Raila Odinga Atoa Onyo kwa Kenyatta endapo Kenya Itaitenga Tanzania

Raila Odinga Atoa Onyo kwa Kenyatta endapo Kenya Itaitenga Tanzania

bora hata ya odinga kaona mbali..uhuru ni teja ,you can see it from the look...the problem with him ni kwamba anayumbishwa na wakina mseveni.
 
Naamini katika mazungumzo hayo JK hakua mjinga.Picha niliyoipata haw jamaa wamemtuma huyu dogo kama Chambo ya kuturudisha TZ kwenye uelekeo wao ,kwani kila kitu kimeharibika.Sasa najiuliza kama kweli wana nia ya dhati kwa nini si mmoja wao aonane na Jk na si kumtumia huyu dogo?Kwa mtizamo wangu tuendelee kubaki na hiyo EAC ya kwenye makaratasi ,lakinin bila kurudi nyuma Muungano wa Burundi,DRC na TZ uendelee,na huu ndio utakao tupa heshima EAC.
Wakati hayo yakifanyika ,ni wakati wa kuidhibiti Kenya kwenye utalii ambao wananufaika kwa mgongo wetu.Ni wakati muafaka wa kuongeza kodi ya kufa mtu kwa watalii wanaokuja kwetu kupitia Kenya ,ili watalii hao waingie TZ moja kwa moja.Haina maana kuwanufaisha watu kutoka nje,wakati vivutio ni vyetu.Polepole tutaanza kuheshimiana.

Angalizo kwenye bluu;

Juzi tulikuwa tukibishania na jamaa kama ni sahihi kwa Tanzania kujitoa EAC hivi sasa. Hoja yangu ni kuwa sasa hivi ni vema tubakie kwenye huo mkataba 'KIMAKARATASI' tu. Lakinin pia ni vema tuendelee na mkakati wetu wa kutengeneza coaliation nyingine na hao wenzetu wa DRC, Burundi pamoja na huko SADC ambako tuko tayari tuna mzizi imara.

Huku kwenye EAC tunafanya jeuri tu ile wazungui wanasema 'pick and choose' Yaani tunachagua vinavyotufaa na kuwaachia visivyotufaa. Kwa mfano kuwaachia wenyewe wanayotaka kutuingiza kichwa kichwa na mipango ya hila. Mfano Jeshi la pamoja la EAC Big NO...Sijui hoja ya single tourist viza sisi Big No...sijui Political Federation sisi Big No..Sijui Free movement of people.. sisi No (Hatukatai kurahisisha biashara na movement ya watu lakini passport mbele) "Hatutaki kujaliwa na Umati wala wakimbizi waki uchumi sisi"....Sijui Single currency...sisi big NO

Yaani sisi tuchukue vitu tu ambavyo tunaona moja kwa moja ni vya msingi na vyenye manufaa kwa raia wetu kama ushuru na forodha, soko la pamoja, elimu. Yaani ile tupo kama hatupo. Kila mtu au kundi wakifanya mambo yao. Kama zamani tulikuwa tunakubali mengine kwa kuwaonea haya na kufumba macho tu basi sasa ni wakati muafaka wa kuzungumza kwa uwazi kwenye vikao vya jumuiya bila kigugumizi juu ya msimamo wetu.

Lakini hatuwezi kuachia watu jumuiya tulioijenga kwa nguvu zetu wenyewe tukiwa 'founders' kwa uhuni wa mamluki wachache ambao wengine hata hawaijui 'historia' ya jumuiya hiyo waje 'waipoke' mikononi mwetu mchana kweupe. Na hii pia naamini WaTanzania watapata cha kujifunza juu ya ukarimu wao wenye kupitiliza bila ya kutumia maarifa. Matokeo yake ndio pale mgeni mkaribishwaji anakupoka mkeo ndani ya nyumba yako. Bila shaka viongozi wetu watakuwa na hekima na usikivu wa wananchi wao pale wapoonyesha 'tahadhari' juu ya yale yajayo badala ya kibri na kujiona inajua kila kitu.
 
