrehemu..... Alikuwa anapiga kaswida huku kavaa jezi za jeshi la polisi.... Aisee nilisikia fedheha kubwa sana...
Kuwa tunawafunza nini watoto wetu.... Hiki wanachokiona kwetu ndicho watakuja kukirudia na kitawaletea mitafaruku mikubwa sana.....
Ni marufuku kufanya siasa na shughuli za kiserikali zenye mlengo wa kidini, kiimani, kikabila au rangi.... Sio vizuri