Rai ya Alphonce Mawazo kwa wana CHADEMA

Rai ya Alphonce Mawazo kwa wana CHADEMA

Mpe salute kamanda Paulo Magembe hapo Maganzo,zama Mwadui kamanda upige neno
 
Hivi wewe UNADHANI
JUHUDI ZAKO ZA KUIJENGA CHADEMA ZINAZIDI ZILE ALIZOKWISHAZIFANYA ZITTO?-
WEWE UNAPATA PLATFORM YA KUZUNGUMZA KWA SABABU ULISHAJENGEWA MAZINGIRA
NA AKINA ZITTO OTHERWISE ASINGEKUSIKILIZA MTU

Sijapuuza kazi alizowahi kuzifanya zito hata kidogo,ninacho sema its time we go back to work.Leo nafanya kazi hii kesho pia mwingine atafanya.
 
Mnatamani yaishe lakini hata
hamjui yataishaje, nakumbuka kibabu chenu kilisema mjadala kuhusu Zitto
umefungwa. Yako wapi sasa?
Mmewasha moto halafu mmeshindwa kuuzima, na mwaka ndo kwanza unaanza.
Mpaka ifike Disemba, kazi mnayo...

Yalisha isha...mwenye macho anajua yalisha isha.
 
Mawazo mawazo yako ni ya
muhimu sana wakati huu.

Makamanda kila mtu ageukie kijiji chake kupeleka ujumbe wa mabadiliko.
Issue ya mahakama tuwaachie kina Tundu na wanasheria wetu. Tusiwe kama
CCM, hawahangaiki kujenga chama chao zaidi ni kuishambulia CDM usiku na
mchana

Thanks man!
 
Kila la kheri mkuu,
natamani ningeambatana nawe but niko mbali kikazi tafadhari mwambie
kamanda Paulo Magembe diwani wa Maganzo,ambaye naamini ndiyo mwenyeji
wako akupangie mkutano Mwadui mgodini,utoe mrejesho hapa JF,Mimi ni
miongoni mwa makamanda tulio izika CCM mgodini na pale Shybush
sec

Tuko pamoja kamanda,salamu zimefika
 
Sana kamanda tusonge mbele na
CDM msingi ili tuishikishe adabu CCM ..hapa ni mwendo mdundo na twanga
kotekote mpaka kieleweke

Peoooooplesssssssssssssssssssssssss,POWER CHADEMA!

Pamoja sana kamanda.
 
Hahah...Si msupport
Zitto lkn huwez kulirahisisha hili swala boss..!!
Reputation ya CHADEMA itategemea sana jinsi mtakavyo handle hii
saga...!! Wala usijidanganye...kudeny ukweli kwa kukimbilia
vijijini...Zitto anajulikana hata vijijini...tumng'oe kama kweli kuna
tangible allegations..tuziweke hadharani...lkn pia uongoz wa juu
ujisafishe na tuhuma alizo ziraise Zitto...face the reality..dont
distract ppoz attention..Watanzania sio wajinga tena..HATA HUKO
KISHAPU...!!

Kilio cha watanzania sio Zito wala Mbowe,ni kupunguziwa mzigo wa maisha ulio waelemea mabegani mwao,ndo tunajadili huku na sio Zito sijui yuko wapi na anafanya nn.
 
Ni na wajua sana CDM kesho msianze kumtukana kwa kumuita msaliti!

Chunga sana Mawazo
 
Back
Top Bottom