Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

sasa hapo kulikuwa na haja gani serikali kuwaambia wananchi wajitokeze barabarani wamuage kiongozi wao
 
Hiki ni kiburi cha hali juu. Mwili wa Lowassa una thamani kuliko mtu aliye hai. Kwanza kuna mantiki gani ya kukimbia pembeni ya gari utadhani wamebeba kitu cha thamani sana? Kwa upande wa pili wa shilingi. Na sisi raia tumezidi ukondoo. Watu kama hawa wanapofariki kwa nini tusijikalie nyumbani ili wajue kuwa hatuwathamini kama wasivyotuthamini?
Yes,una thamani zaidi.
Hakuna raia wa kawaida awezaye kupanda hiyo ndinga ilobeba mwili mfu.
 
Kwani mlinzi katumia silaha?
Watu lazima wajifunze itifaki ya misiba ya kitaifa. Anakwenda kulizuia gari ili iweje? Wafe na Lowassa?
Umeona amelizuia gari? Hakuwa na ndugu? Wananchi na sisi tuache ukondoo huyo mlinzi alikuwa wa kupigwa na nzengo nzima!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom