secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 15,167
- 28,199
La hasha mkuu, alipendelea kusugua mjusi wakeHakujitia madole kwenye donati?
La hasha mkuu, alipendelea kusugua mjusi wakeHakujitia madole kwenye donati?
Inatakiwa ukamatwe ukacharazwe viboko taifa saa sita kamili mchana ukiwa uchi wa mnyama.Hakujitia madole kwenye donati?
Rest in peace Raila✌️
Ona mahuni haya yanamkejeli baba!La hasha mkuu, alipendelea kusugua mjusi wake
Baba nilikuwa namkubali mno.Ona mahuni haya yanamkejeli baba!
Kwa yote aliyofanya, wewe umechagua kumuenzi kwa hili 🤣🤣🤣
RIP kwake na kwa Mjusi wake.La hasha mkuu, alipendelea kusugua mjusi wake
Huu uzi utaleta madhara makubwa sana.. Watu watakaba nyoka kwa bidii sana. Ni kama watakua wamehalalishia kujichukulia sheria mkononi.. RIP kwa nyoka zao in advance.
NdiyoKwa yote aliyofanya, wewe umechagua kumuenzi kwa hili 🤣🤣🤣
Huu ni uchokozi wa waziwazi, wa kunifananisha mimi na kiungo cha siri si ndiyo!.La hasha mkuu, alipendelea kusugua MJUSI wake
AminaRIP kwake na kwa Mjusi wake.
Mbaga hufanya hivyo mara kwa maraHuu uzi utaleta madhara makubwa sana.. Watu watakaba nyoka kwa bidii sana. Ni kama watakua wamehalalishia kujichukulia sheria mkononi.. RIP kwa nyoka zao in advance.
Niwie radhi mkuu 😂Huu ni uchokozi wa waziwazi, wa kunifananisha mimi na kiungo cha siri si ndiyo!.
Uwe na adabu siku nyingine, la sivyo tutang'oana meno hapa.Niwie radhi mkuu
Unataka kusema mbaga ana uzoefu katika ukabaji wa nyoka?Mbaga hufanya hivyo mara kwa mara