Rai ya Alphonce Mawazo kwa wana CHADEMA

Rai ya Alphonce Mawazo kwa wana CHADEMA

aisifiae mvua imemnyea. yaelekea na wewe yamekukuta. tueleze tu ukweli yaliyokukuta ndo ukaanza kuwabebeleza wasikilizaji wako waliokuwa na hasira juu ya unyanyaswaji anaofanyiwa zitto. hawajakupopoa mawe kweli?

Nimeingia jimbo la Kishapu kwa ziara ya siku nne,nawaomba wanachadema kupuuza na
kutolipa uzito suala la zito.tuiamini kamati kuu na baraza lake,wengine
tutawanyike tukajenge chama.Tusiingie kwenye mtego wa adui wa mabadiliko
yaani CCM,wanachotaka ni zogo hizi kuendelea nasi tupunguze kasi ya
kuwashughulikia,acheni kulifanya gumzo vijiweni na badala yake tujadili
uundaji wa misingi.Hakuna haja ya kufadhaika na kuhisi kana kwamba kuna tatizo kweli,HAKUNA TATIZO CHADEMA,nawaomba tena na tena muelekeze nguvu zote vijijini ambako hata Zito hawamjui wao wanajua chadema.
 
Hongera kwa kazi nzuri ya kujenga chama kamanda lakini ni vyema ukaachana na kutaja jina la ZZK kwa mabaya maana mwenzio akinyolewa na wewe tia maji.
Wenzako walianza hivyo hivyo kujenga CDM wakiwa wadogo sana tena kwa jitihada kubwa sana pengine kuzidi hata wewe kamanda,lakini mwisho wa siku walikuja kuonekana wabaya pale tu walipotofautiana na wanaoitwa WENYE CHAMA. Angalia leo usiitwe kamanda na kesho ukaitwa msaliti pale utakapotofautiana na WENYE CHAMA.
 
RIP Dr Mgimwa, the latest victim of establisment's brutality. You dont think like them you go.
 
Nimeingia jimbo la Kishapu kwa ziara ya siku nne,nawaomba wanachadema kupuuza na kutolipa uzito suala la zito.tuiamini kamati kuu na baraza lake,wengine tutawanyike tukajenge chama.

Tusiingie kwenye mtego wa adui wa mabadiliko yaani CCM,wanachotaka ni zogo hizi kuendelea nasi tupunguze kasi ya kuwashughulikia, acheni kulifanya gumzo vijiweni na badala yake tujadili uundaji wa misingi.

Hakuna haja ya kufadhaika na kuhisi kana kwamba kuna tatizo kweli,HAKUNA TATIZO CHADEMA,nawaomba tena na tena muelekeze nguvu zote vijijini ambako hata Zito hawamjui wao wanajua chadema.

Hivi wewe UNADHANI JUHUDI ZAKO ZA KUIJENGA CHADEMA ZINAZIDI ZILE ALIZOKWISHAZIFANYA ZITTO?- WEWE UNAPATA PLATFORM YA KUZUNGUMZA KWA SABABU ULISHAJENGEWA MAZINGIRA NA AKINA ZITTO OTHERWISE ASINGEKUSIKILIZA MTU
 
Pamoja kamanda stay focused..lengo n kuyatoa haya ma ccm
 
Nimeingia jimbo la Kishapu kwa ziara ya siku nne,nawaomba wanachadema kupuuza na kutolipa uzito suala la zito.tuiamini kamati kuu na baraza lake,wengine tutawanyike tukajenge chama.

Tusiingie kwenye mtego wa adui wa mabadiliko yaani CCM,wanachotaka ni zogo hizi kuendelea nasi tupunguze kasi ya kuwashughulikia, acheni kulifanya gumzo vijiweni na badala yake tujadili uundaji wa misingi.

Hakuna haja ya kufadhaika na kuhisi kana kwamba kuna tatizo kweli,HAKUNA TATIZO CHADEMA,nawaomba tena na tena muelekeze nguvu zote vijijini ambako hata Zito hawamjui wao wanajua chadema.

Mnatamani yaishe lakini hata hamjui yataishaje, nakumbuka kibabu chenu kilisema mjadala kuhusu Zitto umefungwa. Yako wapi sasa?
Mmewasha moto halafu mmeshindwa kuuzima, na mwaka ndo kwanza unaanza.
Mpaka ifike Disemba, kazi mnayo...
 
Mawazo mawazo yako ni ya muhimu sana wakati huu.

