Rais aagiza Lema aachiwe kwa dhamana ya serikali

Rais aagiza Lema aachiwe kwa dhamana ya serikali

Status
Not open for further replies.
Nimekuelewa lakini tambua MHe Rais hatishiwi nyau,, kama lema anavigezo vya kutoka hata sasa atatoka lakini kama hana hawezi kutoka kamwe, Na huo mkutano c wa wananchi ni wa viongozi anahusika nn lema mpaka atoke bila kutimiza masharti?

Mbona mnataka kufanya nchi itawaliwe kiholela? Au hutambui kuwa arusha ni mji wa EA Na Afrika kwa jumla na kunaWATANZANIA NA WASIO WATANZANI WENYE SHUGHULI ZAO. Kumbuka CY yote ya CCM ni mazuri na YA CDM yote ni Mazuri,Ila tufike mahala kama wana Jamii tukemee mambo yasiyopendeza katika ustawi wa Taifa letu.
Tutajie yanayokupendeza katika hii seriakali iliyoko madarakani Mkuu! Unasoma magazeti? Unazisoma hoja hapa JF? Toka lini umejiunga? Hebu jaribu kutafuta za miaka y nyuma soma zote kwanza, labda kuanzia 2006/8 hivi halafu urudi kutetea hoja yako.
 
Yeye ana deal na masuala mazito ya Suti za akina Al-Abwai tu.

ha ha ha jibu swadakta kwa mpumbav kama Ritz..kuhongwa vijamba koti na kaptura mwanaume mzima hata haipendezi , matokeo yake akina Camron wana wapapasa masaburi na kuwalazimisha kuhalalisha ushoga..
 
wadau nifanya utafiti nitawa ukweli muda si mrefu maana siku hv jf imeingiliwa watu wanakurupuka tu mradi wametumwa slave master wao
 
Mi nafikiri rais akiingilia kati kurestore amani kwa njia rahisi ni busara. after all Lema ni mbunge!!!
 
matukio yote makubwa huanza kwa series za matukio kama haya
 
Soma tu post yangu kwa makini kidogo acha jazba. Nimesema Presida atakuwa Arusha wiki hii kwa mkutano wa EAC. Asipoingilia kati Lema hatatoka mwenyewe na akifika atakumbana na RCHUGA ndani ya A town.

Patakuwa patamu hapo maana huku vingora vya msafara wa marasi , huku mabomu ya Andeng'nye na Zuberi wake , huku wapambanaji wa ukweli dhidi ya udhalimu . Umeonae? Hata angekuwa mpumbavu kiasi gani hatakubali limtokee hili babake. CDM wanajua sana mambo . Big up CDM

Sasa tunaanza kuchekeshana humu JF. CDM wanaweza kujua mambo sikatai. Ila pia nina uhakika "LEMA ni CDM lakini CDM is LEMAi. Tumuombe Mungu kwa sababu mfumo huu wa vyama vingi vya siasa unahitaji watu wenye kushindana kwa fikra na mawazo , sasa maskini Lema umaarufu anautaka lakini Kichwani hakuna kitu afanyeje?

Ni lazima ashikwe na Kichaa chenye taswira ya kuwa na uchungu na nchi yake.

"MUNGU MSAMEHE LEMA MAANA HAJUI ALIFANYALO"
 
Lema anadai UTU na UBINADAMU ... Urejeshwe Mtaani. Kwanza kabla ya yote inabidi SEREKALI ikae kitako na kutafakari nini Maana ya Maneno makubwa kama hayo. UTU NA UBINAADAMU. Waraka wa Lema sio wa kubezwa.Kama ni Lazima Yeye abizwe lakini SIO WARAKA WAKE.. Anaweza kuonekana kama anavyonekana na kutafsriwa kama mtu anavyotaka lakini UJUMBE alioutoa ndio wenye POTENTIAL ENERGY .. poorly handled can lead to uncontrollable condition...which is very unnecessary at this stage. Na serekali inaweza kutumia busara zake hapo!!

UTU na UBINAADAMU wa TAIFA kiukweli uko chini!

UTU na UBINADAMU ni nguvu rasmi iliyoasisi Taifa hili. UTU sio woga, utu, shaka, utu sio uonevu, utu sio kutoheshimiana .. UTU ni UTANZANIA.

Kwa kuwa UTU na ubinaadamu ndio chimbuko la hili Taifa ... Inamaana MBEGU HIYO IKO ... inahitaji .. Hali ya hewa nzuri na kuifanya ichipue na kuuota na kukua tena kwa kipindi cha mara ya pili. Kumbuka hata AZIMIO LA ARUSHA NI AZIMIO LA UTU ... NA UTU HAUPITWI NA WAKATI KAMA WENGI WANAVYODHANI!!!

