Haya ni maneno ya Raila Odinga akizungumzia hasara watakayoipata waKenya endapo wataitenga Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki
Mr Odinga warned that Kenya would be the biggest loser if Tanzania pulled out of the regional bloc because it will be unable to access markets in the DRC and Malawi.Kenya and the rest of EAC stand to suffer immensely economically if Tanzania were to team up with DRC and Burundi in another union. The Tanzania-DRC-Burundi coalition would effectively block EAC, Kenya included, from accessing the markets of Central and Southern Africa, he noted.We must make no mistake about the potential might of DRC, Tanzania and Burundi put together. DRC remains a virgin land of vast potential. But it is famed to have natural resources, including potential for electric power sufficient for the entire continent of Africa, he explained
Chini ni Link ya habari hiyo
Raila offers to help resolve EAC controversy - Politics - nation.co.ke
kama Tanzania ikiamua kufukuza makampuni ya kenya..
na kadhalika,
- Jubilee insurance
- Dianmond trust bank
- Phoenix assurance company
- Lion insurance company
- I&M Bank
- Heritage insurance
- Century insurance
- First Assurance company
- Eagle insurance brokers
- Uniliver products kama Blue band, Kimbo nk
- maziwa ya brookline
- Uchumi super markets
- Nakumatt (wapo njiani kuja)
so wakiweka ngumu tunaweka ngumu wakenya wauze share zao..nani atakula hasara ? sana sana kule ipo CRDB na Azam
hivo hao kenya wasitudharau tumewakaribisha sana na biashara zao zipo nyingi Tanzania yote kwa spirit ya EAC lakini leo wanasema hawatutaki kwa hio wana ungana na Sudan Yakusini na Rwanda..ni ujinga tu mtu kuidharau Tanzania, umoja huu una historia ya mbali...kwanza kuwa chini ya utawala wa kiingereza , mombasa kuwahi kuwa chini ya mamlaka ya zanzibar nk
watu wa nchi hizi wameoana pia.leo kenyata ambae amelelewa ikulu ya kenya wakati wa babake anataka kufanya ujinga kwa kuitenga TZ !! ATAJUTA MAELEFU YA WAKENYA ITABIDI WARUDI KWAO..SIDHANI KAMA TUNA WATANZANIA WAPO KENYA KUFANYA KAZI WANA FIKA 20
Its all about capital and know how,vipi maelfu ya wenzako walioajiriwa na tax inalipwa na hayo makampuni?wakiondoka wewe na wakomunist wenzako ndio mtaumia sio waokama Tanzania ikiamua kufukuza makampuni ya kenya..
na kadhalika,
- Jubilee insurance
- Dianmond trust bank
- Phoenix assurance company
- Lion insurance company
- I&M Bank
- Heritage insurance
- Century insurance
- First Assurance company
- Eagle insurance brokers
- Uniliver products kama Blue band, Kimbo nk
- maziwa ya brookline
- Uchumi super markets
- Nakumatt (wapo njiani kuja)
so wakiweka ngumu tunaweka ngumu wakenya wauze share zao..nani atakula hasara ? sana sana kule ipo CRDB na Azam
hivo hao kenya wasitudharau tumewakaribisha sana na biashara zao zipo nyingi Tanzania yote kwa spirit ya EAC lakini leo wanasema hawatutaki kwa hio wana ungana na Sudan Yakusini na Rwanda..ni ujinga tu mtu kuidharau Tanzania, umoja huu una historia ya mbali...kwanza kuwa chini ya utawala wa kiingereza , mombasa kuwahi kuwa chini ya mamlaka ya zanzibar nk
watu wa nchi hizi wameoana pia.leo kenyata ambae amelelewa ikulu ya kenya wakati wa babake anataka kufanya ujinga kwa kuitenga TZ !! ATAJUTA MAELEFU YA WAKENYA ITABIDI WARUDI KWAO..SIDHANI KAMA TUNA WATANZANIA WAPO KENYA KUFANYA KAZI WANA FIKA 20
Uhuru is pure capitalist and very smart,huwezi kusubiri kina mwigulu na mafisadi waamue ndio miradi ya EA ifanyike,nawasifu sana coalition of the willing na projects zao zitafanikiwa,huwezi kusubiri watu wanaoweka politics mbele kila kitu kwenye maendeleobora hata ya odinga kaona mbali..uhuru ni teja ,you can see it from the look...the problem with him ni kwamba anayumbishwa na wakina mseveni.
