TANZIA Raila Amolo Odinga afariki dunia nchini India kwa mshtuko wa moyo

TANZIA Raila Amolo Odinga afariki dunia nchini India kwa mshtuko wa moyo

Ile prophecy inasemq state funeral zitaongozana
Kenya ,tz na ug ....
Moja hiyo tayari
Next ss naomba Mungu aendelee na kazi yake....
Ndio hapa nilikua naongea na mtu my dear nikamuambia hivyo hivyo na kumsikilizisha kama si kumuonesha hio video
 
Inasikitisha sana.
ametumia maisha yake yote kupambana na mitawala midhalim ya kiafrika. LEGEND!
 
Jakom, Agwambo, RAO, pumzika kwa amani Baba Raila Omollo Odinga
 
Back
Top Bottom