Hebu tujiulize swali moja kama babu Seya alihukumiwa fasta fasta kwenda jela maisha yake kwa tuhuma za kuvibaka vitoto vya shule,ni kwa nini huyu Kapuya asikamatwe na kurundikwa ndani hadi hivi sasa?
Kama hilo la kumkamata na kumfungulia mashitaka ya kubaka Kapuya lisipofanyika haraka iwezekanavyo,tafsiri tutakayopata waTZ ni kuwa kumbe hata ibara iliyomo kwenye katiba ya Jamhuri ya Tanzania,inayosema watanzania wote wako sawa mbele ya sheria kumbe nayo ni maigizo,kwa kuwa in reality ndani ya TZ wapo watu wapo above law,kama alivyokiri mwenyewe Kapuya,kuwa wao.ndiyo wenye nchi,hawawezi kufanywa lolote,na zaidi ya yote ametamba kuwa yeye ndiye the next PM,after 2015 general elections!!
Sasa nimeprove beyond reasoanable doubt kuwa madudu yanayofanywa na watawala wetu hapa TZ,yanaweza.kabisa kuyafanya yaqualify kuwa miongoni ya Guiness World records!!