Kufa ni kufa tu hajalishi umekufa na igonjwa gani!Hujafiwa na mtu wa karibu sababu ya hili janga ndio maana unaandika hayo.
mpe hongera ya kuugua pia.Hongera Raila kwa kuwa muwazi.
We ongea tu Mkuu. Na hili janga halipendagi dharau na utadhani lina masikio..Kufa ni kufa tu hajalishi umekufa na igonjwa gani!
Covid 19 ndiyo unaona ni ugonjwa pekee unaouwa? Usiombe ukamwona mgonjwa wa Ebola unaweza kimbia au Ukimwi wa miaka ya awali. Mafua nayo yakutisha mtu dawa yake mazoezi tu na kula vyakula vya kuongeza kinga tu labda uwe na magonjwa nyemerezi au uwe mzee sana.We ongea tu Mkuu. Na hili janga halipendagi dharau na utadhani lina masikio..
Sawa.Covid 19 ndiyo unaona ni ugonjwa pekee unaouwa? Usiombe ukamwona mgonjwa wa Ebola unaweza kimbia au Ukimwi wa miaka ya awali. Mafua nayo yakutisha mtu dawa yake mazoezi tu na kula vyakula vya kuongeza kinga tu labda uwe na magonjwa nyemerezi au uwe mzee sana.