Alphonce Mawazo
R I P
- Sep 10, 2013
- 335
- 478
- Thread starter
- #161
Wewe ukilipwa inatosha
Natakiwa niilipe chadema kwa kunipa jukwaa kubwa namna hii,mimi naelewa umhimu wa jukwaa...ccm hata ukiwa na akili kiasi gani hupati.
Wewe ukilipwa inatosha
Safiiiii saaaana kamanda
kanyaga mafuta, maccn yanatumia ajenda ya zitto kutupotezea mafuta weka
no yako ya mpesa tukuperushie maji ya kunywa. Aunt Tibaijuka anakuogopa
km ukoma huku Muleba kusini wanaokubeza hawakujui.
Peeeeeeeeeeeeeeples
Umekuwa shehe yahaya? hebu
tiririka utujuze;baada ya lowasa na cc ya magamba atafata nani? au baada
ya kulishwa sumu mwakyembe nani atafata? unaonekana wewe ni mpiga ramli
mashuhuri!
SISI TUJENGE
CHAMA! NYINYI MNAKIBOMOWA KWA TAMAA NA CHUKI ZENU ZA KIJINGA.
kama kinakufa na kife, hasara ni ya Mbowe na Slaa.
Ni kweli hata yuda
alikuwa na mazur yake ila usalt wa zzk inatakiwa tuuogope kama ukoma na
tuombe asitokee mshenz firaun kama zitto na ndiposa tusonge mbele zzk ni
binadamu najua ana mwisho na uchafu wake utaingia kwenye
historia.
Yakiisha ya zito na mbowe yatafata ya slaa na mbowe,then lisu na mnyika etc
Unaota ndoto za
mchana,nadhani kwenye hiyo mikutano yako ushaona ni jinsi gani zitto ana
influence kubwa katika jamii ya tz,unajipa moyo kwamba zito hajulikani
vijijini.
Kweli mna PESA za Mchezo.
Hayo mayowe yana mwisho,mkiujua ukweli wa mbowe tayari hali itakuwa mbayaaaaaaaUmekuwa shehe yahaya? hebu tiririka utujuze;baada ya lowasa na cc ya magamba atafata nani? au baada ya kulishwa sumu mwakyembe nani atafata? unaonekana wewe ni mpiga ramli mashuhuri!
mawazo unafanya kazi nzuri sana kamanda..nimepoteza namba yako nipm nikuongezee pesa ya mafuta...
Nakuhakikishia,kila ninapotoa muda wa maswali hakuna hata moja linalohusu zito.
Wenzako wapo busy wakipambana na ZZK! Wengine hawajala tangia Jana jinsi walivyoumia!
Wengine wapo hoi taabani na pressure, wengine wapo hospital kwa pressure!
Njaa tu zinawasumbua!anyway tumikia kafir upate ujira wakoNimeingia jimbo la Kishapu kwa ziara ya siku nne,nawaomba wanachadema kupuuza na kutolipa uzito suala la zito.tuiamini kamati kuu na baraza lake,wengine tutawanyike tukajenge chama.
Tusiingie kwenye mtego wa adui wa mabadiliko yaani CCM,wanachotaka ni zogo hizi kuendelea nasi tupunguze kasi ya kuwashughulikia, acheni kulifanya gumzo vijiweni na badala yake tujadili uundaji wa misingi.
Hakuna haja ya kufadhaika na kuhisi kana kwamba kuna tatizo kweli,HAKUNA TATIZO CHADEMA,nawaomba tena na tena muelekeze nguvu zote vijijini ambako hata Zito hawamjui wao wanajua chadema.
Mnatamani yaishe lakini hata hamjui yataishaje, nakumbuka kibabu chenu kilisema mjadala kuhusu Zitto umefungwa. Yako wapi sasa?
Mmewasha moto halafu mmeshindwa kuuzima, na mwaka ndo kwanza unaanza.
Mpaka ifike Disemba, kazi mnayo...
Huyu Kamanda Mawazo sasa
anazunguka kila kona kukitangaza chama anasifiwa na kila mtu, ukitaka
uone Kamanda Mawazo hana maana hajaribu kugombea nafasi yoyote makao
makuu.
Na tuna upenda sana huo mchezo.