Rais ameagiza Lema atolewe gerezani mara moja (remove order) kwa dhamana ya ofisi ya rais ili kuepusha mgogoro na maafa yanayoweza kutokea huko Arusha.
Chanzo sio cha kuaminika sana lakini kama ikiwa ni kweli itakuwa powa sana.
Kamanda we piga kimya kwani tutajua tu! Amtowe asimtoe ni mpk kieleweke.
Hata mimi napata mashaka na hii habari!
Anyway, lets wait!
hatoki,,hatoki, hatoki kwanza mh rais hanaga utaribu wa kuingilia mahakama, msi2danganye, na wala msitegemee mteremko huo...
Kama akiachiwa kwa remove order basi aliyesababisha haya matatizo yaani Zuberi naye aondoke immediately
Hata mpumbavu angepaswa kufanya hivyo, Sembuse RAIS WA JAMAHURI YA TZ? Tena anatakiwa Arusha kwa mkutano wa EAC this week. Asipofanya hivyo itakula kwake , and that is what we call technical win. CDM juu sana , sana tena sana.
Bado hajaachiwa, lakini taarifa ya kumwachia ilishawafikia jamaa, wanajipanga wafanyeje. Nahisi watalazimisha mtu wa kumtolea dhaman isije kuonekana ni amri ya Rais. Kutoka hasa hasa itakuwa kesho kwa mujibu wa taratibu zao.
Rais hawezi kusema chochote kwenye suala la Lema, ni suala dogo sana kina Zuberi wapo
Lema anadai UTU na UBINADAMU ... Urejeshwe Mtaani. Kwanza kabla ya yote inabidi SEREKALI ikae kitako na kutafakari nini Maana ya Maneno makubwa kama hayo. UTU NA UBINAADAMU. Waraka wa Lema sio wa kubezwa.
Kama ni Lazima Yeye abizwe lakini SIO WARAKA WAKE.. Anaweza kuonekana kama anavyonekana na kutafsriwa kama mtu anavyotaka lakini UJUMBE alioutoa ndio wenye POTENTIAL ENERGY .. poorly handled can lead to uncontrollable condition...which is very unnecessary at this stage. Na serekali inaweza kutumia busara zake hapo!!
UTU na UBINAADAMU wa TAIFA kiukweli uko chini!
UTU na UBINADAMU ni nguvu rasmi iliyoasisi Taifa hili. UTU sio woga, utu, shaka, utu sio uonevu, utu sio kutoheshimiana ..
UTU ni UTANZANIA.
Kwa kuwa UTU na ubinaadamu ndio chimbuko la hili Taifa ... Inamaana MBEGU HIYO IKO ... inahitaji .. Hali ya hewa nzuri na kuifanya ichipue na kuuota na kukua tena kwa kipindi cha mara ya pili. Kumbuka hata AZIMIO LA ARUSHA NI AZIMIO LA UTU ... NA UTU HAUPITWI NA WAKATI KAMA WENGI WANAVYODHANI!!!
Inahitaji kauutaalam kadogo tu, kwa njia ya
kisaikolojia kufanya mabadiliko makubwa kutokea Tanzania. Just a little MECHANICS in Psychological War Fair ..!
Kwa kujua au kutojua ... Ule Waraka wa G Lema umejaa.. Maneno yenye dhana ya UTU, UBINADAMU, HESHIMA, KUPINGA WOGA, SHAKA, KUKANDAMIZWA KUONEWA NK
Mwerevu yeyote anajua hayo ndio maneno yaliyotumika katika enzi ya kupigania UHURU wa NCHI HII. Huo mwenge wa UHURU ..Ulisimamia Maneno .. UPENDO, HESHIMA, MATUMAINI ...kwa mjanja ataona kuwa .. hayo maneno matatu ndio ule ujumbe wa kweli wa Mwenge wa uhuru na ndio MSINGI WA UJUMBE WA G LEMA. ... NA UPENDO, HESHIMA, MATUMAINI NI UTU NA UBINADAMU ...NI UHURU ... NI AZIMIO LA ARUSHA .. NI UBINADAMU ...NI NGUVU KUBWA KULIKO ZOTE ULIMWENGUNI!!! UTU ndio NGUVU YA KWELI YA UMMA, NGUVU KUBWA INAYOWEZA KUZUIA SILAHA YEYOTE ISFANYA KAZI!!
UTU NA UBINADAMU kama nguvu inabidi isimamiwe kwa busara na hekima vinginevyo ..ikijitiokeza bila kusimamiwa ..lnaweza kuleta maafa yasiyo ya lazima.Na hapa lazima serekali iliyopo madarakani isimamie jambo hili kwa ndio jukumu lake la kweli!!
Kwa hoja hiyo ... Ni sahihi Rais akingilia .. na reconsile na G Lema .. ASBEZWE!!!!!