Rai ya Alphonce Mawazo kwa wana CHADEMA

Rai ya Alphonce Mawazo kwa wana CHADEMA

Huyu Kamanda Mawazo sasa anazunguka kila kona kukitangaza chama anasifiwa na kila mtu, ukitaka uone Kamanda Mawazo hana maana hajaribu kugombea nafasi yoyote makao makuu.
 
Kamanda Mawazo samahani hivi Chadema wanakulipa?

Chadema hewa tunatoa hela sio kupewa hela,makamanda huwa tunapiga kazi na huku tunachangia hela au vitu . na hapo ndo tofauti ilipo kati ya maccm na chadema . kumbuka chadema tunahitaji uzalendo zaidi na sio tamaa ya kulipwa.
 
hivi wewe unadhani juhudi zako za kuijenga chadema zinazidi zile alizokwishazifanya zitto?- wewe unapata platform ya kuzungumza kwa sababu ulishajengewa mazingira na akina zitto otherwise asingekusikiliza mtu

mavi ya kale hayanuki .
 
Zitto kaijenga cdm au cdm ndo imemjenga zitto?!!! Lini zitto alifanya ziara zake za kuizunguka tanzania kueleza uhalisia wa hali ya nchi na kutoa elim ya uraia kiujumla wake hata kufikia robo ya mawazo?

hujitambui wewe dekio
 
Zitto kaijenga cdm au cdm ndo imemjenga zitto?!!! Lini zitto alifanya ziara zake za kuizunguka tanzania kueleza uhalisia wa hali ya nchi na kutoa elim ya uraia kiujumla wake hata kufikia robo ya mawazo?

hujitambui wewe dekio-siku ukikamuliwa ndo utawajua hao wazinzi
 
nimeingia jimbo la kishapu kwa ziara ya siku nne,nawaomba wanachadema kupuuza na kutolipa uzito suala la zito.tuiamini kamati kuu na baraza lake,wengine tutawanyike tukajenge chama.

Tusiingie kwenye mtego wa adui wa mabadiliko yaani ccm,wanachotaka ni zogo hizi kuendelea nasi tupunguze kasi ya kuwashughulikia, acheni kulifanya gumzo vijiweni na badala yake tujadili uundaji wa misingi.

Hakuna haja ya kufadhaika na kuhisi kana kwamba kuna tatizo kweli,hakuna tatizo chadema,nawaomba tena na tena muelekeze nguvu zote vijijini ambako hata zito hawamjui wao wanajua chadema.

kamanda tunakushukuru sana kwa kuheshimu maamuzi ya kamati kuu .
 
J.mosi tumefungua matawi matatu kwa sherehe kubwa Mlimba,j.pili Ruaha kulikuwa na mkutano mkubwa.zito siyo issue vijijin
 
Piga mkutano pale Mwang'holo pia cdm iko juu pale niliizika CCM pale,kawatie moyo zaidi

Poti Safi sana,ila nikumbushe Mwang'holo ipo wapi vile.unelekea shagihilu,Mwakipoya au njiani ya tatu Mwangongo?
 
Huyu Kamanda Mawazo sasa anazunguka kila kona kukitangaza chama anasifiwa na kila mtu, ukitaka uone Kamanda Mawazo hana maana hajaribu kugombea nafasi yoyote makao makuu.

wanamdanganya na yeye anadanganyika, anataka cheo cha ZZZK, hata hii post yake mi kutaka watu wajue uupo wapi-amewah siku moja kujipigia chepuo la Naibu Katibu Mkuu
 
Hongera kwa kazi nzuri ya kujenga chama kamanda lakini ni vyema ukaachana na kutaja jina la ZZK kwa mabaya maana mwenzio akinyolewa na wewe tia maji.
Wenzako walianza hivyo hivyo kujenga CDM wakiwa wadogo sana tena kwa jitihada kubwa sana pengine kuzidi hata wewe kamanda,lakini mwisho wa siku walikuja kuonekana wabaya pale tu walipotofautiana na wanaoitwa WENYE CHAMA. Angalia leo usiitwe kamanda na kesho ukaitwa msaliti pale utakapotofautiana na WENYE CHAMA.
Zzk ndo kajengwa na chadema we pusi.
 
Kamanda mawazo piga kazi kamanda...tuko sambamba na wewe...Mungu akubariki sana kwa kazi nzuri ya ukombozi.
 
Nimeingia jimbo la Kishapu kwa ziara ya siku nne,nawaomba wanachadema kupuuza na kutolipa uzito suala la zito.tuiamini kamati kuu na baraza lake,wengine tutawanyike tukajenge chama.

Tusiingie kwenye mtego wa adui wa mabadiliko yaani CCM,wanachotaka ni zogo hizi kuendelea nasi tupunguze kasi ya kuwashughulikia, acheni kulifanya gumzo vijiweni na badala yake tujadili uundaji wa misingi.

Hakuna haja ya kufadhaika na kuhisi kana kwamba kuna tatizo kweli,HAKUNA TATIZO CHADEMA,nawaomba tena na tena muelekeze nguvu zote vijijini ambako hata Zito hawamjui wao wanajua chadema.

Wewe mchaga??

wenzako waliingia kwa mbwembwe kama hizi

unachofanya ni utapata ubunge, ruzuku itaongezeka wenzako wanapiga hela........

Mbowe hata umpe ikulu hii na kiti cha urais hiki...............HANA MPANGO WA KUWA RAIS,
 
Back
Top Bottom