Rai ya Alphonce Mawazo kwa wana CHADEMA

Rai ya Alphonce Mawazo kwa wana CHADEMA

Well said TUNAKUJA HUKO SOON USIJALI. TUTAANZIA MANDA, VIJIJI VYOOTE ZA ZIWANI, LUDEWA MJINI, NA MILIMANI KWOTE TUTATWANGA
Kila mtu hulipwa kwa kazi yake kamanda, CDM itakukumbuka kwa kazi yako. Ukimaliza huko hamia na mkoa mpya wa Njombe hasa Ludewa.
 
Nimeingia jimbo la Kishapu kwa ziara ya siku nne,nawaomba wanachadema kupuuza na kutolipa uzito suala la zito.tuiamini kamati kuu na baraza lake,wengine tutawanyike tukajenge chama.

Tusiingie kwenye mtego wa adui wa mabadiliko yaani CCM,wanachotaka ni zogo hizi kuendelea nasi tupunguze kasi ya kuwashughulikia, acheni kulifanya gumzo vijiweni na badala yake tujadili uundaji wa misingi.

Hakuna haja ya kufadhaika na kuhisi kana kwamba kuna tatizo kweli,HAKUNA TATIZO CHADEMA,nawaomba tena na tena muelekeze nguvu zote vijijini ambako hata Zito hawamjui wao wanajua chadema.

Ubarikiwe kamanda!! Maneno ya busara hayo
 
SAFI SANA WATAISOMA MWAKA HUU

cc Nape, Pasco, Ritz, Chris Lukosi na Le Mutuz mzee wa Sembe

Nimeingia jimbo la Kishapu kwa ziara ya siku nne,nawaomba wanachadema kupuuza na kutolipa uzito suala la zito.tuiamini kamati kuu na baraza lake,wengine tutawanyike tukajenge chama.

Tusiingie kwenye mtego wa adui wa mabadiliko yaani CCM,wanachotaka ni zogo hizi kuendelea nasi tupunguze kasi ya kuwashughulikia, acheni kulifanya gumzo vijiweni na badala yake tujadili uundaji wa misingi.

Hakuna haja ya kufadhaika na kuhisi kana kwamba kuna tatizo kweli,HAKUNA TATIZO CHADEMA,nawaomba tena na tena muelekeze nguvu zote vijijini ambako hata Zito hawamjui wao wanajua chadema.
 
Kamanda nakuomba sana Ingia
Ludewa hasa mwambao mwa ziwa nyasa! Deo Filikunjombe anawatambua vizuri
moto wao hao wanaosema Chadema ipo mjini wamulize Filikunjombi na bado
jezi na kofia zenu walizovalishwa mbwa na nguruwe 2010 kama hamjaisoma
kitaeleweka tu! Tambueni vijijini wameamka! Go go kamanda !

Tushirikiane kamanda,nipo tayari.
 
Hivi ukombozi upi uwa mnaouzungumzia.

Wa watu kutonyang'anywa ardhi,kutopiga ng'ombe za watu risasi,kutong'oa meno,kucha za wasema ukweli,kutouza madawa ya kulevya kwa watoto wetu na wafanyayo haya ni viongozi.
 
Hongera kwa kazi nzuri ya
kujenga chama kamanda lakini ni vyema ukaachana na kutaja jina la ZZK
kwa mabaya maana mwenzio akinyolewa na wewe tia maji.
Wenzako walianza hivyo hivyo kujenga CDM wakiwa wadogo sana tena kwa
jitihada kubwa sana pengine kuzidi hata wewe kamanda,lakini mwisho wa
siku walikuja kuonekana wabaya pale tu walipotofautiana na wanaoitwa
WENYE CHAMA. Angalia leo usiitwe kamanda na kesho ukaitwa msaliti pale
utakapotofautiana na WENYE CHAMA.

Kamanda nashukuru,lengo langu kuu ni kueleza jinsi wananchi wanavyoitaja sana chadema kuliko jina la mtu au majina ya watu.
 
"ALPHONCE MAWAZO"hili ni neno zito la HEKIMA! hali budi kufanyiwa kazi haraka CDM ISONGE MBELE
 
aisifiae mvua imemnyea.
yaelekea na wewe yamekukuta. tueleze tu ukweli yaliyokukuta ndo ukaanza
kuwabebeleza wasikilizaji wako waliokuwa na hasira juu ya unyanyaswaji
anaofanyiwa zitto. hawajakupopoa mawe kweli?

Sijakuelewa...pls.
 
Back
Top Bottom