Acha wavune watakachopanda, kwanza Kenya inajidai kuwa mlima Kilimanjaro uko Kenya, ngorongoro iko Kenya, Serengeti iko Kenya. Tanzania itakachofanya ni kuongeza tozo kwa watalii wanaofikia Nairobi na kuletwa Tanzania kwa asilimia elfu moja kama wanataka kuviona vivutio hivyo ambavyo viko TZ na kwa watalii wanaofikia Tanzania wapunguziwe gharama kwa 75% kwa sababu watalii watakaopitia Kenya watafanya redemption . Hapo ndo Kenya itatamka wazi kuwa hivyo vivutio haviko Kenya. Tanzania ndo inailea Kenya.
mzee, pia barabara through serengeti ijengwe, tuone kama masai mara itaendelea kuwa famous.
 
Former Prime Minister Raila Odinga offers to lead talks on Tanzania EAC row

RailaonEAC.jpg


By Geoffrey Mosoku

Nairobi, Kenya: Former Prime Minister Raila Odinga has offered to intervene and end the suspicion that is threatening to break up the East African Community (EAC).

Raila wants EAC heads of State to appoint a panel of statesmen from the region's countries to address outstanding issues that have seenDar es Salaam government threaten to quit the regional body.

"I want to propose to regional heads of State that a panel of statesmen from EAC be put together to work out a mechanism to resolve the impasse and put the union back on track," the ex-PM told reporters at the Serena Hotel in Nairobi yesterday.

Raila indicated that he was willing to be Kenya's representative on the panel while appealing to Presidents Uhuru Kenyatta, Yoweri Museveni (Uganda), Jakaya Kikwete ( Tanzania) and Paul Kagame (Rwanda) to urgently pick the panel.

This is the first time Raila has come out to publicly state that he can take up an appointment from the Jubilee administration after he earlier scoffed at reports that President Kenyatta's regime wanted to name him a special envoy.

Raila warns that Kenya will be the biggest loser in the event Tanzania pulls out of the EAC bloc because it will be unable to access markets in the DRC and Malawi.

"Kenya and the rest of EAC stand to suffer economically if Tanzania were to team up with DRC and Burundi in another union. The Tanzania-DRC-Burundi coalition would effectively block EAC, Kenya included, from accessing the markets of central and southern Africa," he noted.

"We must make no mistake about the potential might of the three States put together. DRC remains a virgin land of vast potential. It is famed to have natural resources, including potential for electric power sufficient for the entire continent of Africa," he explained.

Instead, Raila wants Uhuru to push for a coalition comprising Kenya, Tanzania, Rwanda, Burundi, Uganda and South Sudan, which would jointly entice DRC to come on board.

Raila's offer comes at a time when Tanzania has been seen pulling back and even missing key regional meetings in Kenya, Uganda and even Rwanda. Uhuru, Museveni, Kagame, and Pierre Nkurunziza (Burundi) have met on several occasions in the last few months to launch ambitious regional programmes, but the Dar government has been conspicuously absent.

The EAC leaders were also recently joined by South Sudan President Salva Kiir whose country's application to join the regional bloc is under consideration.

Tanzania's minister for EAC Affairs, Samuel Sitta, recently told a charged Parliament in Dodoma that Dar es Salaam would not wait for a "divorce certificate" from Kenya, Rwanda and Uganda, but would "shoot before we are shot".

The minister spoke on the same day Presidents Uhuru, Kagame, Museveni and Kiir signed a host of protocols and agreements in Kigali, including free movement of goods and persons, infrastructural development and transformation into a single Customs Union.

The pacts were signed on the sidelines of the three-day "Transform Africa Summit" to which Tanzania and Burundi, both EAC member states were not invited.
Sitta confirmed that not a single Tanzanian minister attended the Kigali event. The only senior official at the function was the permanent secretary in the ministry of EAC Affairs.

