Rai ya Alphonce Mawazo kwa wana CHADEMA

Huyu Kamanda Mawazo sasa anazunguka kila kona kukitangaza chama anasifiwa na kila mtu, ukitaka uone Kamanda Mawazo hana maana hajaribu kugombea nafasi yoyote makao makuu.

hivi ww unafkria kwakutumia makalio eeh?? kusifiwa sio kupewa madaraka yote kila anaesifiwa akupewa madaraka kitakuwa chama hcho sasa CCM hamna katiba ya kueleweka ndo maana mnashindwa kuwajibishana mbona lowasa anafahamika nchi nzima lakin mnamkatalia kuchukua form ya urais?? mipango yenu na zitto imetimia muongezeni pesa annue hummer ya pili na nyumba dar estate nyingne ila yana mwisho endeleeni kusafirisha mizigo matumboni
 
dream walker.
huenda ukawa kweli ni kijana mchapakazi
huenda ukawa unafanya kwa dhamira saaafiiii
tatizo ni kwamba unawatumikia CHAGAZ N PUPPETS... ukiwatumikia vya kutosha na wakakuona kama threat katika mipango yao ya kishetani, you will be kicked.
kwa somo zuri zaidi muulize ZZK.
alikuwa ni zaidi ya hivyo ufanyavyo wewe na amechangia zaidi ya 50% kukifikisha chadema hapa kilipo.
ona ni kitu gani wanamfanyia????
labda ututangazie kuwa wewe ndio walewale watumwa wa mbowe/chagaz.. lakini kama unajitambua na kutambua haki yako!!! amini nakwambia kuna siku utakuja humu ukilia na kusaga meno. na sisi kwa sababu tuna kumbukumbu!!! basi tutakukumbusha na kukwambia''' lakini mbona tulikuonya""
time is the wisest teacher, and let's wait for it

hivi unataka kila mtu ashike madaraka kwenye chama kitatawalika kuwa mchapakazi co kigezo cha kupewa,madaraka mbona lowasa wa kaskazin na anajituma lakini mnamkatalia kuchukua madaraka?? mmemtumia zito ameharibu wacha wenye chama chetu tukiendeleze chama na chadema tunakwambia ukwel na tunakufukuza CCM ukiwa mchapakaz mnamuwekea sumu mumuue wapi mwakyembe, wapi wangwe(RIP), wapi mwandosya mnataka kuleta dhana ya ukabila angalia mbeya, mwanza, kigoma na ubungo ni wachaga?? umekunywa viloba lala upunzke kesho uamke na hangover uandike upuuz mwingne
 
hivi ww unafkria kwakutumia
makalio eeh?? kusifiwa sio kupewa madaraka yote kila anaesifiwa akupewa
madaraka kitakuwa chama hcho sasa CCM hamna katiba ya kueleweka ndo
maana mnashindwa kuwajibishana mbona lowasa anafahamika nchi nzima lakin
mnamkatalia kuchukua form ya urais?? mipango yenu na zitto imetimia
muongezeni pesa annue hummer ya pili na nyumba dar estate nyingne ila
yana mwisho endeleeni kusafirisha mizigo matumboni

Umetoa elimu ya kutosha,ndiyo maana wamemharibu zzk kwa kumhadaa vyeo,wanawza vyeo tu.
 
hivi unataka kila mtu
ashike madaraka kwenye chama kitatawalika kuwa mchapakazi co kigezo cha
kupewa,madaraka mbona lowasa wa kaskazin na anajituma lakini mnamkatalia
kuchukua madaraka?? mmemtumia zito ameharibu wacha wenye chama chetu
tukiendeleze chama na chadema tunakwambia ukwel na tunakufukuza CCM
ukiwa mchapakaz mnamuwekea sumu mumuue wapi mwakyembe, wapi wangwe(RIP),
wapi mwandosya mnataka kuleta dhana ya ukabila angalia mbeya, mwanza,
kigoma na ubungo ni wachaga?? umekunywa viloba lala upunzke kesho uamke
na hangover uandike upuuz mwingne

Thanks,kwani kuna watu wangapi duniani na kuna vyeo vingapi,hivi ni kweli kuwa wasio na vyeo si wachapa kazi?poor thinking...
 
Kamanda hongera kwa
kazi kubwa ya ukombozi uifanyayo. Ila kote upitapo wahimize sana kufanya
zoezi la chadema ni msingi coz ujenzi wa misingi ni wa muhimu sana
kuzidi hata mikutano ya hadhara. Kila la kheri wa ukweli.

Dr huo ndo msisitizo mkubwa...unakumbuka nilipokuwa kakola nilivyolisisitiza hilo,tuko pamoja.
 
Kwa
nini unadhani anaongea kirahisi rahisi? huko vijijini maisha yanaendelea
kama kawaida na siasa zinaendelea kama anavyosema mleta uzi, niko
vijijini maeneo mbalimbali kwenye kazi zangu zaidi ya miezi 2, maisha
yanaendelea kama kawaida wakati nyinyi mnatoana macho kwenye keyboards.

Wanaumia wanapoona life goes on even after the dissapearence of zzk .
 
''Hakuna
haja ya kufadhaika na kuhisi kana kwamba kuna tatizo
kweli,
HAKUNA TATIZO
CHADEMA
,nawaomba
tena na tena
muelekeze nguvu zote vijijini
ambako hata Zito hawamjui wao wanajua chadema.''
mawazo hujaelewa nini?
je ni kweli chadema haina matatizo au umejitoa fahamu tu na kujifariji?
tunajua hata mtu aliyeifiwa huwa anafarijiwa na kujifariji lakini ukweli
unabaki palepale kwamba ameondokewa na kipenzi chake.
kwa ni i uanze kuwabembeleza kama kweli kwenye chama hakuna tatizo?
kuweni wakweli na huo tu ndo utakaowaweka huru, period.

Utakubaliana na mimi kuwa katika maisha kuna wakati binadamu huwa ana kile kinachoitwa FEAR OF THE UNKNOWN,nakuapia hv niandikapo niko kijiji cha shagihilu,hawajui kinachoendelea kuhusu zito zaidi ya bei ya pamba yao kushuka
 
Back
Top Bottom