Rai ya Alphonce Mawazo kwa wana CHADEMA

Rai ya Alphonce Mawazo kwa wana CHADEMA

Ulete mapato na matumizi ya pesa ulizo pewa alafu wewe mjanja kweli mbona hiweki picha ya mikutano yako
 
Safiiiii saaaana kamanda kanyaga mafuta, maccn yanatumia ajenda ya zitto kutupotezea mafuta weka no yako ya mpesa tukuperushie maji ya kunywa. Aunt Tibaijuka anakuogopa km ukoma huku Muleba kusini wanaokubeza hawakujui. Peeeeeeeeeeeeeeples
 
Yakiisha ya zito na mbowe yatafata ya slaa na mbowe,then lisu na mnyika etc

Umekuwa shehe yahaya? hebu tiririka utujuze;baada ya lowasa na cc ya magamba atafata nani? au baada ya kulishwa sumu mwakyembe nani atafata? unaonekana wewe ni mpiga ramli mashuhuri!
 
Nimeingia jimbo la Kishapu kwa ziara ya siku nne,nawaomba wanachadema kupuuza na
kutolipa uzito suala la zito.tuiamini kamati kuu na baraza lake,wengine
tutawanyike tukajenge chama.
Tusiingie kwenye mtego wa adui wa mabadiliko
yaani CCM,wanachotaka ni zogo hizi kuendelea nasi tupunguze kasi ya
kuwashughulikia,acheni kulifanya gumzo vijiweni na badala yake tujadili
uundaji wa misingi.Hakuna haja ya kufadhaika na kuhisi kana kwamba kuna tatizo kweli,HAKUNA TATIZO CHADEMA,nawaomba tena na tena muelekeze nguvu zote vijijini ambako hata Zito hawamjui wao wanajua chadema.
SISI TUJENGE CHAMA! NYINYI MNAKIBOMOWA KWA TAMAA NA CHUKI ZENU ZA KIJINGA. kama kinakufa na kife, hasara ni ya Mbowe na Slaa.
 
Ni kweli hata yuda alikuwa na mazur yake ila usalt wa zzk inatakiwa tuuogope kama ukoma na tuombe asitokee mshenz firaun kama zitto na ndiposa tusonge mbele zzk ni binadamu najua ana mwisho na uchafu wake utaingia kwenye historia.
 
Zitto hata shetani hamtaki

.
Aisee. Yaani unamaanisha hata sisiem inayomtumia haimtaki? Basi kumbe dhambi ya usaiti inaogopwa mbinguni duniani na kuzimu.
.
 
Umejiunga lini CDM wewe mawazo? Kusiko na jina la Zitto ni kule ambako SACOSS yenu haipo. Ika baba yako ndio hayupo popote
 
Hata kama ni talaka huwezi kupewa kihuni kama.Chadema wanavyofukuza watu kihuni huni.

Kafulila alilia hadi kutembea na magoti, hakuna aliyesema. Yule wa Zanzibar katumia uhuru wa mawazo kama katiba inavyotamka, wakamtimua eti si msimamo wa chama chao kuwa na serikali 3!

Huyu lazima ahangaike kwani, hajafanikiwa kutimiza kazi aliyolipwa kuifanya, so lazima aonyeshe alipambana hadi mwisho!
 
Mtei Kasema Zitto hatakiwi CHADEMA, sisi tunafikiria tunamtoaje wewe unasema tutawanyike tukajenge Chama, Unachekesha sana.

Inaonekana mpo Msalani! Mkitoka mje duniani!
 
hivi hakuna wanamaombi tumpeleke Zitto akatolewe mapepo ya usaliti na uongo?
 
Kamanda nakuomba sana Ingia Ludewa hasa mwambao mwa ziwa nyasa! Deo Filikunjombe anawatambua vizuri moto wao hao wanaosema Chadema ipo mjini wamulize Filikunjombi na bado jezi na kofia zenu walizovalishwa mbwa na nguruwe 2010 kama hamjaisoma kitaeleweka tu! Tambueni vijijini wameamka! Go go kamanda !
 
Back
Top Bottom