Inahitaji kauutaalam kadogo tu, kwa njia ya kisaikolojia kufanya mabadiliko makubwa kutokea Tanzania. Just a little MECHANICS in Psychological War Fair ..!

Kwa kujua au kutojua ... Ule Waraka wa G Lema umejaa.. Maneno yenye dhana ya UTU, UBINADAMU, HESHIMA, KUPINGA WOGA, SHAKA, KUKANDAMIZWA KUONEWA NK

Mwerevu yeyote anajua hayo ndio maneno yaliyotumika katika enzi ya kupigania UHURU wa NCHI HII. Huo mwenge wa UHURU ..Ulisimamia Maneno .. UPENDO, HESHIMA, MATUMAINI ...kwa mjanja ataona kuwa .. hayo maneno matatu ndio ule ujumbe wa kweli wa Mwenge wa uhuru na ndio MSINGI WA UJUMBE WA G LEMA. ... NA UPENDO, HESHIMA, MATUMAINI NI UTU NA UBINADAMU ...NI UHURU ... NI AZIMIO LA ARUSHA .. NI UBINADAMU ...NI NGUVU KUBWA KULIKO ZOTE ULIMWENGUNI!!! UTU ndio NGUVU YA KWELI YA UMMA, NGUVU KUBWA INAYOWEZA KUZUIA SILAHA YEYOTE ISFANYA KAZI!!

UTU NA UBINADAMU kama nguvu inabidi isimamiwe kwa busara na hekima vinginevyo ..ikijitiokeza bila kusimamiwa ..lnaweza kuleta maafa yasiyo ya lazima.Na hapa lazima serekali iliyopo madarakani isimamie jambo hili kwa ndio jukumu lake la kweli!!

Kwa hoja hiyo ... Ni sahihi Rais akingilia .. na reconsile na G Lema .. ASBEZWE!!!!!
Asante Mkuu! Kuna mmoja ametahadharisha katika hoja nyingine moja hivi, kuwa watu waangalie sana maana siasa anazohubiri Mh. Lema ni = next level. Wako wengi ambao hawatamwelewa. (sijui ni wewe umeamua kutoa tafsiri?).
 
Unajua utawala wa sheria au umekaririshwa kama kasuku wa Mhindi?! Nyie ndo wale mlionyweshwa maji ya libendela lenye rangi za kichaka!

Wewe na lema ndo mmekaririshwa mnaiga2, hamtambui hata ni yapi yanayofaa kuandama, na yapi yanafaa kukubali kukaa gerezani, hata sera zenu ni za kuangalizia, ndo maana mnadandia matukio ili mjitangaze.

Hata wenzenu wanaposema kilimo kwanza, au uhuru ni kazi na mengine nyie mmekuwa mnaimba wimbo wa magamba ambayo hayawahusu katika chama chenu,, na cku mtakapo ingia madarakani kwa kura za wajinga wenzenu wanaowasapoti mtatekeleza SERA ZA CCM TUU.
 
Sasa tunaanza kuchekeshana humu JF. CDM wanaweza kujua mambo sikatai. Ila pia nina uhakika "LEMA ni CDM lakini CDM is LEMAi. Tumuombe Mungu kwa sababu mfumo huu wa vyama vingi vya siasa unahitaji watu wenye kushindana kwa fikra na mawazo , sasa maskini Lema umaarufu anautaka lakini Kichwani hakuna kitu afanyeje? Ni lazima ashikwe na Kichaa chenye taswira ya kuwa na uchungu na nchi yake.
"MUNGU MSAMEHE LEMA MAANA HAJUI ALIFANYALO"
Nina hakika atakusamehe wewe maana hujaelewa waraka wake Lema. Wewe unayepambana naye ni Lema! Umesahau kuwa siyo Lema! Ni waraka wa Lema! muwakilishi wa wananchi! kuleni brain nutirents jamani!
 
Unaweza ukasema huyu jamaa anafikiria sana............kumbe hakuna kitu!!
Jakaya+Kikwete+na.jpg
kikwete-kachoka.jpg
61174953.DSC_1177.jpg


Mkuu nazi huwa haifikiri, hayo unayoyaona ni mazingaombwe tu ya Bagamoyo.
 
