Idimulwa
Platinum Member
- May 27, 2011
- 5,108
- 2,695
Endelea kuganga Njaa Kamanda, ila ukitaka kuiona Hasira ya LEMA tangaza nia jimbo la Arusha Mjini!
Acha wivu
Endelea kuganga Njaa Kamanda, ila ukitaka kuiona Hasira ya LEMA tangaza nia jimbo la Arusha Mjini!
Huyu ni div 5! Hata Jina lake hawezi kuandika! "Kamnda' ndio nini?
Hasara ni ya Taifa ndugu.
Naogopa sana umewaambia ukweli hawa vijana wa CDM wajikite vijijini na sio kwenye laptop zao na simu za viganjani wakipiga propaganda!
Tofauti kubwa ya vijana wa CDM ni kuwa wanaamini watanzania wengi wanasoma mitandaoni kumbe la hasha!
Mawazo pekeyake hawezi kufanya lolote nyie wengine mmelala kwa wazazi wenu! Poleni sana lakini CCM ipo vijijini sana na huo ndio mtaji mkubwa na sio JF na FB Kama CDM wanavyoamini
Nimeingia jimbo la Kishapu kwa ziara ya siku nne,nawaomba wanachadema kupuuza na kutolipa uzito suala la zito.tuiamini kamati kuu na baraza lake,wengine tutawanyike tukajenge chama.
Tusiingie kwenye mtego wa adui wa mabadiliko yaani CCM,wanachotaka ni zogo hizi kuendelea nasi tupunguze kasi ya kuwashughulikia, acheni kulifanya gumzo vijiweni na badala yake tujadili uundaji wa misingi.
Hakuna haja ya kufadhaika na kuhisi kana kwamba kuna tatizo kweli,HAKUNA TATIZO CHADEMA,nawaomba tena na tena muelekeze nguvu zote vijijini ambako hata Zito hawamjui wao wanajua chadema.
Asante kwamchango huu murua
Acha wivu
Hata kama ni talaka huwezi kupewa kihuni kama.Chadema wanavyofukuza watu kihuni huni.
KUfa kwa chadema hasara ni
ya Mbowe na Slaa, kwani wao wameigeuza sacoss yao, kama kujenga wao ndio
wajenge, hatuwezi kupoteza muda wetu kwa manufaa ya watuwengine, mimi
sio miongoni mwa misukule yao.
Piga kazi kamanda
mawazo, Zitto dhambi aliyo ifanya damu ya watanzania iko juu yake hakika
hiki kikombe hato epuka. Kawasaliti watanzania walio kuwa na imani juu
yake. Mungu ibariki tanzania.
Kamanda nakukubali.
Hilo ndilo la Msingi..Tuendelee kujeng chama, tuwe na msingi a kutosha
ili tuwe tayari kwa uchaguzi wa serikali za mtaa mwaka huu. Ngara azi
inaendelea.. CCM wanalia.. Wanajipanga inashindikana. Songa mbele
kamanda CHADEMA VEMA
Endelea kuganga Njaa
Kamanda, ila ukitaka kuiona Hasira ya LEMA tangaza nia jimbo la Arusha
Mjini!
Kamanda nakukubali.
Hilo ndilo la Msingi..Tuendelee kujeng chama, tuwe na msingi a kutosha
ili tuwe tayari kwa uchaguzi wa serikali za mtaa mwaka huu. Ngara azi
inaendelea.. CCM wanalia.. Wanajipanga inashindikana. Songa mbele
kamanda CHADEMA VEMA
Tumeku"miss" Arusha;waja lini
huku kamanda???Hongera kwa mapambano mazuri!!Mungu akujalie afya tele
na uzima
Kamanda nakukubali.
Hilo ndilo la Msingi..Tuendelee kujeng chama, tuwe na msingi a kutosha
ili tuwe tayari kwa uchaguzi wa serikali za mtaa mwaka huu. Ngara azi
inaendelea.. CCM wanalia.. Wanajipanga inashindikana. Songa mbele
kamanda CHADEMA VEMA
Nani anaweza
kutangaza kugombea majimbo yote nchini? Bila shaka nchi ina majimbo
mengi. ukitaka Arusha tangaza lakini Kamanda mawazo, anajua anachofanya.
Mimi namunga mkoo na kazi anayoifanya naikuba. mimi nimefana kazi Nye,
namfaha. Mawzo, ngu zazid kukupa uzima na afy njema