Its all about capital and know
how,vipi maelfu ya wenzako walioajiriwa na tax inalipwa na hayo
makampuni?wakiondoka wewe na wakomunist wenzako ndio mtaumia sio
wao
Its all about capital and know how,vipi maelfu ya wenzako walioajiriwa na tax inalipwa na hayo makampuni?wakiondoka wewe na wakomunist wenzako ndio mtaumia sio wao
Acha wavune watakachopanda, kwanza Kenya inajidai kuwa mlima Kilimanjaro uko Kenya, ngorongoro iko Kenya, Serengeti iko Kenya. Tanzania itakachofanya ni kuongeza tozo kwa watalii wanaofikia Nairobi na kuletwa Tanzania kwa asilimia elfu moja kama wanataka kuviona vivutio hivyo ambavyo viko TZ na kwa watalii wanaofikia Tanzania wapunguziwe gharama kwa 75% kwa sababu watalii watakaopitia Kenya watafanya redemption . Hapo ndo Kenya itatamka wazi kuwa hivyo vivutio haviko Kenya. Tanzania ndo inailea Kenya.
:A S soccer:
Hizo ni ndoto tu. Tanzania hawana ubavu kuwapunguzia watalii gharama kwa kuwa mwelekeo siku zote umekua ni kuziongeza. Jiulize kwanza kwa nini zaidi ya asilimia 70 ya watalii wanaokuja Tz wanapitia Kenya. Hata mipaka ilipofungwa mwaka 1977 Tanzania haikutumia muda huo kubadilisha hiyo hali ya wageni kujia Kenya. Bado gharama zetu za ndege kutua ziliendelea kua juu ukiachilia mbali mambo lukuki ambayo yangebadilishwa ili kuifanya Tanzania iwe destination. Unjanja wa biashara Tanzania hatuna. Kilichobaki tunategemea sana WAKUJA.
Lol,Odinga is just a loser,ulishindwa uchaguzi mara mbili acha wenzako wafanye kazi hakuna anayesiliza loser kama wewe.
:disapointed:Ndugu yangu huna taarifa za kutosha. Kwa taarifa yako inasemekana Tanzania sasa hivi ndiyo inayouza zaidi Kenya. Usitamani jumuiya ivunjike madhara ni makubwa.Too late!!! Kwa hali iliyofikia huwezi kuepuka kuvunjika kwa Jumuiya! Wameshachelewa, Tanzania iliwaonya tangu June kwenye kikao cha kwanza hawakusikia!! Odinga kaliona hili na it is a fact kwamba bila Tanzania uchumi wa KENYA lazima uporomoke!! Natamani hata kesho Jumuiya ivunjike ili waje wanatambaa kuomba msamaha!!
huyu rais wa kenya kwanini macho mekundu na midomo imemkauka saa zote?
Haya ni maneno ya Raila Odinga akizungumzia hasara watakayoipata waKenya endapo wataitenga Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki
Mr Odinga warned that Kenya would be the biggest loser if Tanzania pulled out of the regional bloc because it will be unable to access markets in the DRC and Malawi.Kenya and the rest of EAC stand to suffer immensely economically if Tanzania were to team up with DRC and Burundi in another union. The Tanzania-DRC-Burundi coalition would effectively block EAC, Kenya included, from accessing the markets of Central and Southern Africa, he noted.We must make no mistake about the potential might of DRC, Tanzania and Burundi put together. DRC remains a virgin land of vast potential. But it is famed to have natural resources, including potential for electric power sufficient for the entire continent of Africa, he explained
Chini ni Link ya habari hiyo
Raila offers to help resolve EAC controversy - Politics - nation.co.ke
Hivi kwa nini macho ya UK ni mekundu vile? Nina wasiwasi huenda ana'toronto'.