Standard Digital News - Kenya : Former Prime Minister Raila Odinga offers to lead talks on Tanzania EAC row
 
raila odinga.....huyu ndio alipaswa kuwa rais wa kenya...ana vision na uelewa wa hali ya juu sio huyu uk ni mlevi tuu..wee rais gani kila siku macho yamevimba shauri ya jack daniel???na ndio maana hawa watutsi wanamuingiza mkenge nalo jinga jinga tu linawakubalia...hovyooo kabisa huyu atere reee. Barack obama alimsoma akaona huyu uk sio kabisa wa level ya kuongea nae akampotezea akaishia zake bongo.


uhuru mvuta bangi, ile mi macho
 
huyu pekee ndiye rais aliyekuwa anatakiwa kenya. uhuru kuwa rais ni kosa ambalo wakenya watalijutia sana.
 
Ukimwaga ugali,watanzania tunamwaga Sukumawiki!.

Hatumwagi sukumawiki, wakimwaga ugali tunaokota ugali mchafu ili tukale kwa sukuma wiki iliyomikononi mwetu
 
Sembe unamsumbua Kenyatta ndio bahati yetu Tanzania ili iondokane na minyororo ya Makampuni ya Kenya.
 
(Raila offers to help resolve EAC controversy - Politics - nation.co.ke)
Former Prime Minister Raila Odinga has offered to help resolve the controversy threatening to break up the East African Community (EAC).


Mr Odinga appealed to Presidents Uhuru Kenyatta, Yoweri Museveni (Uganda), Jakaya Kikwete (Tanzania) and Paul Kagame (Rwanda) to urgently pick a Panel of Statesmen from the EAC to resolve the controversy that has seen Tanzania threaten to pull out of the political and economic bloc.

(Read: Tanzania seeks new partners outside EAC)

“I want to propose to regional heads of State that a panel of statesmen from the EAC be put together to work out a mechanism to resolve the impasse and put the union back on track,” he told a press conference.

SIT ON THE PANEL

Asked whether he was ready to sit on the panel if picked by President Kenyatta, Mr Odinga answered in the affirmative.

“Yes, I’m ready to represent Kenya on that panel,” he responded.

Mr Odinga has previously resisted overtures from the Jubilee government to appoint him Kenya’s envoy at large, with his supporters terming it a ploy to push him into political retirement.

Mr Odinga’s concerns come in the wake of reports from Dar es Salaam that Tanzania was considering pulling out of the EAC.

Tanzania’s minister for EAC Affairs, Samuel Sitta is reported to have told a charged Parliament in Dodoma that Dar will not wait for a “divorce certificate” from Kenya, Rwanda and Uganda, but will “shoot before we are shot.”

The minister spoke on the same day Presidents Kenyatta, Kagame, Museveni and Salva Kiir of South Sudan signed a host of protocols and agreements in Kigali, including free movement of goods and persons, infrastructural development and transformation into a single Customs Union.

The pacts were signed on the sidelines of the three-day “Transform Africa Summit” to which Tanzania and Burundi, both EAC member states were not invited.

Mr Sitta confirmed that not a single Tanzanian minister attended the Kigali event. The only senior government official at the function was the permanent secretary in the ministry of EAC Affairs.

Claiming the trio of Messrs Kenyatta, Kagame and Museveni were engaged in some “dirty game”, Mr Sitta assured the MPs that Tanzania will not be bound by any decisions arrived at by the leaders of Kenya, Rwanda and Uganda pertaining to the regional bloc.

Mr Odinga warned that Kenya would be the biggest loser if Tanzania pulled out of the regional bloc because it will be unable to access markets in the DRC and Malawi.

“Kenya and the rest of EAC stand to suffer immensely economically if Tanzania were to team up with DRC and Burundi in another union. The Tanzania-DRC-Burundi coalition would effectively block EAC, Kenya included, from accessing the markets of Central and Southern Africa,” he noted.

“We must make no mistake about the potential might of DRC, Tanzania and Burundi put together. DRC remains a virgin land of vast potential. But it is famed to have natural resources, including potential for electric power sufficient for the entire continent of Africa,” he explained.

To Mr Odinga, the ideal situation would be a coalition comprising Kenya, Tanzania, Rwanda, Burundi, Uganda and South Sudan which would jointly entice DRC to come on board.
 
kuna mtu wa "state house of kenya" amenidokeza u.k ni teja so let take no worry on that person,and even every kenyan know that,the guy cont telling me the story the guy is so rich beyonds,he cont assuring me ask any in nairobi about u.k

Hiki KIDHUNGU Kigumuuu....,,,Nitashukuru hii para ya mwishp unitafunie kwa KISWAHILI-sijaelewa kabisa! Kumradhi!
 
Acha wavune watakachopanda, kwanza Kenya inajidai kuwa mlima Kilimanjaro uko Kenya, ngorongoro iko Kenya, Serengeti iko Kenya. Tanzania itakachofanya ni kuongeza tozo kwa watalii wanaofikia Nairobi na kuletwa Tanzania kwa asilimia elfu moja kama wanataka kuviona vivutio hivyo ambavyo viko TZ na kwa watalii wanaofikia Tanzania wapunguziwe gharama kwa 75% kwa sababu watalii watakaopitia Kenya watafanya redemption . Hapo ndo Kenya itatamka wazi kuwa hivyo vivutio haviko Kenya. Tanzania ndo inailea Kenya.

Mkuu tuko pamoja na nakuhakikishia kuwa unachofikiria ndicho kinachotokea. Magari ya watalii ya Kenya yanalipa pesa nyingi sana (ambayo ni kama adhabu) kuingia mbuga za Tanzania. Ukweli ni kuwa watalii wanaokuja kupitia Kenya kwa kuambiwa ni nafuu, inakuwa nafuu kweli lakini tarrifs za Tanzania kwa tour operators wa Kenya zinaondoa faida yote wanayopata. Kama watalii wangejua hili wangekuja moja kwa moja. Lakini ukweli mwingine ni kuwa tour operators wa Tanzania sio very inventive na business-oriented on the global market kuliko wa Kenya. Inashangaza hata ku-copy na ku-paste marketing strategies wanashindwa na mwisho wanabaki kulalamika kuwa Wakenya wanasema hivo vivutio viko Kenya. Kwa dunia ya sasa, hakuna mgeni asiyejua ukweli kuwa viko Tanzania. Wakenya wanaweza kueleza zaidi value-for-money kuliko tunavoweza sisi!

Lakini tayari sasa waKenya wengi wameanza kuona mwendo mbaya wa EAC na kwao Tanzania ni traditional ally na kinachoendelea sio kitu kizuri kwa ustawi!!
 
Kagame na Kenyatta ni watu wa ovyoo sana, wanaiona Tanzania haina role kwenye kushape EA economy, let them try and see!
 
Mkuu tuko pamoja na nakuhakikishia kuwa unachofikiria ndicho kinachotokea. Magari ya watalii ya Kenya yanalipa pesa nyingi sana (ambayo ni kama adhabu) kuingia mbuga za Tanzania. Ukweli ni kuwa watalii wanaokuja kupitia Kenya kwa kuambiwa ni nafuu, inakuwa nafuu kweli lakini tarrifs za Tanzania kwa tour operators wa Kenya zinaondoa faida yote wanayopata. Kama watalii wangejua hili wangekuja moja kwa moja. Lakini ukweli mwingine ni kuwa tour operators wa Tanzania sio very inventive na business-oriented on the global market kuliko wa Kenya. Inashangaza hata ku-copy na ku-paste marketing strategies wanashindwa na mwisho wanabaki kulalamika kuwa Wakenya wanasema hivo vivutio viko Kenya. Kwa dunia ya sasa, hakuna mgeni asiyejua ukweli kuwa viko Tanzania. Wakenya wanaweza kueleza zaidi value-for-money kuliko tunavoweza sisi!

Lakini tayari sasa waKenya wengi wameanza kuona mwendo mbaya wa EAC na kwao Tanzania ni traditional ally na kinachoendelea sio kitu kizuri kwa ustawi!!

..sasa hivi tumeshawapiga bao.

..mapato yetu ya utalii ni makubwa kuliko ya Kenya.

..tunapaswa kuongeza nguvu zaidi ili kuwamaliza moja kwa moja.

..sasa tunatakiwa kuhamia kwenye miuondo mbinu. tuimarishe reli zetu, tujenge bandari kubwa na efficient kuliko ya kwao, halafu tumalize na viwanja vya ndege vyenye sifa za kimataifa.

..nadhani hawa wanatuogopa, they want us to commit now. wanaamini muda unavyokwenda ndivyo tunavyoimarika na mwisho wake we will be the ones setting the terms of our relations.

cc Tuko, Nguruvi3
 
Last edited by a moderator:
Haya ni maneno ya Raila Odinga akizungumzia hasara watakayoipata waKenya endapo wataitenga Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki

Mr Odinga warned that Kenya would be the biggest loser if Tanzania pulled out of the regional bloc because it will be unable to access markets in the DRC and Malawi.“Kenya and the rest of EAC stand to suffer immensely economically if Tanzania were to team up with DRC and Burundi in another union. The Tanzania-DRC-Burundi coalition would effectively block EAC, Kenya included, from accessing the markets of Central and Southern Africa,” he noted.“We must make no mistake about the potential might of DRC, Tanzania and Burundi put together. DRC remains a virgin land of vast potential. But it is famed to have natural resources, including potential for electric power sufficient for the entire continent of Africa,” he explained

Chini ni Link ya habari hiyo

Raila offers to help resolve EAC controversy - Politics - nation.co.ke

Sema Rais!
 
..sasa hivi tumeshawapiga bao.

..mapato yetu ya utalii ni makubwa kuliko ya Kenya.

..tunapaswa kuongeza nguvu zaidi ili kuwamaliza moja kwa moja.

..sasa tunatakiwa kuhamia kwenye miuondo mbinu. tuimarishe reli zetu, tujenge bandari kubwa na efficient kuliko ya kwao, halafu tumalize na viwanja vya ndege vyenye sifa za kimataifa.

..nadhani hawa wanatuogopa, they want us to commit now. wanaamini muda unavyokwenda ndivyo tunavyoimarika na mwisho wake we will be the ones setting the terms of our relations.
Nakubaliana kabisa na maoni ya NewOrder kuhusu aggressiveness ya tour operators wetu.

Ni kweli kuwa kazi ya ‘ tour’ haipewi hadhi inayostahili. Kuwa na magari hakutoshi inabidi awepo mtu anayeijua dunia na kuwapa watalii thamani ya pesa zao kwa knowledge , entertainment n.k na wao kuwa mabalozi wakirudi makwao.

Kama alivyosema suala la value for money ni muhimu sana. Market strategy ni lazima ionyeshe kwanini mtu afikie Dar na wala si Nairobi, kuna kitu gani anapata zaidi kwa thamani ile ile.

Kuhusu miundo mbinu lazima tujilaumu sana. JK alipoingia alikuta suala la reli ya kati hadi sasa ni kitendawili mara Japan inataka kujenga mara China wanapewa kazi yaani hakuna mkakati ni vurugu tu.

Kumbuka hayo yametokea baada ya kung’oa reli kwa ushirikianao wa serikali ya Kikwete na Wahindi bila yoyote kuadhibiwa kwasababu ni miradi ya viongozi wa JK!

Tukipata mtu serious haichukui miaka 10 tuta dictate terms za block.
Kwa mwendo wa hawa waliopo tatizo ni letu wenyewe.
 
huyu rais wa kenya kwanini macho mekundu na midomo imemkauka saa zote?
 
Back
Top Bottom