Raila Odinga (RAO) afariki dunia huko India. Amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 80.
R.I.P Papa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atuma ujumbe wa rambirambi :
TWITTER :
— Samia Suluhu (@SuluhuSamia)
October 15, 2025
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mheshimiwa Raila Amolo Odinga. Tumempoteza kiongozi mahiri, Mwanamajumui wa Afrika, mpenda amani na mtafuta suluhu, ambaye ushawishi na upendo wake haukuwa tu ndani ya Kenya, bali Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla. Msiba…
— Samia Suluhu (@SuluhuSamia)
October 15, 2025
TOKA MAKTABA :
WaTanganyika Wawili ambao ni Raila Odinga na Jakaya Kikwete katika mchuano mkali
Kampeni za Raila alitumia pasipoti ya Tanganyika kwenda kusoma Ujerumani ya Mashariki,
Raila Odinga Atembelea Chuo Cha Zamani huko Leipzig, Ujerumani kabla ya Zabuni ya Uenyekiti wa AU
View: https://m.youtube.com/watch?v=o202H_CoZlw
Mwaka 1962 Serikali ya Tanganyika ilimpa Raila Odinga hati ya kusafiria (pasipoti) iliyomsaidia kwenda kusoma source : mtandao wa X
In 1962, Jaramogi Oginga Odinga requested Mwalimu Julius Nyerere, then newly elected as the Prime Minister of Tanganyika, to facilitate the travel of his then 17-year-old, Aluo Raila Amolo Odinga, to East Germany. Raila travelled from Dar-es-Salaam by ship to Egypt, then to East Germany using a Tanzanian passport. After Daniel arap Moi released him from detention without trial in 1991, Raila, once again, fled Kenya, this time to Norway, using a Ugandan passport. Source : Migori News