Sasa tunaanza kuchekeshana humu JF. CDM wanaweza kujua mambo sikatai. Ila pia nina uhakika "LEMA ni CDM lakini CDM is LEMAi. Tumuombe Mungu kwa sababu mfumo huu wa vyama vingi vya siasa unahitaji watu wenye kushindana kwa fikra na mawazo , sasa maskini Lema umaarufu anautaka lakini Kichwani hakuna kitu afanyeje? Ni lazima ashikwe na Kichaa chenye taswira ya kuwa na uchungu na nchi yake.
"MUNGU MSAMEHE LEMA MAANA HAJUI ALIFANYALO"
Mungu huyo huyo akusamehe wewe pia maana masikini hata wewe hujui ulitendalo.
Kwa kukuonyesha Lema anafikiri zaidi yako alijua in advance watu kama nyie mtakuwepo.
Watakaotubeza na kututukana wasameheni kwani wanahitaji ukombozi wa fikra, watakaotupongeza na kutuonea huruma wafundisheni ujasiri na waambieni mapambano bado yanaendelea tunahitaji umoja wao. Nitarudi mapema. MSIOGOPE, MSIOGOPE, MSIOGOPE , MUNGU YUPO UPANDE WETU.

Mhe Godbless Lema (MB) – Arusha Mjini 31 Oktoba 2011.
 
kwani nani kampeleka lema gerezani si kaenda mwenyewe siku akichoka atasema muacheni kamada wetu wa sinema za kihindi

ra na manji mpaka leo hawana kesi ya kujibu pamoja na kuiba ma bilions-kagoda,lema adhaminiwe kwa kesi kisa ka andamana inaingia akilini mwako?
 
Asante Mkuu! Kuna mmoja ametahadharisha katika hoja nyingine moja hivi, kuwa watu waangalie sana maana siasa anazohubiri Mh. Lema ni = next level. Wako wengi ambao hawatamwelewa. (sijui ni wewe umeamua kutoa tafsiri?).

Mpenda Tanzania!

Umenena jambo kuu na la msingi ... G Lema angeliita Jambo La UTU na UBINAADAMU.
Hoja hapa sio Lema. Hoja ya msingi ni DRIVING FORCES behind G LEMA ... Ule waraka wa Lema ukisomwa kwa makini na kwa busara ... kama unavyosema its something of next Level.

Lakini vyotevyote vile Dhana ya UTU, UBINADAMU nk vinaweza kuwa vipya Kenya, Kigali, Msumbuji nk Lakini sio hapa Tanzania. Hiyo mnayoiita next level .. ni hali ambayo imeshawahi kuisha hapa Tanzania. Its residing deep in Unconsciousness of this Country ... Na kitu kilicholala tu hapo kwenye unconsciousness kinaweza kuamshwa any time na nguvu yake .. si haba.

Ndio maana serekali inabidi kutiliamaanani ushauri huu!!

Serekali ingefanya kikao cha dharura kutathmini UTU WA TAIFA KWA SASA wala SIO USALAMA WA TAIFA ... Watafakari kwa kina na wasifanyie mzaha kinachoendeela sasa hivi . Na kama mtu Hana UTU na UBINADAMU asiiingie kwenye hivyo vikao .. Asiye na UTU na Ubinaadamu huu sio wakati wake ... Atazidiwa tu na atabebwa na mawimbi na kuishia mbali... Kwani UTU ni Utanzania wenye shina la Heshima, Upendo na Matumaini .. kikweli anachafanya G Lema Kingetakiwa kiwe kinafanywa na Serekali iliyo madarakani ... HIVYO Wamuunge mkona kwa manufaaa ya UTU WA TAIFA kwani UTU WA TAIFA UNA NGUVU KUBWA KULIKO USALAMA WA TAIFA.

Kwa taarifa ni UTU WA TAIFA ndio ulioweza Tifa hili kumshinda Dikteta Idd Amini ....vita vya kagera ..wala sio zile silhala na machachari mengine!!

Ndio, UTU WA Taifa una nguvu kubwa kuliko aliyokuwa nayo IDD Amini ... Sasa SEREKALI USIMAMIE kurejea kwa UTU wa Taifa uliozoroto sana sasa hivi kwani mbegu ipo na inafuta pa kutokea .. Serekali iache kukimbizana na Lema tu, Ijitizamishe kuhusu UTU WA TAIFA LA TANZANIA.
 
good pre-emptive strike by JK though keshachelewa. tayari wameshamwongezea umaarufu lema usio na sababu. anyway ndo politics, unaboa mwenzio ana capitalise! but kumweka ndani lema was so political disaster kwa arusha more damaging kwa watawala kuliko vinginevyo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom