Raila Odinga Atoa Onyo kwa Kenyatta endapo Kenya Itaitenga Tanzania

kambitza

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Posts
2,045
Reaction score
1,326
Haya ni maneno ya Raila Odinga akizungumzia hasara watakayoipata waKenya endapo wataitenga Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki

Mr Odinga warned that Kenya would be the biggest loser if Tanzania pulled out of the regional bloc because it will be unable to access markets in the DRC and Malawi.“Kenya and the rest of EAC stand to suffer immensely economically if Tanzania were to team up with DRC and Burundi in another union. The Tanzania-DRC-Burundi coalition would effectively block EAC, Kenya included, from accessing the markets of Central and Southern Africa,” he noted.“We must make no mistake about the potential might of DRC, Tanzania and Burundi put together. DRC remains a virgin land of vast potential. But it is famed to have natural resources, including potential for electric power sufficient for the entire continent of Africa,” he explained

Chini ni Link ya habari hiyo

Raila offers to help resolve EAC controversy - Politics - nation.co.ke
 
Sidhani kama Kenyatta yuko na masikio mazuri
 
Huo mkutano ni wa wakuu wa nchi.. na jk ni mkuu wa nchi.
 
Acha wavune watakachopanda, kwanza Kenya inajidai kuwa mlima Kilimanjaro uko Kenya, ngorongoro iko Kenya, Serengeti iko Kenya. Tanzania itakachofanya ni kuongeza tozo kwa watalii wanaofikia Nairobi na kuletwa Tanzania kwa asilimia elfu moja kama wanataka kuviona vivutio hivyo ambavyo viko TZ na kwa watalii wanaofikia Tanzania wapunguziwe gharama kwa 75% kwa sababu watalii watakaopitia Kenya watafanya redemption . Hapo ndo Kenya itatamka wazi kuwa hivyo vivutio haviko Kenya. Tanzania ndo inailea Kenya.
 
Ngoja tuwafungie duniani.
 
[h=3]RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS KENYATTA JIJINI JOHANNESBURG, AFRIKA KUSINI LEO[/h] Posted by GLOBAL on November 5, 2013 at 5:54pm 0 Comments 0 Likes +1
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya aliyemtembelea na kumsabahi hotelini kwake Sandton Sun jijini Johannesburg, Afrika ya Kusini, leo Oktoba 5, 2013.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya aliyemtembelea hotelini kwake Sandton Sun jijini Johannesburg, Afrika ya Kusini, leo Oktoba…​
​
 
kuna mtu wa "state house of kenya" amenidokeza u.k ni teja so let take no worry on that person,and even every kenyan know that,the guy cont telling me the story the guy is so rich beyonds,he cont assuring me ask any in nairobi about u.k
 
Wamezungumza nini baada ya kutembeleana hotelini? Au Salva ameuafanya siri mazungumzo hayo?
Kiukweli wakenya wengi wana wasiwasi mwingi sana kama Tanzania itajitoa EAC na kuanzisha umoja na nchi za DRC na Burundi.
Wakenya wengi wanafanya biashara zao kwa wingi na kwa urahisi Tanzania kuliko nchi nyongine za EAC.
 
Wakenya wacha wachezee shilingi chooni.Tukijitoa,tunapandisha kodi ya kuingia watalii toka Kenya kwa 1000%.Watalii mara nyingi walikuwa wakilala Kenya na kuja Tz just kuangalia vivutio. Watalii wataamua walale kenya walipe kodi au walaleTanzania na wasilipe!
 
Haya ni maneno ya Raila Odinga akizungumzia hasara watakayoipata waKenya endapo wataitenga Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki

Mr Odinga warned that Kenya would be the biggest loser if Tanzania pulled out of the regional bloc because it will be unable to access markets in the DRC and Malawi.“Kenya and the rest of EAC stand to suffer immensely economically if Tanzania were to team up with DRC and Burundi in another union. The Tanzania-DRC-Burundi coalition would effectively block EAC, Kenya included, from accessing the markets of Central and Southern Africa,” he noted.“We must make no mistake about the potential might of DRC, Tanzania and Burundi put together. DRC remains a virgin land of vast potential. But it is famed to have natural resources, including potential for electric power sufficient for the entire continent of Africa,” he explained

Chini ni Link ya habari hiyo

Raila offers to help resolve EAC controversy - Politics - nation.co.ke

Too late!!! Kwa hali iliyofikia huwezi kuepuka kuvunjika kwa Jumuiya! Wameshachelewa, Tanzania iliwaonya tangu June kwenye kikao cha kwanza hawakusikia!! Odinga kaliona hili na it is a fact kwamba bila Tanzania uchumi wa KENYA lazima uporomoke!! Natamani hata kesho Jumuiya ivunjike ili waje wanatambaa kuomba msamaha!!
 
Kwa hili Kenya yawapasa kuwa makini
 
kuna mtu wa "state house of kenya" amenidokeza u.k ni teja so let take no worry on that person,and even every kenyan know that,the guy cont telling me the story the guy is so rich beyonds,he cont assuring me ask any in nairobi about u.k
tutasikia mengi kupitia hapa.
 
Wachaga huyo mwana siasa nguli awaonye hao wanao shabikia mfarakano!! Vijana hawaoni mbali!!
 
Kwa jina la YESU, EAC haitavunjika! Amina

Kama ilivyo kwa atendaye dhambi huyo amekufa hata kama anatembea na kuongea, vivyo hivyo hii EAC tayari imevunjika hata kama kwenye makaratasi ipo kilichobaki ni tangazo rasmi kwamba 'IMEKWISHA', wenye shughuli zao huko Kenya, Uganda na Rwanda waanze kuhesabu maumivu tu, EAC ina ufa ambao uko beyond repair.
 
Back
Top Bottom