Raila Odinga Atoa Onyo kwa Kenyatta endapo Kenya Itaitenga Tanzania

Raila Odinga Atoa Onyo kwa Kenyatta endapo Kenya Itaitenga Tanzania

Mm naona tujitoe tu kwenye huo muungano kwa sababu hawa wamekuwa tegemez sana kwetu mwinzo watatumiliki mpaka watu wenyewe sasa kama wachina
 
Haya yote ni kwa sababu ya...........

Yani kwa ujumla yote haya yanasababishwa na uongozi legelege ya j k na kampan yake yote!

Mkuu, tuache siasa tunapokuwa kwenye masuala yenye maslahi kwa Taifa. JK ni kiongozi wa kupita lakini Tanzania ipo hata milele hivyo mustakabali wake ni lazima uangaliwe kwa umakini wa hali ya juu sana.
 
Acha wavune watakachopanda, kwanza Kenya inajidai kuwa mlima Kilimanjaro uko Kenya, ngorongoro iko Kenya, Serengeti iko Kenya. Tanzania itakachofanya ni kuongeza tozo kwa watalii wanaofikia Nairobi na kuletwa Tanzania kwa asilimia elfu moja kama wanataka kuviona vivutio hivyo ambavyo viko TZ na kwa watalii wanaofikia Tanzania wapunguziwe gharama kwa 75% kwa sababu watalii watakaopitia Kenya watafanya redemption . Hapo ndo Kenya itatamka wazi kuwa hivyo vivutio haviko Kenya. Tanzania ndo inailea Kenya.

Janilichangia hoja hii pia, Tanzania iongeze tozo kwa watalii wanaoingia kutokea mipakani kwa asilimia za kutosha, na ipunguze kwa wale wanaokuja direct Tanzania. Juzi nilikuwa ulaya wakati narudi home ndege yetu ilikuwa na wazungu wengi sana kati ya abilia 250, 200 wallishuka Kenya, ndege ilikuja tupu wakati tunakuja nilijaribu kudadisi baadhi ya wazungu niliokuja nao walisema kuwa hao wengi watakuja Tanzania (Kilimanjaro, serengeti na ngorongoro) kupitia kenya harafu watarudia Kenya. kwaani Kenya huwatoza ada kidogo.
 
Raila Odinga.....huyu ndio alipaswa kuwa rais wa Kenya...ana vision na uelewa wa hali ya juu sio huyu UK ni mlevi tuu..wee rais gani kila siku macho yamevimba shauri ya jack Daniel???na ndio maana hawa watutsi wanamuingiza mkenge nalo jinga jinga tu linawakubalia...hovyooo kabisa huyu atere reee. Barack Obama alimsoma akaona huyu UK sio kabisa wa level ya kuongea nae akampotezea akaishia zake bongo.


Nimewahi kusikia kua hata kile cha arusha kinatumika.
 
Cha kuchekesha mbunge wa Chadema Wenye, anaishambulia Tanzania kwenye sakata hili, wakati Raila Odinga anawaonya wenzake.
 
Too late!!! Kwa hali iliyofikia huwezi kuepuka kuvunjika kwa Jumuiya! Wameshachelewa, Tanzania iliwaonya tangu June kwenye kikao cha kwanza hawakusikia!! Odinga kaliona hili na it is a fact kwamba bila Tanzania uchumi wa KENYA lazima uporomoke!! Natamani hata kesho Jumuiya ivunjike ili waje wanatambaa kuomba msamaha!!

Hata mimi namtazamo kama wako.
 
hatuwezi kukimbilia political federation ilhali Rwanda na Uganda hazifanyi chaguzi huru na za haki. Uhuru, Mu7 na Kagame hawapaswi ku fast track hii jumuiya, kuna mambo mengi ya kufanya kabla hatujafika huko wanakotaka. Raila is right

Hivi tangu Jumuia hii ifufuliwe ni kitu gani cha kujivunia ambacho tumefanikiwa pamoja? Tukiachana na upitaji rahisi wa mipakani kuna mafanikio gani ya ziada? Hili soko la pamoja limenufaisha vipi wananchi katika Jumuia hii, hivi ni Watanzania wangapi wameajiriwa Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi kupitia Jumuia hii? MU7 na PK ni waroho wa madaraka wanataka hii habari iharakishwe wakijipanga mmoja wao awe kiongozi wa kwanza, UK yeye anafuata mkumbo, ni rais mchanga sana katika medani za siasa za fitina hawezi kufika hata robo ya hao wa kwanza. PK anataka Federation ya haraka ili kupata makazi ya raia wake takribani 12,000,000 waliobanana katika eneo lisilozidi kilometa za mraba 26,000 huyu kwa kweli anayo hoja ya msingi. MU7 yeye ni mroho tu wa madaraka na UK anaingizwa mkenge bila yeye kujua anachokifanya kwa Wakenya.
 
Some people say we belong to SADC
Me i am in EA state of mind
i am taking a bus trip to Nairobi
to my dear Wanjiku.
 
Haya yote ni kwa sababu ya...........