Makamanda kila mtu ageukie kijiji chake kupeleka ujumbe wa mabadiliko. Issue ya mahakama tuwaachie kina Tundu na wanasheria wetu. Tusiwe kama CCM, hawahangaiki kujenga chama chao zaidi ni kuishambulia CDM usiku na mchana
 
Zitto kaijenga cdm au cdm ndo imemjenga zitto?!!! Lini zitto alifanya ziara zake za kuizunguka tanzania kueleza uhalisia wa hali ya nchi na kutoa elim ya uraia kiujumla wake hata kufikia robo ya mawazo?
 
Kila la kheri mkuu, natamani ningeambatana nawe but niko mbali kikazi tafadhari mwambie kamanda Paulo Magembe diwani wa Maganzo,ambaye naamini ndiyo mwenyeji wako akupangie mkutano Mwadui mgodini,utoe mrejesho hapa JF,Mimi ni miongoni mwa makamanda tulio izika CCM mgodini na pale Shybush sec
 
Sana kamanda tusonge mbele na CDM msingi ili tuishikishe adabu CCM ..hapa ni mwendo mdundo na twanga kotekote mpaka kieleweke

Peoooooplesssssssssssssssssssssssss,POWER CHADEMA!
 
Piga mkutano pale Mwang'holo pia cdm iko juu pale niliizika CCM pale,kawatie moyo zaidi
 
Nimeingia jimbo la Kishapu kwa ziara ya siku nne,nawaomba wanachadema kupuuza na kutolipa uzito suala la zito.tuiamini kamati kuu na baraza lake,wengine tutawanyike tukajenge chama.

Tusiingie kwenye mtego wa adui wa mabadiliko yaani CCM,wanachotaka ni zogo hizi kuendelea nasi tupunguze kasi ya kuwashughulikia, acheni kulifanya gumzo vijiweni na badala yake tujadili uundaji wa misingi.

Hakuna haja ya kufadhaika na kuhisi kana kwamba kuna tatizo kweli,HAKUNA TATIZO CHADEMA,nawaomba tena na tena muelekeze nguvu zote vijijini ambako hata Zito hawamjui wao wanajua chadema.

Ndicho haswaa kinachopaswa kufanyika sasa, ni vizuri CDM ikaendelea na program zake
 
Huyu ni div 5! Hata Jina lake hawezi kuandika! "Kamnda' ndio nini?

Kwa taarifa yako tu ni kwamba:, huyu Alphonce Mawazo ana shahada(degree) ya ualimu kutoka pale Mount Meru university.Ualimu ni hot cake isiyoishiwa ajira Tanzania. Amegraduate akiwa bado kijana mbichi kabisa hivyo hana elimu ya kuungaunga na super glue kama ya bosi wako Mwigulu na Nape. Kuandika "kamnda" hiyo ni hoby yake boya wewe!
 
Hahah...Si msupport Zitto lkn huwez kulirahisisha hili swala boss..!!
Reputation ya CHADEMA itategemea sana jinsi mtakavyo handle hii saga...!! Wala usijidanganye...kudeny ukweli kwa kukimbilia vijijini...Zitto anajulikana hata vijijini...tumng'oe kama kweli kuna tangible allegations..tuziweke hadharani...lkn pia uongoz wa juu ujisafishe na tuhuma alizo ziraise Zitto...face the reality..dont distract ppoz attention..Watanzania sio wajinga tena..HATA HUKO KISHAPU...!!
 
Kila la kheri mkuu, natamani ningeambatana nawe but niko mbali kikazi tafadhari mwambie kamanda Paulo Magembe diwani wa Maganzo,ambaye naamini ndiyo mwenyeji wako akupangie mkutano Mwadui mgodini,utoe mrejesho hapa JF,Mimi ni miongoni mwa makamanda tulio izika CCM mgodini na pale Shybush sec

Unaweza kuizika CCM nyuma ya keyboard?
 
Hongera kwa kazi nzuri ya kujenga chama kamanda lakini ni vyema ukaachana na kutaja jina la ZZK kwa mabaya maana mwenzio akinyolewa na wewe tia maji.
Wenzako walianza hivyo hivyo kujenga CDM wakiwa wadogo sana tena kwa jitihada kubwa sana pengine kuzidi hata wewe kamanda,lakini mwisho wa siku walikuja kuonekana wabaya pale tu walipotofautiana na wanaoitwa WENYE CHAMA. Angalia leo usiitwe kamanda na kesho ukaitwa msaliti pale utakapotofautiana na WENYE CHAMA.

Umevurugwa wewe! kwa akili zako za kigambagamba unadhani unaweza kumkatisha tamaa kamanda wa ukweli kama mawazo? kwanza usimlinganishe na huyo mamluki,mpenda sifa anayeshabikiwa na magamba.
 
Back
Top Bottom