Raia wa Marekani kuchagua Rais kesho

Raia wa Marekani kuchagua Rais kesho

Unawezaje kusema watu wengi wamejiaminisha kuwa DT anashinda na hali hata wewe pia umejiaminisha kuwa HC utashinda.

Au umeaminishwa huko...!?
na amini katika yeye anitiae uzima na ndio maana nikasema anaebisha aje hapa.
 
Sipendi aina ya Viongozi ambao wanaelekezwa namna ya kuongoza kama itakavyokuwa kwa Clinton, Trump anafaa maana ana uwezo wa kujisimamia mwenyewe.
 
[bold]kwasababu ni mwanamke mwenzio,haya hebu nipe sera zake zilizokuvutia maana umesema umemfuatilia kwa sana[/bold]
 
[bold]kwasababu ni mwanamke mwenzio,haya hebu nipe sera zake zilizokuvutia maana umesema umemfuatilia kwa sana[/bold]
sinaga ubaguzi wa kijinsia mkuu ningeweza kuwatetea MMU kule wanaume kweli? ondoa wazo hilo.
 
kamwe dunia haiwezi kutawaliwa na mtu anayelalwa by donald trump
 
Back
Top Bottom