Dr Emma John
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 820
- 196
Kamanda nakuomba sana Ingia
Ludewa hasa mwambao mwa ziwa nyasa! Deo Filikunjombe anawatambua vizuri
moto wao hao wanaosema Chadema ipo mjini wamulize Filikunjombi na bado
jezi na kofia zenu walizovalishwa mbwa na nguruwe 2010 kama hamjaisoma
kitaeleweka tu! Tambueni vijijini wameamka! Go go kamanda !
With God's love and help,tutashinda