Yani kwa ujumla yote haya yanasababishwa na uongozi legelege ya j k na kampan yake yote!


Kama ulifuatilia hotuba aliyoitoa M7 kwenye kuapishwa kwa Kenyata na aliyoitoa Kikwete kwenye hafla ya jioni siku hiyo hiyo usimgesema maneno hayo. M7 alitumia mda mwingi kumbeza RAO(akimuhusisha na ICC akasahau kua kuna wakenya milion zaidi ya tano wamemchagua) na Kikwete katika hotuba yake alijitahidi kutokugusa upande wowote na akawasifu wakenya kwa kufanya uchaguzi kwa amani. Ukifuatilia tena katika kikao cha AU kilichofanyika Addis Ababa hotuba za akina Kagame na M7 utajua kwa nini Tanzania inatengwa katika hili, ila ukikurupuka kama mtu aliyetoka usingizini utaishia kumlaumu kikwete.
 
ameona mbali, ili mashirikiano ya kuangalia nitapata nn kwa huyu ili kunufaisha nchi yangu yana walakini sana kwani kuna nchi ambazo zaweza zikakosa kabisa nchi kuungana nazo kisa tu ina mali asili chache sana na hawana mpaka na nchi fulani kwamba ambayo inahitajika kwa utajili wake.
 
Haya ni maneno ya Raila Odinga akizungumzia hasara watakayoipata waKenya endapo wataitenga Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki

Mr Odinga warned that Kenya would be the biggest loser if Tanzania pulled out of the regional bloc because it will be unable to access markets in the DRC and Malawi.“Kenya and the rest of EAC stand to suffer immensely economically if Tanzania were to team up with DRC and Burundi in another union. The Tanzania-DRC-Burundi coalition would effectively block EAC, Kenya included, from accessing the markets of Central and Southern Africa,” he noted.“We must make no mistake about the potential might of DRC, Tanzania and Burundi put together. DRC remains a virgin land of vast potential. But it is famed to have natural resources, including potential for electric power sufficient for the entire continent of Africa,” he explained

Chini ni Link ya habari hiyo

Raila offers to help resolve EAC controversy - Politics - nation.co.ke

Naamini katika mazungumzo hayo JK hakua mjinga.Picha niliyoipata haw jamaa wamemtuma huyu dogo kama Chambo ya kuturudisha TZ kwenye uelekeo wao ,kwani kila kitu kimeharibika.Sasa najiuliza kama kweli wana nia ya dhati kwa nini si mmoja wao aonane na Jk na si kumtumia huyu dogo?Kwa mtizamo wangu tuendelee kubaki na hiyo EAC ya kwenye makaratasi ,lakinin bila kurudi nyuma Muungano wa Burundi,DRC na TZ uendelee,na huu ndio utakao tupa heshima EAC.
Wakati hayo yakifanyika ,ni wakati wa kuidhibiti Kenya kwenye utalii ambao wananufaika kwa mgongo wetu.Ni wakati muafaka wa kuongeza kodi ya kufa mtu kwa watalii wanaokuja kwetu kupitia Kenya ,ili watalii hao waingie TZ moja kwa moja.Haina maana kuwanufaisha watu kutoka nje,wakati vivutio ni vyetu.Polepole tutaanza kuheshimiana.
 
kuna mtu wa "state house of kenya" amenidokeza u.k ni teja so let take no worry on that person,and even every kenyan know that,the guy cont telling me the story the guy is so rich beyonds,he cont assuring me ask any in nairobi about u.k

Acha uongo wewe. Mtu wa state house of kenya aongee na wewe wakati hata kiingereza shida. Kawadanganye wauza samaki pale magogoni
 
Raila Odinga.....huyu ndio alipaswa kuwa rais wa Kenya...ana vision na uelewa wa hali ya juu sio huyu UK ni mlevi tuu..wee rais gani kila siku macho yamevimba shauri ya jack Daniel???na ndio maana hawa watutsi wanamuingiza mkenge nalo jinga jinga tu linawakubalia...hovyooo kabisa huyu atere reee. Barack Obama alimsoma akaona huyu UK sio kabisa wa level ya kuongea nae akampotezea akaishia zake bongo.

Angalizo

Hebu rekebisha hapo kwenye rangi ya bluu: 'Atere rere' (which refers to Luos). Nina hakika hukumaanisha hovyoo Odinga🙂. Wa hovyoo ni huyo mlevi "Kamwanaa" (which refers to Kikuyus)Kenyatta🙂. Vinginevyo, tuko upande mmoja wa hoja hii.
 
Uhuru aminiya! He come saw and conquered. Ametucha mdomo wazi ooh SADC ndio mpango mzima.
 
Angalizo

Hebu rekebisha hapo kwenye rangi ya bluu: 'Atere rere' (which refers to Luos). Nina hakika hukumaanisha hovyoo Odinga🙂. Wa hovyoo ni huyo mlevi "Kamwanaa" (which refers to Kikuyus)Kenyatta🙂. Vinginevyo, tuko upande mmoja wa hoja hii.

Says who? Nilidhani Atere rere is a kikuyu greeting. Niwega.
 
Back
Top Bottom