Unaweza kuizika CCM nyuma ya keyboard?
Unadhani sisi makamanda ni kama nyie mnaokusanyana kwenye koridor za hapo lumumba fc kupost uharo kwenye mitandao ya kijamii? tupo field na wananchi tena maskini kabisa vijijini tunawapa elimu ya uraia kila siku baada ya shughuri za uzalishaji mali.hatuishi wala kutegemea buk 7 kama nyie watumwa wakubwa!